Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Uko sahihi,hata mm ndiyo namsikia leo......sijui kwetu kanda maalumu anachokifanya hakijafika 😀Huenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu,ndio kwanza namsikia huyo sijui msanii,
Ni msanii wa kitu gani huko Daslam?
Kila nafsi itaonja umauti AMENMsanii wa kike chipukizi na maarufu, na aliwahi kuwa ktk Lebo ya African Princess iliyoko chini ya msanii Nandy, aitwae Yammi, atoa ujumbe tata ktk page yake ya IG km inavyoonekana hapo pichani chini.
Ikumbukwe huyu binti ni majuzi tyuuh kaondoka ktk Lebo hiyo, na pande zote zikasema kuwa mkataba umeisha, na wanaachana kwa amani km ilivyo makubaliano yao. Japo tetesi zinasema kuwa huyu bidada alikua anatoka kimapenzi na Bill nass ambaye ni msanii pia mume na baba mtoto wa Nandy, ambaye ndiye boss wa lebo hiyo, ndipo Nandy akaamua kusitisha mkataba nae.
Pia hivi karibuni, bidada akawa ana jambo lake, akaalika watu wengi, akiwemo Nandy, lakini hakutokea, na yeye akasema alimpigia simu hakupokea na text hakujibu. Ndipo minong'ono ikaibuka huenda ni kweli, bidada alikua akijivinjari na Bill nenga km Tetesi zinavyosikika.
Sasa leo ndo kastua waja zaidi na huu ujumbe wake, sijui anapitia nini, au kipi kina msibu, maana mtu kufikia hatua ya kutaka kufa, inaonesha haoni ahueni ya yeye kuendelea kuwa hai hapa duniani.
Mie binafsi nampa polee, na asifikie hatua ya kukataa tamaa hivyo, kila jambo linakuja na kupita tyuuh, muhimu apambane nalo hadi mwisho wake.
......View attachment 3386954View attachment 3386955
Ndio nnKwalii wa mwenee.
Una wivuSipendi anavyoongea sijui yupojee hawezi kuwa kawaida tu akaongea normal
Secta yako hiyo mkuu😂😂😂 dogo una wazimu
Anayetaka kujiua huwa hasemi😅Usiku mmoja tulikuwa Kipepeo beach, Mjimwema, jamaa yetu mmoja wa kuitwa Dickson alikuwa na drama na girlfriend wake. Demu alimwambia waachane yeye hataki, kwahiyo wakaenda kuongea mambo yao huko kando. Dakika 3 demu anakuja mbio na wayowe eti Dickson anajiua anajitupa baharini. Tukaenda fasta tukamkuta kasimama maji ya ugoko. Wehu wakamwambia, Dick usituzingue sisi tunataka kunywa bia zetu, kama unataka kufa nenda kule mbele kwenye maji mengi. Yaani mpaka leo nikimuona yule mjomba nacheka tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku mmoja tulikuwa Kipepeo beach, Mjimwema, jamaa yetu mmoja wa kuitwa Dickson alikuwa na drama na girlfriend wake. Demu alimwambia waachane yeye hataki, kwahiyo wakaenda kuongea mambo yao huko kando. Dakika 3 demu anakuja mbio na wayowe eti Dickson anajiua anajitupa baharini. Tukaenda fasta tukamkuta kasimama maji ya ugoko. Wehu wakamwambia, Dick usituzingue sisi tunataka kunywa bia zetu, kama unataka kufa nenda kule mbele kwenye maji mengi. Yaani mpaka leo nikimuona yule mjomba nacheka tu
Vitu serious yeye kujidekesha tu kama anatiwa chumbaniKumbe nawee umeona hilo? Mwenzio kila nikisema naambiwa nna nongwa, wivu na kijiba, Lol