Yamoto Band waachana rasmi, kila mtu yupo kivyake

Ndio maana huwa najiuliza yamoto band hawa wako wanne na bado Fella hajachukua chake, leo wanna majumba yalee!? Iko namna kwa kweli.
Tuliyajua na kuyategemea hayo mapema sana na lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye umefika. Na wala wasizunguke zunguke katika kusema ukweli mara sijui Mkubwa na Wanae hawatakuwa nao tena bali ' Watoto wa Mjini ' tunajua kwanini sasa hali imekuwa ' tete '. Hao ' Vijana ' walikuwa ni ' Mabegi / Mapunda ' wa akina Fella na Kundi lake ukimjumuisha Yule ' Taita ' wao aliyekimbilia South Africa Mtoto wa aliyekuwa ' Kada ' mmoja hivi ' maarufu ' katika Chama fulani hapa Tanzania. Baada ya ' ujio ' wa MWANAMUME Rais JPM na kuanza ' Kampeni ' kabambe ya kupambana na matumizi na uingizaji dawa za Kulevya ' Ngada / Powder ' nchini Tanzania ' Biashara ' sasa imekuwa ngumu hivyo akina Mkubwa na Wanawe ( Fella ) wameshindwa kuwaendesha na ' Pesa ' sasa hawana tena ila wanaishi tu ' kiujanja ujanja / kimjinimjini '.Watawadanganyeni nyie tu msiojua ' mchezo ' wao huo mchafu ila siyo sisi wenye jiji letu hili.
 
Hapo atakayekwama ni yule bela sijui ataimba nini masikini..yeye anajua kujikakamua tu kutoa sauti nzito na kusema maneno mawili basi kamaliza.. bendi ilikua inamuokoa..au labda aimbe una rambo remix

😀😀😀
 
Ndio maana huwa najiuliza yamoto band hawa wako wanne na bado Fella hajachukua chake, leo wanna majumba yalee!? Iko namna kwa kweli.
Yamoto band enzi wako moto walikuwa wanapiga show angalau mara3 kwa wiki, na show zao zinaenda kuanzia mil 5 - 15, tuchukulie show zote walikuwa wanapiga kwa mil 8, na mfano kwa miaka miwili wamepiga show 100 (excluding zile za kampeni na ikulu), je wanashindwa kujenga huto tu apartment? Acheni mawazo mgando, hawa vijana wametengeneza pesa nyingi kwa show pekee
 
Kweli mkuu watu wana mawazo mgando.
Niliwahi kuona mkataba wao na crdb kwa promotion flani walilipwa mils 34.
Watu kila anayefanikiwa wanajikuta wanajua sana walianza na freemasons now Wameamia kwenye madawa.
 
Ohoo..kundi halijasambaratika ila mkubwa kawapa ruksa kila mmoja kufanya kazi za solo kwa wakati wake na ikihitajika wafanye kama kundi watafanya na bado wapo chini ya mkubwa.TAARIFA YAKO NI FEKI MKUU!!
 
Respect man! Ila game ya bongo inajulikana. Nyumba wanazosema ni zao zinaonekana ni kama zawadikutoka kwa Fella kwamba kawajengea. Je, maisha yao binafsi yana akisi uhalisia huo!?
Yamoto band enzi wako moto walikuwa wanapiga show angalau mara3 kwa wiki, na show zao zinaenda kuanzia mil 5 - 15, tuchukulie show zote walikuwa wanapiga kwa mil 8, na mfano kwa miaka miwili wamepiga show 100 (excluding zile za kampeni na ikulu), je wanashindwa kujenga huto tu apartment? Acheni mawazo mgando, hawa vijana wametengeneza pesa nyingi kwa show pekee
 
Ohoo..kundi halijasambaratika ila mkubwa kawapa ruksa kila mmoja kufanya kazi za solo kwa wakati wake na ikihitajika wafanye kama kundi watafanya na bado wapo chini ya mkubwa.TAARIFA YAKO NI FEKI MKUU!!
Taarifa ilikuwa n feki.
 
Back
Top Bottom