Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

UJue kuna watu wanahis labda nimejitungia uongo kumbe hiz makitu zipogo ni vile sikuwah tarajia kama na mimi zitanikumba
 
Ile hali ya "sitaki nataka"
Ahahahah. Hapana chief. Hiz ni swag za mama zetu enzi hizo , hata hawa madada wa leo hawafanyi hivyo. unamtongoza ukiwa umeshajipanga, hawana aibu anakutolea macho na ukimaliza anakuomba hela na gesi inaisha ghafla 😂
 
Nipasie mim mkono mzuri uo ukishika shafti aloo lazima ujihisi kizunguzungu
 
Nadra kidogo kwa vibinti kutingisha,mara nyingi majimama ,mashangazi na walio kwenye ndoa ndio wanaoongoza vijana wadogo.
Hata hivyo mambo yamebadilika,sio mbaya kwa mtu kutoa hisia zake japo kwa utamaduni hatujazoea sana wanawake wa umri huo kutongoza
 
Wakati hayo yanatukia alikuwa anakuambia nini
Mazungumzo yalikua mengi sana sikutaka kuyaweka hapa ila kiukwel she initiated and was leading the conversation. Ali controll flow yote ya dialogue kama vile tu mwanaume unavyompiga sound manzi. Mi nilikua responder tu, i was amazed kwakwel, mfano

  • mimi naitwa ... we unaitwa nani
  • ni mtu wa wap?
  • hapa Dar unaishi maeneo gani?
  • naweza pata namba yako ya simu?
  • utarud saa ngapi huko unakoelekea sasa? Nitakusubir maana sikai sana ninakokwenda.

Hayo ni machche katika mengi
 
Ahahahah. Hapana chief. Hiz ni swag za mama zetu enzi hizo , hata hawa madada wa leo hawafanyi hivyo. unamtongoza ukiwa umeshajipanga, hawana aibu anakutolea macho na ukimaliza anakuomba hela na gesi inaisha ghafla 😂
Kwahiyo ulimkata sababu ya pesa ya Gas?🤣

Ngoja ninyamaze maana huenda nikakuona mzembe kumbe nakulazimisha ukamlambe binti yangu.
 
Kuna namna shetani alikuwa anakunyemelea
Hongera kwa kuruka kihunzi kizito
 
Unajishusha ujue
 
Tukisema vitoto vya 2000 ni tatizo mnabisha. Hongera kwa kumshinda shetani, Panga mashambulizi upya ukakule kitoto hicho. Hata hivyo nikupe tena hongera kwa kutochepuka mwaka+, unahitaji kupongezwa.
Mkuu huyo ni Shetani kaja kwa sura ya hicho kibinti Mimi yalishawahi kunikuta aisee sitosahau na yalinivuruga sana lakini yamenipa funzo kubwa sana.
 
Ngoja niuanzishe aisee halafu ili iwe ni funzo kwa Wanaume aisee hizi mihemuko haifahai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…