Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha hapana chief. Silalamiki, am grateful. Sio kila mahala pa kuchovya chovya magonjwa mengi now daysMbona kama unalalamika mkuu?fursa haziji mara mbili yaan hapo umejipga gundu,you should've eaten that gazelle!#lion mode
Ahsante kamanda. Hakika hil ni la kupewa pole 😂Pole sana mkuu
Siyo dhambi wala makosa best😘😂😂😂kujuana sana ni dhambi au ni makosa?
Kwakweli, halafu unakuta wenyewe hawajaliZinasababishwa na vitu vingi ila moja wpo ni matumizi ya cosmetics. Ujue kuna sehemu za mwil huwa hazi change ,zinagima kabisa, hata ziki badilika ni kwa muda tu hurud kwenye asili yake.
Sehem hizo ni kama
- maungio ya vidole
- magoti
- ugoko
- viwiko/vipepsi.
Hata ujichubue namna gan hizo parts utadunda tu
Badilisha mtazamo kakaMwanamke akinitongoza nakimbia
ANgalia kwanza mkuu, wengine yaweza kuwa fursa kwa mujibu wa michango ya wadau wengi hapa nilivyoonaMwanamke akinitongoza nakimbia
Kuna mijitu yenye tamaa ya fisi humu itakutolea maneno mbovu... Lakini nakwambia kama una imani katika Mungu.... Nenda kashukuru...maana shetani kakushawishi na ungelainika tu... Tungekupoteza..... Hilo ni shambulio kabisa la kiroho za majini ama mapepoWala sina mengi ila nimeshangazwa sana.
- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta
- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu za kila siku- yule mtoto hazidi miaka 24, hazidi hapo kwa uzoefu wangu wa kuwajua wanawake, imagine nimemzidi 10+ years,
-Wakuu haya mambo nilikuwa nayasoma humu, sikuwahi hata kuwaza kama ningekutana nayo.
- Kwa maelezo niliyoyakusanya ,ni mtoto wa kusini huko, keupe kembamba kana urefu wa wastani, kwakifupi kanafaa kwa matumizi ya binadamu wa kiume. Kamevaa kistara sana, gauni yake smart na ushungi juu, ka ustadhat flani
- Nilijiskia kufedheheka sana, nashkuru Mungu nilikaa siti ya nyuma kabisa (na yeye alipopanda alionikuta tayari ndani ya gari) natokea Uhasibu Kurasini naelekea Kimara Temboni. Nilifedheheka maana yule mtoto alianza kuji "bebisha" bila aibu, kwakwel nimestaajab sana leo, mara akulalie begani mara akuegemee huku ameukumbatia mkono wako kwa mikono yake miwili, mara aniwekee mkono kwenye paja la mguu wa kushoto. Wakuu nimepata aibu za kiume leo.
- niliwaza mengi sana, je ni uchawi huu?, je ni changamoto ya afya ya akili? Je ni nyege zilizopitiliza huyu mtoto kichupa kimejaa na hakijafunguliwa muda mrefu? Au ni jini mahaba hili leo nimepanda nalo daladala? Au ni malaya yuko kazini? What is all this??????
- kwakifupi leo nimekula mtongozo na kiukwel nilitakiwa nikamalize show leo, mpaka namba nilitoa bila kupenda. Mpaka nahis labda i was under attack! May be i was demonically possesed , sio bure.
- sina mengi sana wakuu ila nimechomoa sijaenda kukala kale katoto. Nimeweza mengi sana by the way huu ni mwaka mmoja na nusu sijachepuka, sasa leo huyu mtoto alitaka kuharibu clean sheet yangu.
- najua mtadai picha na kiukwel, nilichukua moja kiunja sana kwa kujifanya najibu message alizidisha vituko vya kuweka mkono pajani, na kuna time ni kama alikua anataka kushika dushe.
- leo hakika nimejishangaa sana na almost nikafkkia hatua ya kutaka kujidharau, hiv nimefkkia hatua hii mimi? Ameonionaje huyu mtoto????
- Hawa watoto wa leo wamekumbwa na nini, huu ni ujasiri au upuuzinuliopita viwango??????
- Nimeaibika sana, maana wadau waliosimama kwenye daladala wakawa wanatutolea macho, japo nilikuwa najitahidi sana kuidhibit ile hali ila huyu mtoto ni kama alipania
- Nimemaliza
NB: Vigezo na mashart vimezingatiwa na picha nimeweka hapo chini.
Ahsanten.
View attachment 2990269
Wengi wao ni watu wa hali za chini sana ku afford expensive cosmetics ambazo angalau zinaondoa aibu ndogo ndogo.Kwakweli, halafu unakuta wenyewe hawajali
Hili nalo tatizoWengi wao ni watu wa hali za chini sana ku afford expensive cosmetics ambazo angalau zinaondoa aibu ndogo ndogo.
So wanakomaa ni mikorogo ya uswazi , visabuni vya kupima vya manzese 😅 angalau nao wasibaki nyuma
mkuu hakuna kitu kama icho,zana zipo,vijana wanasema"hit and run"Ahahaha hapana chief. Silalamiki, am grateful. Sio kila mahala pa kuchovya chovya magonjwa mengi now days
Ahsante chief, inaweza kuwa sahihi maana kuna vitu critical sana ambavyo hakuna namna ningeandika hapa ambavyo ndio vilikua lengo la hii safari. Na hii safar nimekua nikighairi week nzima bila sababu za msingi na ku ghairi kukawa kuna zidi kuniweka pabaya kikazi ila tu kila nikipanga nika rescue situation najikuta nahirisha safar bila sababu.Kuna mijitu yenye tamaa ya fisi humu itakutolea maneno mbovu... Lakini nakwambia kama una imani katika Mungu.... Nenda kashukuru...maana shetani kakushawishi na ungelainika tu... Tungekupoteza..... Hilo ni shambulio kabisa la kiroho za majini ama mapepo
Ahsante chief, inaweza kuwa sahihi maana kuna vitu critical sana ambavyo hakuna namna ningeandika hapa ambavyo ndio vilikua lengo la hii safari. Na hii safar nimekua nikighairi week nzima bila sababu za msingi na ku ghairi kukawa kuna zidi kuniweka pabaya kikazi ila tu kila nikipanga nika rescue situation najikuta nahirisha safar bila sababu.Kuna mijitu yenye tamaa ya fisi humu itakutolea maneno mbovu... Lakini nakwambia kama una imani katika Mungu.... Nenda kashukuru...maana shetani kakushawishi na ungelainika tu... Tungekupoteza..... Hilo ni shambulio kabisa la kiroho za majini ama mapepo
Ofcz ni keupe naturally so hata kama kana bust na mikorogo ni vile bas tu hulka za kike kupenda vitu bila kufikira kwa umakini.Kweli keupe
Ushamsalimu leoOfcz ni keupe naturally so hata kama kana bust na mikorogo ni vile bas tu hulka za kike kupenda vitu bila kufikira kwa umakini.