Yametimia: Shilole kiuno ''Shishi Baby'' ampa kibuti Nuhu Mziwanda

Yametimia: Shilole kiuno ''Shishi Baby'' ampa kibuti Nuhu Mziwanda

Hivi mwanaume unaanzia wapi kwenda kuishi kwa binti aiseeeee...??? Kama ni huyo papuchi ataileta getto tuuu Lol... Vijana mna kazi sanaaaa
 
Attachments

  • 1407269360275.jpg
    1407269360275.jpg
    67.6 KB · Views: 427
Akati anajichora tatoo hakuwaza yote hayo, wanawake wenyew wa mjini mtu unajitoa ufahamu kujichora tatoo.. kazi atakua nayo
 
Yaani acha tu shilole nae angepata mkubwa mwenzie watulie mweeh viserengeti boys hivu vinamsumbua yaani anajitia aibu tuu
 
Ndo akome kukagua simu...aaaaarghhhhhhh!
 
Ahahahaa..kumbe ndo maana hilo Shilole ameandika kwenye fb account yake kuwa.."kumpenda mwanaume asiye na hela ni kipaji.."
 
Akati anajichora tatoo hakuwaza yote hayo, wanawake wenyew wa mjini mtu unajitoa ufahamu kujichora tatoo.. kazi atakua nayo

Wanawake wengine ni mbuzi wa mjini wanakula hadi mifuko ya rambo kwenye dampo..Dogo ajipange..
 
Alijitakia presha tu. Hakuna haja ya kumuonea huruma hyo dogo.
 
Mweeeeee!! Sasa Ile tatoo Ndio urithi pekee alobaki naomba? Pole mziwanda beebi...
 
huyu dogo ni taahira toka zamani ni classmate wangu...toka shule ni mpenda sifa za kijinga..na elimu kichwani humo hamna yani ni bure kabisa...hongera shilole mfundshe maisha huyo bwana mdogo

Kama elimu kichwan hakuna basi wote hamna kitu,umesema n classmate wako mkuuu

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Kama elimu kichwan hakuna basi wote hamna kitu,umesema n classmate wako mkuuu

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu

Kwani mkuu, hata kama ni classmate si kuna kichwa(anayejua) na mkia(asiyejua). Sasa huyo dogo inamaana alikuwa asiyejua.
 
Back
Top Bottom