Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Katikati ya kumliwaza unamuomba hela anakujibu hana nawe unamchiti....anafaint 😹😹😹Ukimaliza fumanizi njoo nikuliwaze🥴🥴🥴
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katikati ya kumliwaza unamuomba hela anakujibu hana nawe unamchiti....anafaint 😹😹😹Ukimaliza fumanizi njoo nikuliwaze🥴🥴🥴
Mnyanyashaji eeh! 😅mnyanyashaji
Shilawadu upo [emoji23][emoji23]Mnyanyashaji eeh! [emoji28]
Dar kubwa Kaka. Kimara iko Dar na Mbagala iko Dar.Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.
Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.
Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
😂 mnyanyashajiShilawadu upo [emoji23][emoji23]
Sio kweli! Ingawa siyo wote lakini asimilia kubwa sana ya wanawake wanaojitegemea hua na kakitu rohoni kanamwambia "wewe pia unaweza kuwa mwanaume, so shindana naye tu asikubabaishe kwa chochote",No 3. Mwanamke ni muhimu sana kuwa na maisha yake, wanaume mna dharau sana mwanamke akiwa hana kazi naandika kwa experience. Mwanaume ambae hataki mwanamke anaejitegemea najua fika ni mnyanyashaji.
Siwezi nimejua nilipokosea. Saivi sina huruma na mtu. Nikitaka mke najua principal za kufata.Kwani watakuelewa basi...
Hadi mtu apigwe na kitu kizito ndo akili inakaa sawa, akirudi normal anaendelea kama kawa.
Na wewe ni suala la muda tu utarudia kuokotaokota
HongeraSi
Siwezi nimejua nilipokosea. Saivi sina huruma na mtu. Nikitaka mke najua principal za kufata.
Leo napingana na wewe kwenye hili, binafsi sipendi mwanamke/mke wangu afanye kazi kwa sababu napenda kumhudumia mwenyewe kwa kila kitu.No 3. Mwanamke ni muhimu sana kuwa na maisha yake, wanaume mna dharau sana mwanamke akiwa hana kazi naandika kwa experience. Mwanaume ambae hataki mwanamke anaejitegemea najua fika ni mnyanyashaji.
Mtoto wa K/KooPole sana, karibu town.
Upanga wa nini wakati kila mtu anaweza kuchukuwa hamsini zake bila ugomvi? Kwanza mwanamke anayetoka na mwanaume wa ki-nigeria atakuwa na akili fupi sana.Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.