Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

Ni kwel, japo kwangu hii hai qualify kuweka kwenye secrete ballot, kwangu hili ni tukio tu, sema ni ajabu kidogo ndio maana nikaona nifanye ku share experience.
Ni kawaida bro mwanamke kumueleza mwanaume hisia zake mbona yapo sana na siyo jambo la ajabu, ikitokea umeelezwa na mwanamke hisia zake sisi wanaume tunachotakiwa kufanya ni mambo machache tu kukubali au kukataa na vyote vibaki kuwa siri yako usimueleze mtu yeyote
 
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.

- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta

- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu za kila siku- yule mtoto hazidi miaka 24, hazidi hapo kwa uzoefu wangu wa kuwajua wanawake, imagine nimemzidi 10+ years,

-Wakuu haya mambo nilikuwa nayasoma humu, sikuwahi hata kuwaza kama ningekutana nayo.

- Kwa maelezo niliyoyakusanya ,ni mtoto wa kusini huko, keupe kembamba kana urefu wa wastani, kwakifupi kanafaa kwa matumizi ya binadamu wa kiume. Kamevaa kistara sana, gauni yake smart na ushungi juu, ka ustadhat flani

- Nilijiskia kufedheheka sana, nashkuru Mungu nilikaa siti ya nyuma kabisa (na yeye alipopanda alionikuta tayari ndani ya gari) natokea Uhasibu Kurasini naelekea Kimara Temboni. Nilifedheheka maana yule mtoto alianza kuji "bebisha" bila aibu, kwakwel nimestaajab sana leo, mara akulalie begani mara akuegemee huku ameukumbatia mkono wako kwa mikono yake miwili, mara aniwekee mkono kwenye paja la mguu wa kushoto. Wakuu nimepata aibu za kiume leo.

- niliwaza mengi sana, je ni uchawi huu?, je ni changamoto ya afya ya akili? Je ni nyege zilizopitiliza huyu mtoto kichupa kimejaa na hakijafunguliwa muda mrefu? Au ni jini mahaba hili leo nimepanda nalo daladala? Au ni malaya yuko kazini? What is all this??????

- kwakifupi leo nimekula mtongozo na kiukwel nilitakiwa nikamalize show leo, mpaka namba nilitoa bila kupenda. Mpaka nahis labda i was under attack! May be i was demonically possesed , sio bure.

- sina mengi sana wakuu ila nimechomoa sijaenda kukala kale katoto. Nimeweza mengi sana by the way huu ni mwaka mmoja na nusu sijachepuka, sasa leo huyu mtoto alitaka kuharibu clean sheet yangu.

- najua mtadai picha na kiukwel, nilichukua moja kiunja sana kwa kujifanya najibu message alizidisha vituko vya kuweka mkono pajani, na kuna time ni kama alikua anataka kushika dushe.

- leo hakika nimejishangaa sana na almost nikafkkia hatua ya kutaka kujidharau, hiv nimefkkia hatua hii mimi? Ameonionaje huyu mtoto????

- Hawa watoto wa leo wamekumbwa na nini, huu ni ujasiri au upuuzinuliopita viwango??????

- Nimeaibika sana, maana wadau waliosimama kwenye daladala wakawa wanatutolea macho, japo nilikuwa najitahidi sana kuidhibit ile hali ila huyu mtoto ni kama alipania

- Nimemaliza
NB: Vigezo na mashart vimezingatiwa na picha nimeweka hapo chini.
Ahsanten.
View attachment 2990269
Mbona mikono mibaya hivyo amejichubua sio?

Cc shombeshombe 😘
 
Ni kawaida bro mwanamke kumueleza mwanaume hisia zake mbona yapo sana na siyo jambo la ajabu, ikitokea umeelezwa na mwanamke hisia zake sisi wanaume tunachotakiwa kufanya ni mambo machache tu kukubali au kukataa na vyote vibaki kuwa siri yako usimueleze mtu yeyote
Ni kawaida kwa wanaume wenye hela na maarufu sio wanaume masikini unless uwe handsome balaa
 
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.

- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta

- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu za kila siku- yule mtoto hazidi miaka 24, hazidi hapo kwa uzoefu wangu wa kuwajua wanawake, imagine nimemzidi 10+ years,

-Wakuu haya mambo nilikuwa nayasoma humu, sikuwahi hata kuwaza kama ningekutana nayo.

- Kwa maelezo niliyoyakusanya ,ni mtoto wa kusini huko, keupe kembamba kana urefu wa wastani, kwakifupi kanafaa kwa matumizi ya binadamu wa kiume. Kamevaa kistara sana, gauni yake smart na ushungi juu, ka ustadhat flani

- Nilijiskia kufedheheka sana, nashkuru Mungu nilikaa siti ya nyuma kabisa (na yeye alipopanda alionikuta tayari ndani ya gari) natokea Uhasibu Kurasini naelekea Kimara Temboni. Nilifedheheka maana yule mtoto alianza kuji "bebisha" bila aibu, kwakwel nimestaajab sana leo, mara akulalie begani mara akuegemee huku ameukumbatia mkono wako kwa mikono yake miwili, mara aniwekee mkono kwenye paja la mguu wa kushoto. Wakuu nimepata aibu za kiume leo.

- niliwaza mengi sana, je ni uchawi huu?, je ni changamoto ya afya ya akili? Je ni nyege zilizopitiliza huyu mtoto kichupa kimejaa na hakijafunguliwa muda mrefu? Au ni jini mahaba hili leo nimepanda nalo daladala? Au ni malaya yuko kazini? What is all this??????

