Yamenikuta!

No 3. Mwanamke ni muhimu sana kuwa na maisha yake, wanaume mna dharau sana mwanamke akiwa hana kazi naandika kwa experience. Mwanaume ambae hataki mwanamke anaejitegemea najua fika ni mnyanyashaji.
 
Dar kubwa Kaka. Kimara iko Dar na Mbagala iko Dar.
Pia kinondoni na Mwananyamala ziko Dar.
 
No 3. Mwanamke ni muhimu sana kuwa na maisha yake, wanaume mna dharau sana mwanamke akiwa hana kazi naandika kwa experience. Mwanaume ambae hataki mwanamke anaejitegemea najua fika ni mnyanyashaji.
Sio kweli! Ingawa siyo wote lakini asimilia kubwa sana ya wanawake wanaojitegemea hua na kakitu rohoni kanamwambia "wewe pia unaweza kuwa mwanaume, so shindana naye tu asikubabaishe kwa chochote",

Mwanamke akishakua na kipato tu anaanza kua mwanaharakati ndani ya ndoa.
 
Mpaka sasa nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa japo nimevurugwa sana siku ya leo ila kwa nilichowafanyia kimenipa faraja sana, yani hapa niko natafutwa kama mungu na rafiki wa mwanamke nimsaidie maana hapa dar hana ndugu, nitaeleza nilichowafanya kuwatia akili mission ikikamilika kabisa.
 
Si
Kwani watakuelewa basi...
Hadi mtu apigwe na kitu kizito ndo akili inakaa sawa, akirudi normal anaendelea kama kawa.
Na wewe ni suala la muda tu utarudia kuokotaokota
Siwezi nimejua nilipokosea. Saivi sina huruma na mtu. Nikitaka mke najua principal za kufata.
 
No 3. Mwanamke ni muhimu sana kuwa na maisha yake, wanaume mna dharau sana mwanamke akiwa hana kazi naandika kwa experience. Mwanaume ambae hataki mwanamke anaejitegemea najua fika ni mnyanyashaji.
Leo napingana na wewe kwenye hili, binafsi sipendi mwanamke/mke wangu afanye kazi kwa sababu napenda kumhudumia mwenyewe kwa kila kitu.
 
Upanga wa nini wakati kila mtu anaweza kuchukuwa hamsini zake bila ugomvi? Kwanza mwanamke anayetoka na mwanaume wa ki-nigeria atakuwa na akili fupi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…