Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Mwendazake kaendesha mitambo bila service sasa ipo hoi.
Mwenyezi Mungu naye katutandika kwa Jua kali na Ukame kwa sababu ya maovu ya viongozi wetu dhidi ya roho zisizo ha hatia kumlilia (collective responsibility) inatupata na sisi tusio na hatia.
Mkuu hii ni excuse ya kuepuka uwajibikaji, maana hiyo mitambo Kama ilikuwa haifanyiwi service ingezimika kabla hajafa.
 
Mzilankende
Your browser is not able to display this video.
 
Ile plant mpya ya Nyerere haitakuwa na mambo haya ya maji kupungua?
 
Mnadanganywa; ni hivi katika generating station kama Kidatu na Kihansi huwa kuna standby generator wakati wa matengenezo wanazima moja wanawasha standby generator, wakimaliza wanaendelea na lingine hadi maintenance yote inaisha bila kuathiri uzalishaji. Hivyo hao wanaosena JPM alizuia maintanance wanacapitalise ujinga wa watu kutoelewa namna scheduled maintanance inavyofanyika. Hakuna ulazima wa kuzima mitambo ili kufanya maintanance. Kwa ufupi huwa kuna genereta ya/ za ziada ili kutoa mwanya wa matengenezo.
 
Wewe Nipo huru, embu lete nyago huku, ujionee mgao wa umeme. Mkiwa mnaambiwa vitu au kuelekezwa vitu msijifanye kushupaza shingo. Kuja ujionee madudu yenu ulokuwa unayetetea jana, kwenye uzi wa biashara za majenerator na Solar kupamba moto.
Itakuwa kile kikundi cha Bashiru, Polepole na Musukuma kinahujumu serikali ya awamu ya sita ili ionekane imeshindwa kufanya kazi vizuri.
 
Aisee yale mambo ya awamu ileee yanarudi kwa kasi sanaa sanaa!!tutakoma walahi
 
acha ijinga mkuu
 
Makamba ndio amekausha mabwawa
Mwaka Jana nvua zilizidi na mabwawa yote walifungulia maji yaliyozidi kiwango kinachotakiwa.
huu ni mwezi wa 11 mgao umeanza mwezi wa 9 hifadhi ya maji kwenye mabwawa imetumika miezi 2 huu Ni uongo mwingine.
Warudi tu walipopakusudia umeme wa Akina Singh tupigwe tena.
twafaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…