Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Sahihi mkuuMipango ya maisha ni lazima ipangwe, kifo hatukiweki kwenye mahesabu kwani hatuwezi kukizuia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi mkuuMipango ya maisha ni lazima ipangwe, kifo hatukiweki kwenye mahesabu kwani hatuwezi kukizuia.
Ingawa naichukia ccm na watu wake lkn kwa hili Mwigulu naona anakulipa ili kumpigania na kumtafutia sympathy kwa wananchi.Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake.
Imefahamika kuwa Spika Tulia na baadhi ya wanasiasa wanaopiga hesabu ya urais wa 2030 wameunda genge haramu ambalo wamekuwa wakilituma bungeni kumshambulia Mwigulu Nchemba ili kumchafua, kumbomoa na kumkosesha imani kwa wananchi mapema kabla ya 2030, imefahamika pia mikakati yao hiyo inapangwa nje ya bunge na kuja kutekelezwa ndani ya bunge chini ya usimamizi wa Spika Tulia Akson ambae anashiriki vikao hivyo vya gizani, na huwa anaingia Bungeni akiwa anayajua mabomu yote waliyoyaanda kwa siku husika na namna gani atakavyogeuka kuwa jaji wa kurahisha michezo yao.
Mtandao huo mkubwa umeundwa kwa lengo kuu la kumweka Mwigulu kwenye Kona kali kila anapoongea bungeni, lakini cha kustaajabisha hivi karibuni baadhi ya wanamtandao huo wametambua yote yanayopikwa kwajili ya kumhusisha Mwigulu wala hauhusika nayo bali huwa anatetea serikali kwa ujumla wake, na kuna siku Mwigulu alitetea reli ya mwendokasi wakadhani yeye ndie amesaini mkataba na pengine amepata ten percent but baadae wakatambua mikataba hiyo imesainiwa na watu wa Wizara ya Uchukuzi wakaishia kukunja nyuso kwa hasira kali, next time wakakomaa nae tena kwenye na EPC+F wakidhani Mwigulu ndio amesaini Fedha hizo kumbe iliyokuwepo ni EPC pekee iliyosainiwa na Wizara ya Ujenzi wakaishia kufyonza na kung’ata meno kwa uchungu.
Sote tunatambua Bungeni kila Wizara huwa zinafanya masemina na maonesho kwa wabunge wote, na Wizara zote zimefanya lakini cha kustajaabisha Spika na genge lake wamezuia Semina ya Mwigulu kwasababu wanahisi Mwigulu akifanya atapata umaarufu na kuungwa Mkono na wabunge wote na hiyo itakuwa hatari kwenye harakati za Spika Tulia za kuutaka Urais 2030.
Mimi binafsi nikiri nilishaanza kumchukia Mwigulu, lakini nimegundua ulikuwa ni mchezo mchafu wa kumkwamisha, lakini kumbe huyu ni mtu makini anayefanya kazi ya umma kwa uzalendo mkubwa, weledi na uadilifu wa hali ya juu sana. Sasahivi nimeelewa kwanini hata kajambo kadogo tu ka Mwigulu lazima Spika Tulia atakashikia sana bango na anajigeuza kuwa Jaji alafu kina Halima, Mpina na wengine wanakuwa waendesha Mashtaka, shame on them all na kwa taarifa yenu wote wananchi tumewagundua mapema sana.
Una ushahidi gani?una mawazo finyu sana hakuna kitu kama hicho ndani ya bunge na ndani ya ccm
Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake.
Imefahamika kuwa Spika Tulia na baadhi ya wanasiasa wanaopiga hesabu ya urais wa 2030 wameunda genge haramu ambalo wamekuwa wakilituma bungeni kumshambulia Mwigulu Nchemba ili kumchafua, kumbomoa na kumkosesha imani kwa wananchi mapema kabla ya 2030, imefahamika pia mikakati yao hiyo inapangwa nje ya bunge na kuja kutekelezwa ndani ya bunge chini ya usimamizi wa Spika Tulia Akson ambae anashiriki vikao hivyo vya gizani, na huwa anaingia Bungeni akiwa anayajua mabomu yote waliyoyaanda kwa siku husika na namna gani atakavyogeuka kuwa jaji wa kurahisha michezo yao.
