Yammi amekutwa na nini? "Siwezi kuishi tena bora nife"

Kana bahati ila kipindi kile polisi ikiwa bado ni polisi ,muda huu kapo cello ili kasijiue na kaseme kisa ,basi wenye akili baada ya kutoka huko wamebaki wasio na vichwa ona sasa anavyotaharukisha jamii yetu
 
Kujaribu kujiondoa uhai ni kinyume cha sheria.. Naagiza Mulilo akamkamate mara moja
 
Wapi ninesema kua sitaki? Mimi nimeuliza,ndio maana nikaweka question mark kwenye sentensi yangu.
Unataka tuanze kubishana kuhusu mama ntilie tu mkuu!, wacha mambo yako we ukishajua ni mama ntilie basi inatosha!.
 
Makuzi yanamsumbua.. Asipokuwa makini atajidhuru
 
Siku moja moja muwe mnajitolea namimi mnaniuliza nimekutwa na nini!, nyie kila siku mnauliza wasanii wenu tu yaoneni...[emoji28]
Wee komwe akikuuliza demu wako inatoshaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambieni atafute msaada wa kisaikolijia! Huku kitaa tuna matatizo kuliko yeye ila tuna tabasamu kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…