Yamenikuta!

Yamenikuta!

Hahaha, hayana formula haya, ukimpata unayempenda, utayavumilia tu mengine.
 
Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.

Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.

Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
Ukisimama vizuri na hiyo namba 1, basi hutateswa na hizo namba nyingine kwenye orodha. Hiyo ni kwa jinsia zote. Yaani 'mdada/mkaka'.

Ova
 
Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.

Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.

Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
Stupid
 
Japokuwa watu watakucheka ila namba 4 huwa inachukuliwa poa until ukiishi nae ndipo unajua she is damaged way long.
Vingine vyote vina vary na mtu anatoka wapi na malezi gani.
Mwisho Muombe sana Mungu, dunia imeharibika. Mungu ndio anajua yupi ni sahihi kwako
 
No 3. Mwanamke ni muhimu sana kuwa na maisha yake, wanaume mna dharau sana mwanamke akiwa hana kazi naandika kwa experience. Mwanaume ambae hataki mwanamke anaejitegemea najua fika ni mnyanyashaji.
Nafikiri ita vary unakutana na yupi. From my experience wote mkiwa na kazi maisha yanaenda.
From experience wakati najitafuta, even mwanamke ambae alikuwa hana kazi na nipo nae alisepa.
So it not about kazi, is about character ya mtu na malezi yake.
Kama tabia chafu alikuwa nazo hata akiwa na kazi hatoenda mahali
 
Kwani watakuelewa basi...
Hadi mtu apigwe na kitu kizito ndo akili inakaa sawa, akirudi normal anaendelea kama kawa.
Na wewe ni suala la muda tu utarudia kuokotaokota
Hii kuokotaokota hii...sio poa kabisa....
 
Back
Top Bottom