Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Haya yale mataahira yaliyokuwa yanasema sukuma gang wanamuonea wivu Makamba waje sasa
Hao wote waliokuwa wakisema hivyo ni wajinga, wapumbavu na washenzi wakubwa...

Enzi za JPM usingetokea ujinga huu wa mgao wa umeme....ni wazi wezi na wapigaji wamerudi kuifilisi nchi...majenereta yanarudi Tena mijini....
 
Fanyeni biashara ya majenereta si ndicho mlichokuwa mnakitaka na kukitafutiza?

RIP Magufuli....
Tunamtaka Magufuli mwingine fasta.
Nakubaliana na wewe....Magufuli mwingine anahitajika haraka Sana...hata Kama ni Mama yetu anapaswa sasa kuiongoza nchi Kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli....huyo Januari aondolewe haraka kwenye nafasi hiyo ya uwaziri..
 
Zitto ni ajenti wa wanaompinga JPM ndio maana kila jambo yeye anatafuta mwanya wa kumlaumu JPM. Eti hakukuwa na jitihada ya kuongeza uzalishaji wa umeme kwani Mradi wa JNHP Rufiji ni nini hicho kinachofanyika? Mpango wa JPM ule mradi ungeanza kujazwa maji lini?

Hata kama mtu anakodiwa kumchafua JPM awe na aibu. JPM sio saizi yako Zitto. Wewe ganga njaa na umamluki wako. Mkataba wa juzi wa India mbona umekaa kimya wakati mabilioni yatalipwa kifisadi.
Nimemdharau sana Zitto zamani nilijua wanamuonea na kweli ana udini ndani yake
 
Tuliambiwa umeme ulikuwa haukatiki wakati wa Magufuli kwasababu ya ukali wake, watu waliogopa kutumbuliwa, sasa kama hiyo ndio dawa kwanini na yeye Makamba asiwe mkali?

Habari ya vyanzo vya umeme mnazoleta hapa ni utapeli mtupu, na hayo majibu ya Zitto huko twitter nayo ni siasa tupu, nani atamuamini huyo tapeli na genge lake haramu lililoshika hatamu.
 
Lengo tununue umeme, zingine ni porojo tu. Hiko kina cha maji kupungua ni propaganda tu ndio maana unaona alichosema makamba na walichosema Tanesco ni tofauti
 
Lengo tununue umeme, zingine ni porojo tu. Hiko kina cha maji kupungua ni propaganda tu ndio maana unaona alichosema makamba na walichosema Tanesco ni tofauti
Tunesharudishwa kwa zama za wapigaji na Zitto ndie mpiga kinanda wao, ametoa sababu cheap sana kwenye hiyo acc ya twitter yake
 
Makamba ajiuzulu. Kazi ishamshinda. Juzi tu tulikua na umeme unaozidi mahitaji yetu. Sasa hiyo ziada imeenda wapi?

Kwani kule kinyerezi nao wanategemea maji?
 
Magu kaondoka na mvua, nakumbuka siku anaapishwa mvua ilinyesha na siku anazikwa ilinyesha pia.
Ili tangazo la tanesco ni furaha kwa vibaka
 
Nilishakuambia wanaosema hivyo ni MISUKULE WENZAKO

Na siwezi kupoteza muda eti kukutafutia threads wakati kila mwenye akili timamu anafahamu ni jinsi gani MISUKULE YA JPM inavyopinga uwekezaji kwenye gas, na hawana hoja ya msingi zaidi ya eti inalenga kuhujumu Bwawa la Nyerere

What a pitty!
Nioneshe ni kina nani wanapinga?

Wewe ndio msukule mkubwa!

Bahati nzuri kila kitu kinajidhihirisha! Tunaacha nyie mataahira muda uongee na nyie
 
Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao

View attachment 2015253
Hapo ndo utaona uhayawani wa mama yetu yaani anamtoa waziri kisa eti ufendaji mbovu anamrudisha makamaba kwa utendaji mbovu zaidi mbona kituko cha mwaka
 
Nioneshe ni kina nani wanapinga?

Wewe ndio msukule mkubwa!

Bahati nzuri kila kitu kinajidhihirisha! Tunaacha nyie mataahira muda uongee na nyie
NIMEKUAMBIA NI WEWE NA MISUKULE WENZAKO...

We jamaa vp?

Huelewi, ama?!

Kama hujui jinsi ya kutafuta threads that's your problem, tena stop wasting my time na maswali yako yasiyokuwa na kichwa wala miguu ambayo hata ukijibiwa, unauliza tena kitu kile over and over!!!
 
Huyu Waziri anayevaa mashati ya mikono mirefu kisha anayakunja mpaka kwenye viwiko kama Obama, si ndiye aliyetudanganya kuwa wako kwenye "maintenance", kumbe maji hakuna, kulikuwa na sababu gani watu wazima kudanganyana hovyo?

Kuna watu tangu awamu ya 4 utendaji kazi wao ni wa kisanii sanii, uongo uongo, wizi wizi, uswahili swahili tu.
Na hao ndo mama anaambiwa ni watendaji
 
Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao

View attachment 2015253
Tupo katika vita vya kiuchumi.Na TPDC nao watakiri uhaba wa Petroli.
 
NIMEKUAMBIA NI WEWE NA MISUKULE WENZAKO...

We jamaa vp?

Huelewi, ama?!

Kama hujui jinsi ya kutafuta threads that's your problem, tena stop wasting my time na maswali yako yasiyokuwa na kichwa wala miguu ambayo hata ukijibiwa, unauliza tena kitu kile over and over!!!
Yani mpaka nianze kutafuta threads kisha nianze kusoma wanaopinga kuanzishwa kwa miradi mingine?

Utaahira kazi sana!

Kwanini usinioneshe hapa kwamba huyu na huyu amepinge kuanzishwa kwa miradi mingine sababu tuna bwawa?
 
Back
Top Bottom