Mtandao huo mkubwa umeundwa kwa lengo kuu la kumweka Mwigulu kwenye Kona kali kila anapoongea bungeni, lakini cha kustaajabisha hivi karibuni baadhi ya wanamtandao huo wametambua yote yanayopikwa kwajili ya kumhusisha Mwigulu wala hauhusika nayo bali huwa anatetea serikali kwa ujumla wake, na kuna siku Mwigulu alitetea reli ya mwendokasi wakadhani yeye ndie amesaini mkataba na pengine amepata ten percent but baadae wakatambua mikataba hiyo imesainiwa na watu wa Wizara ya Uchukuzi wakaishia kukunja nyuso kwa hasira kali, next time wakakomaa nae tena kwenye na EPC+F wakidhani Mwigulu ndio amesaini Fedha hizo kumbe iliyokuwepo ni EPC pekee iliyosainiwa na Wizara ya Ujenzi wakaishia kufyonza na kung’ata meno kwa uchungu.
Sote tunatambua Bungeni kila Wizara huwa zinafanya masemina na maonesho kwa wabunge wote, na Wizara zote zimefanya lakini cha kustajaabisha Spika na genge lake wamezuia Semina ya Mwigulu kwasababu wanahisi Mwigulu akifanya atapata umaarufu na kuungwa Mkono na wabunge wote na hiyo itakuwa hatari kwenye harakati za Spika Tulia za kuutaka Urais 2030.
Mimi binafsi nikiri nilishaanza kumchukia Mwigulu, lakini nimegundua ulikuwa ni mchezo mchafu wa kumkwamisha, lakini kumbe huyu ni mtu makini anayefanya kazi ya umma kwa uzalendo mkubwa, weledi na uadilifu wa hali ya juu sana. Sasahivi nimeelewa kwanini hata kajambo kadogo tu ka Mwigulu lazima Spika Tulia atakashikia sana bango na anajigeuza kuwa Jaji alafu kina Halima, Mpina na wengine wanakuwa waendesha Mashtaka, shame on them all na kwa taarifa yenu wote wananchi tumewagundua mapema sana.
Simpendi Tulia lkn kwa huu uzi ulivyo andikwa naona ni mchezo wa MwiguluChawa wa Mwingulu kazini. Nyie ndiyo mwaka 2015 mliandika mawe yote yaliyoko kando ya barabara za Tanzania ''Mwingulu rais 2015''. Sasa mmeacha kuandika mawe mnarudi JF.
Kuna mtu alikuwa amepangiwa kulazimishwa kuendelea kuongoza nchi lkn yakatokea ya kutokea2030???
Wana maagano gani na Mwenyezi kama watafika muda huo
Kumiliki Yutong siyo mchezo mdogoFearing the unknown
Nimecheka kwa nguvu eti chawa wa Mwigulu unasema Mwigulu ni muadilifu!Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake.
Imefahamika kuwa Spika Tulia na baadhi ya wanasiasa wanaopiga hesabu ya urais wa 2030 wameunda genge haramu ambalo wamekuwa wakilituma bungeni kumshambulia Mwigulu Nchemba ili kumchafua, kumbomoa na kumkosesha imani kwa wananchi mapema kabla ya 2030, imefahamika pia mikakati yao hiyo inapangwa nje ya bunge na kuja kutekelezwa ndani ya bunge chini ya usimamizi wa Spika Tulia Akson ambae anashiriki vikao hivyo vya gizani, na huwa anaingia Bungeni akiwa anayajua mabomu yote waliyoyaanda kwa siku husika na namna gani atakavyogeuka kuwa jaji wa kurahisha michezo yao.
Mtandao huo mkubwa umeundwa kwa lengo kuu la kumweka Mwigulu kwenye Kona kali kila anapoongea bungeni, lakini cha kustaajabisha hivi karibuni baadhi ya wanamtandao huo wametambua yote yanayopikwa kwajili ya kumhusisha Mwigulu wala hauhusika nayo bali huwa anatetea serikali kwa ujumla wake, na kuna siku Mwigulu alitetea reli ya mwendokasi wakadhani yeye ndie amesaini mkataba na pengine amepata ten percent but baadae wakatambua mikataba hiyo imesainiwa na watu wa Wizara ya Uchukuzi wakaishia kukunja nyuso kwa hasira kali, next time wakakomaa nae tena kwenye na EPC+F wakidhani Mwigulu ndio amesaini Fedha hizo kumbe iliyokuwepo ni EPC pekee iliyosainiwa na Wizara ya Ujenzi wakaishia kufyonza na kung’ata meno kwa uchungu.