- kwakifupi leo nimekula mtongozo na kiukwel nilitakiwa nikamalize show leo, mpaka namba nilitoa bila kupenda. Mpaka nahis labda i was under attack! May be i was demonically possesed , sio bure.

- sina mengi sana wakuu ila nimechomoa sijaenda kukala kale katoto. Nimeweza mengi sana by the way huu ni mwaka mmoja na nusu sijachepuka, sasa leo huyu mtoto alitaka kuharibu clean sheet yangu.

- najua mtadai picha na kiukwel, nilichukua moja kiunja sana kwa kujifanya najibu message alizidisha vituko vya kuweka mkono pajani, na kuna time ni kama alikua anataka kushika dushe.

- leo hakika nimejishangaa sana na almost nikafkkia hatua ya kutaka kujidharau, hiv nimefkkia hatua hii mimi? Ameonionaje huyu mtoto????

- Hawa watoto wa leo wamekumbwa na nini, huu ni ujasiri au upuuzinuliopita viwango??????

- Nimeaibika sana, maana wadau waliosimama kwenye daladala wakawa wanatutolea macho, japo nilikuwa najitahidi sana kuidhibit ile hali ila huyu mtoto ni kama alipania

- Nimemaliza
NB: Vigezo na mashart vimezingatiwa na picha nimeweka hapo chini.
Ahsanten.
View attachment 2990269
Vidole vyake vya mikono ni ndizi iliyoiva sana..hii sio Mali Safi mkuu.

Ile kesi yako na mchungaji iliisha mkuu?
 
Mdogo angu huwez ukawa umenichoka kiwango hiki. Kweli nimekua mfu katika level hii? Aaahh nitake radhi bwana! 😂😂
Kaka mkubwa nisamehe ila hiyo ni kauli general kwa harakati general. Kwa hiyo pambana tu na hiyo mama ya uswazi ili ipate wa kuinunulia vijora na abaya 😁
 
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.

- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta

- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu za kila siku- yule mtoto hazidi miaka 24, hazidi hapo kwa uzoefu wangu wa kuwajua wanawake, imagine nimemzidi 10+ years,

-Wakuu haya mambo nilikuwa nayasoma humu, sikuwahi hata kuwaza kama ningekutana nayo.

- Kwa maelezo niliyoyakusanya ,ni mtoto wa kusini huko, keupe kembamba kana urefu wa wastani, kwakifupi kanafaa kwa matumizi ya binadamu wa kiume. Kamevaa kistara sana, gauni yake smart na ushungi juu, ka ustadhat flani

- Nilijiskia kufedheheka sana, nashkuru Mungu nilikaa siti ya nyuma kabisa (na yeye alipopanda alionikuta tayari ndani ya gari) natokea Uhasibu Kurasini naelekea Kimara Temboni. Nilifedheheka maana yule mtoto alianza kuji "bebisha" bila aibu, kwakwel nimestaajab sana leo, mara akulalie begani mara akuegemee huku ameukumbatia mkono wako kwa mikono yake miwili, mara aniwekee mkono kwenye paja la mguu wa kushoto. Wakuu nimepata aibu za kiume leo.

- niliwaza mengi sana, je ni uchawi huu?, je ni changamoto ya afya ya akili? Je ni nyege zilizopitiliza huyu mtoto kichupa kimejaa na hakijafunguliwa muda mrefu? Au ni jini mahaba hili leo nimepanda nalo daladala? Au ni malaya yuko kazini? What is all this??????

- kwakifupi leo nimekula mtongozo na kiukwel nilitakiwa nikamalize show leo, mpaka namba nilitoa bila kupenda. Mpaka nahis labda i was under attack! May be i was demonically possesed , sio bure.

- sina mengi sana wakuu ila nimechomoa sijaenda kukala kale katoto. Nimeweza mengi sana by the way huu ni mwaka mmoja na nusu sijachepuka, sasa leo huyu mtoto alitaka kuharibu clean sheet yangu.

- najua mtadai picha na kiukwel, nilichukua moja kiunja sana kwa kujifanya najibu message alizidisha vituko vya kuweka mkono pajani, na kuna time ni kama alikua anataka kushika dushe.

- leo hakika nimejishangaa sana na almost nikafkkia hatua ya kutaka kujidharau, hiv nimefkkia hatua hii mimi? Ameonionaje huyu mtoto????

- Hawa watoto wa leo wamekumbwa na nini, huu ni ujasiri au upuuzinuliopita viwango??????

- Nimeaibika sana, maana wadau waliosimama kwenye daladala wakawa wanatutolea macho, japo nilikuwa najitahidi sana kuidhibit ile hali ila huyu mtoto ni kama alipania

- Nimemaliza
NB: Vigezo na mashart vimezingatiwa na picha nimeweka hapo chini.
Ahsanten.
View attachment 2990269kina chake kifupi, angalia vidole
 
Nilifedheheka maana yule mtoto alianza kuji "bebisha"
Wamewafuata mpaka kwenye Magari sasa Shetani Hana Akili

Muda huu kuna Malaya anachekelea kuingiziwa ulimi kwenye K yake na lidume limepanua tu mdomo kuokoteza VVU mdomoni likipata Kansa ya Koo lawama zote kwa Mama Kibonge wa Buza
 
Ndio hujatuambia jinsi ulivyomkatikia miuno na alivyokupa miguno huku anakuunga na ule Mkongo wa Taifa
 
Malaya siku hizi wanajiongeza Sana. Tanga wanavaa kununua kabisa wewe msukuma ukija ukaopolewa unajisifu umekula mtoto wa kidigo toka Mwakidila kumbe ndio zao
 
Back
Top Bottom