Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Una uzee gn wewe😁japo kwel Kuna umri ukifika hata akili haitaki mambo mengi. ...Hayo ya hivyo ndio nayapenda sasa. Uzee na shurba haviendani.
Namba 3. Namba 3 na 5.. Ni muhimu Sana aise... 🤝🤝🤝
Ndio huo umri nimefika sasa🤣Una uzee gn wewe😁japo kwel Kuna umri ukifika hata akili haitaki mambo mengi. ...
Nikuone bas au kule selfika unaenda na mavazi mengineNdio huo umri nimefika sasa🤣
Dogo hebu kalale🤣🤣🤣Nikuone bas au kule selfika unaenda na mavazi mengine
Na kweli hapa nilale nimeitwa 'dogo' uzee wote huuDogo hebu kalale🤣🤣🤣
Ukisimama vizuri na hiyo namba 1, basi hutateswa na hizo namba nyingine kwenye orodha. Hiyo ni kwa jinsia zote. Yaani 'mdada/mkaka'.Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.
Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.
Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
StupidNatoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.
Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.
Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
Haupatani na ndugu zako wako wa kiume pia? Kama ndivyo rekebisha hilo...ni mbaya sana hiyoSawa wamekusikia
Hawatuoi
Mana sifa mbaya zote hapo nnazo kasoro moja ya kujitegemea
Franco Lwambo MakiadiMatata ya mwasi na mobali esila te na mokili
Matatizo ya mwanamke na Mwanaume kamwe hauwezi kuisha duniani
🤭Ukimaliza fumanizi njoo nikuliwaze🥴🥴🥴
Japokuwa watu watakucheka ila namba 4 huwa inachukuliwa poa until ukiishi nae ndipo unajua she is damaged way long.Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.
Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.
Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
Nafikiri ita vary unakutana na yupi. From my experience wote mkiwa na kazi maisha yanaenda.No 3. Mwanamke ni muhimu sana kuwa na maisha yake, wanaume mna dharau sana mwanamke akiwa hana kazi naandika kwa experience. Mwanaume ambae hataki mwanamke anaejitegemea najua fika ni mnyanyashaji.
Hii kuokotaokota hii...sio poa kabisa....Kwani watakuelewa basi...
Hadi mtu apigwe na kitu kizito ndo akili inakaa sawa, akirudi normal anaendelea kama kawa.
Na wewe ni suala la muda tu utarudia kuokotaokota