Sote tunatambua Bungeni kila Wizara huwa zinafanya masemina na maonesho kwa wabunge wote, na Wizara zote zimefanya lakini cha kustajaabisha Spika na genge lake wamezuia Semina ya Mwigulu kwasababu wanahisi Mwigulu akifanya atapata umaarufu na kuungwa Mkono na wabunge wote na hiyo itakuwa hatari kwenye harakati za Spika Tulia za kuutaka Urais 2030.
Mimi binafsi nikiri nilishaanza kumchukia Mwigulu, lakini nimegundua ulikuwa ni mchezo mchafu wa kumkwamisha, lakini kumbe huyu ni mtu makini anayefanya kazi ya umma kwa uzalendo mkubwa, weledi na uadilifu wa hali ya juu sana. Sasahivi nimeelewa kwanini hata kajambo kadogo tu ka Mwigulu lazima Spika Tulia atakashikia sana bango na anajigeuza kuwa Jaji alafu kina Halima, Mpina na wengine wanakuwa waendesha Mashtaka, shame on them all na kwa taarifa yenu wote wananchi tumewagundua mapema sana.
Ccm ni pasua kichwaMipango ya maisha ni lazima ipangwe, kifo hatukiweki kwenye mahesabu kwani hatuwezi kukizuia.
Wala wasihangaike na kutumia nguvu nyingi kiasi hicho. Mwigulu Nchemba na Januari Makamba HAWAWEZI kuwa ma Rais wa nchi hii hadi umauti uwakute.Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake.
Imefahamika kuwa Spika Tulia na baadhi ya wanasiasa wanaopiga hesabu ya urais wa 2030 wameunda genge haramu ambalo wamekuwa wakilituma bungeni kumshambulia Mwigulu Nchemba ili kumchafua, kumbomoa na kumkosesha imani kwa wananchi mapema kabla ya 2030, imefahamika pia mikakati yao hiyo inapangwa nje ya bunge na kuja kutekelezwa ndani ya bunge chini ya usimamizi wa Spika Tulia Akson ambae anashiriki vikao hivyo vya gizani, na huwa anaingia Bungeni akiwa anayajua mabomu yote waliyoyaanda kwa siku husika na namna gani atakavyogeuka kuwa jaji wa kurahisha michezo yao.
Mtandao huo mkubwa umeundwa kwa lengo kuu la kumweka Mwigulu kwenye Kona kali kila anapoongea bungeni, lakini cha kustaajabisha hivi karibuni baadhi ya wanamtandao huo wametambua yote yanayopikwa kwajili ya kumhusisha Mwigulu wala hauhusika nayo bali huwa anatetea serikali kwa ujumla wake, na kuna siku Mwigulu alitetea reli ya mwendokasi wakadhani yeye ndie amesaini mkataba na pengine amepata ten percent but baadae wakatambua mikataba hiyo imesainiwa na watu wa Wizara ya Uchukuzi wakaishia kukunja nyuso kwa hasira kali, next time wakakomaa nae tena kwenye na EPC+F wakidhani Mwigulu ndio amesaini Fedha hizo kumbe iliyokuwepo ni EPC pekee iliyosainiwa na Wizara ya Ujenzi wakaishia kufyonza na kung’ata meno kwa uchungu.
Sote tunatambua Bungeni kila Wizara huwa zinafanya masemina na maonesho kwa wabunge wote, na Wizara zote zimefanya lakini cha kustajaabisha Spika na genge lake wamezuia Semina ya Mwigulu kwasababu wanahisi Mwigulu akifanya atapata umaarufu na kuungwa Mkono na wabunge wote na hiyo itakuwa hatari kwenye harakati za Spika Tulia za kuutaka Urais 2030.
Mimi binafsi nikiri nilishaanza kumchukia Mwigulu, lakini nimegundua ulikuwa ni mchezo mchafu wa kumkwamisha, lakini kumbe huyu ni mtu makini anayefanya kazi ya umma kwa uzalendo mkubwa, weledi na uadilifu wa hali ya juu sana. Sasahivi nimeelewa kwanini hata kajambo kadogo tu ka Mwigulu lazima Spika Tulia atakashikia sana bango na anajigeuza kuwa Jaji alafu kina Halima, Mpina na wengine wanakuwa waendesha Mashtaka, shame on them all na kwa taarifa yenu wote wananchi tumewagundua mapema sana.
Ni kama wanaoponda Samia hawana hoja ila uzushi,chuki na upumbavu wao kisa ni Mzanzibari lakini hakuna Rais aliye deliver so far kumzidi Samia.Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake.
Imefahamika kuwa Spika Tulia na baadhi ya wanasiasa wanaopiga hesabu ya urais wa 2030 wameunda genge haramu ambalo wamekuwa wakilituma bungeni kumshambulia Mwigulu Nchemba ili kumchafua, kumbomoa na kumkosesha imani kwa wananchi mapema kabla ya 2030, imefahamika pia mikakati yao hiyo inapangwa nje ya bunge na kuja kutekelezwa ndani ya bunge chini ya usimamizi wa Spika Tulia Akson ambae anashiriki vikao hivyo vya gizani, na huwa anaingia Bungeni akiwa anayajua mabomu yote waliyoyaanda kwa siku husika na namna gani atakavyogeuka kuwa jaji wa kurahisha michezo yao.
Mtandao huo mkubwa umeundwa kwa lengo kuu la kumweka Mwigulu kwenye Kona kali kila anapoongea bungeni, lakini cha kustaajabisha hivi karibuni baadhi ya wanamtandao huo wametambua yote yanayopikwa kwajili ya kumhusisha Mwigulu wala hauhusika nayo bali huwa anatetea serikali kwa ujumla wake, na kuna siku Mwigulu alitetea reli ya mwendokasi wakadhani yeye ndie amesaini mkataba na pengine amepata ten percent but baadae wakatambua mikataba hiyo imesainiwa na watu wa Wizara ya Uchukuzi wakaishia kukunja nyuso kwa hasira kali, next time wakakomaa nae tena kwenye na EPC+F wakidhani Mwigulu ndio amesaini Fedha hizo kumbe iliyokuwepo ni EPC pekee iliyosainiwa na Wizara ya Ujenzi wakaishia kufyonza na kung’ata meno kwa uchungu.
Sote tunatambua Bungeni kila Wizara huwa zinafanya masemina na maonesho kwa wabunge wote, na Wizara zote zimefanya lakini cha kustajaabisha Spika na genge lake wamezuia Semina ya Mwigulu kwasababu wanahisi Mwigulu akifanya atapata umaarufu na kuungwa Mkono na wabunge wote na hiyo itakuwa hatari kwenye harakati za Spika Tulia za kuutaka Urais 2030.
Mimi binafsi nikiri nilishaanza kumchukia Mwigulu, lakini nimegundua ulikuwa ni mchezo mchafu wa kumkwamisha, lakini kumbe huyu ni mtu makini anayefanya kazi ya umma kwa uzalendo mkubwa, weledi na uadilifu wa hali ya juu sana. Sasahivi nimeelewa kwanini hata kajambo kadogo tu ka Mwigulu lazima Spika Tulia atakashikia sana bango na anajigeuza kuwa Jaji alafu kina Halima, Mpina na wengine wanakuwa waendesha Mashtaka, shame on them all na kwa taarifa yenu wote wananchi tumewagundua mapema sana.
Yaani kitendo tu kumfikiria Mwigulu kwenye nafasi hiyo ni ishara kubwa sana ya ujinga!
Hii mada yako hii, huwezi kutuletea hapo 2027 hivi, maanake kwa sasa unatafuta tu kututoa kwenye muda muhimu sana katika taifa letu hili. Mkazo sasa ni kuitazama 2025, tukikosea tu hapa, hiyo 2030 haina maana sana.Mimi binafsi nikiri nilishaanza kumchukia Mwigulu, lakini nimegundua ulikuwa ni mchezo mchafu wa kumkwamisha, lakini kumbe huyu ni mtu makini anayefanya kazi ya umma kwa uzalendo mkubwa, weledi na uadilifu wa hali ya juu sana. Sasahivi nimeelewa kwanini hata kajambo kadogo tu ka Mwigulu lazima Spika Tulia atakashikia sana bango na anajigeuza kuwa Jaji alafu kina Halima, Mpina na wengine wanakuwa waendesha Mashtaka, shame on them all na kwa taarifa yenu wote wananchi tumewagundua mapema sana.
Na huyo mwingine je?Dah! Hadi Mwigulu ni rais material?!!
Tulia ni mpuuzi ila mwigulu ni mpuuzi zaidiImefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake.