Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa chawa wa MwiguluImefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake.
Imefahamika kuwa Spika Tulia na baadhi ya wanasiasa wanaopiga hesabu ya urais wa 2030 wameunda genge haramu ambalo wamekuwa wakilituma bungeni kumshambulia Mwigulu Nchemba ili kumchafua, kumbomoa na kumkosesha imani kwa wananchi mapema kabla ya 2030, imefahamika pia mikakati yao hiyo inapangwa nje ya bunge na kuja kutekelezwa ndani ya bunge chini ya usimamizi wa Spika Tulia Akson ambae anashiriki vikao hivyo vya gizani, na huwa anaingia Bungeni akiwa anayajua mabomu yote waliyoyaanda kwa siku husika na namna gani atakavyogeuka kuwa jaji wa kurahisha michezo yao.
Mtandao huo mkubwa umeundwa kwa lengo kuu la kumweka Mwigulu kwenye Kona kali kila anapoongea bungeni, lakini cha kustaajabisha hivi karibuni baadhi ya wanamtandao huo wametambua yote yanayopikwa kwajili ya kumhusisha Mwigulu wala hauhusika nayo bali huwa anatetea serikali kwa ujumla wake, na kuna siku Mwigulu alitetea reli ya mwendokasi wakadhani yeye ndie amesaini mkataba na pengine amepata ten percent but baadae wakatambua mikataba hiyo imesainiwa na watu wa Wizara ya Uchukuzi wakaishia kukunja nyuso kwa hasira kali, next time wakakomaa nae tena kwenye na EPC+F wakidhani Mwigulu ndio amesaini Fedha hizo kumbe iliyokuwepo ni EPC pekee iliyosainiwa na Wizara ya Ujenzi wakaishia kufyonza na kung’ata meno kwa uchungu.
Sote tunatambua Bungeni kila Wizara huwa zinafanya masemina na maonesho kwa wabunge wote, na Wizara zote zimefanya lakini cha kustajaabisha Spika na genge lake wamezuia Semina ya Mwigulu kwasababu wanahisi Mwigulu akifanya atapata umaarufu na kuungwa Mkono na wabunge wote na hiyo itakuwa hatari kwenye harakati za Spika Tulia za kuutaka Urais 2030.
Mimi binafsi nikiri nilishaanza kumchukia Mwigulu, lakini nimegundua ulikuwa ni mchezo mchafu wa kumkwamisha, lakini kumbe huyu ni mtu makini anayefanya kazi ya umma kwa uzalendo mkubwa, weledi na uadilifu wa hali ya juu sana. Sasahivi nimeelewa kwanini hata kajambo kadogo tu ka Mwigulu lazima Spika Tulia atakashikia sana bango na anajigeuza kuwa Jaji alafu kina Halima, Mpina na wengine wanakuwa waendesha Mashtaka, shame on them all na kwa taarifa yenu wote wananchi tumewagundua mapema sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chawa wa Mwingulu kazini. Nyie ndiyo mwaka 2015 mliandika mawe yote yaliyoko kando ya barabara za Tanzania ''Mwingulu rais 2015''. Sasa mmeacha kuandika mawe mnarudi JF.
Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake.
Imefahamika kuwa Spika Tulia na baadhi ya wanasiasa wanaopiga hesabu ya urais wa 2030 wameunda genge haramu ambalo wamekuwa wakilituma bungeni kumshambulia Mwigulu Nchemba ili kumchafua, kumbomoa na kumkosesha imani kwa wananchi mapema kabla ya 2030, imefahamika pia mikakati yao hiyo inapangwa nje ya bunge na kuja kutekelezwa ndani ya bunge chini ya usimamizi wa Spika Tulia Akson ambae anashiriki vikao hivyo vya gizani, na huwa anaingia Bungeni akiwa anayajua mabomu yote waliyoyaanda kwa siku husika na namna gani atakavyogeuka kuwa jaji wa kurahisha michezo yao.
Mtandao huo mkubwa umeundwa kwa lengo kuu la kumweka Mwigulu kwenye Kona kali kila anapoongea bungeni, lakini cha kustaajabisha hivi karibuni baadhi ya wanamtandao huo wametambua yote yanayopikwa kwajili ya kumhusisha Mwigulu wala hauhusika nayo bali huwa anatetea serikali kwa ujumla wake, na kuna siku Mwigulu alitetea reli ya mwendokasi wakadhani yeye ndie amesaini mkataba na pengine amepata ten percent but baadae wakatambua mikataba hiyo imesainiwa na watu wa Wizara ya Uchukuzi wakaishia kukunja nyuso kwa hasira kali, next time wakakomaa nae tena kwenye na EPC+F wakidhani Mwigulu ndio amesaini Fedha hizo kumbe iliyokuwepo ni EPC pekee iliyosainiwa na Wizara ya Ujenzi wakaishia kufyonza na kung’ata meno kwa uchungu.
Sote tunatambua Bungeni kila Wizara huwa zinafanya masemina na maonesho kwa wabunge wote, na Wizara zote zimefanya lakini cha kustajaabisha Spika na genge lake wamezuia Semina ya Mwigulu kwasababu wanahisi Mwigulu akifanya atapata umaarufu na kuungwa Mkono na wabunge wote na hiyo itakuwa hatari kwenye harakati za Spika Tulia za kuutaka Urais 2030.
Mimi binafsi nikiri nilishaanza kumchukia Mwigulu, lakini nimegundua ulikuwa ni mchezo mchafu wa kumkwamisha, lakini kumbe huyu ni mtu makini anayefanya kazi ya umma kwa uzalendo mkubwa, weledi na uadilifu wa hali ya juu sana. Sasahivi nimeelewa kwanini hata kajambo kadogo tu ka Mwigulu lazima Spika Tulia atakashikia sana bango na anajigeuza kuwa Jaji alafu kina Halima, Mpina na wengine wanakuwa waendesha Mashtaka, shame on them all na kwa taarifa yenu wote wananchi tumewagundua mapema sana.
Yaani Kwa akili zako ndogo hizo unaona kabisa Mwigulu ni kiongozi muadilifu na anafaa kufikiriwa kwenye ngazi ya urais??Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake.
Imefahamika kuwa Spika Tulia na baadhi ya wanasiasa wanaopiga hesabu ya urais wa 2030 wameunda genge haramu ambalo wamekuwa wakilituma bungeni kumshambulia Mwigulu Nchemba ili kumchafua, kumbomoa na kumkosesha imani kwa wananchi mapema kabla ya 2030, imefahamika pia mikakati yao hiyo inapangwa nje ya bunge na kuja kutekelezwa ndani ya bunge chini ya usimamizi wa Spika Tulia Akson ambae anashiriki vikao hivyo vya gizani, na huwa anaingia Bungeni akiwa anayajua mabomu yote waliyoyaanda kwa siku husika na namna gani atakavyogeuka kuwa jaji wa kurahisha michezo yao.
Mtandao huo mkubwa umeundwa kwa lengo kuu la kumweka Mwigulu kwenye Kona kali kila anapoongea bungeni, lakini cha kustaajabisha hivi karibuni baadhi ya wanamtandao huo wametambua yote yanayopikwa kwajili ya kumhusisha Mwigulu wala hauhusika nayo bali huwa anatetea serikali kwa ujumla wake, na kuna siku Mwigulu alitetea reli ya mwendokasi wakadhani yeye ndie amesaini mkataba na pengine amepata ten percent but baadae wakatambua mikataba hiyo imesainiwa na watu wa Wizara ya Uchukuzi wakaishia kukunja nyuso kwa hasira kali, next time wakakomaa nae tena kwenye na EPC+F wakidhani Mwigulu ndio amesaini Fedha hizo kumbe iliyokuwepo ni EPC pekee iliyosainiwa na Wizara ya Ujenzi wakaishia kufyonza na kung’ata meno kwa uchungu.
Sote tunatambua Bungeni kila Wizara huwa zinafanya masemina na maonesho kwa wabunge wote, na Wizara zote zimefanya lakini cha kustajaabisha Spika na genge lake wamezuia Semina ya Mwigulu kwasababu wanahisi Mwigulu akifanya atapata umaarufu na kuungwa Mkono na wabunge wote na hiyo itakuwa hatari kwenye harakati za Spika Tulia za kuutaka Urais 2030.
Mimi binafsi nikiri nilishaanza kumchukia Mwigulu, lakini nimegundua ulikuwa ni mchezo mchafu wa kumkwamisha, lakini kumbe huyu ni mtu makini anayefanya kazi ya umma kwa uzalendo mkubwa, weledi na uadilifu wa hali ya juu sana. Sasahivi nimeelewa kwanini hata kajambo kadogo tu ka Mwigulu lazima Spika Tulia atakashikia sana bango na anajigeuza kuwa Jaji alafu kina Halima, Mpina na wengine wanakuwa waendesha Mashtaka, shame on them all na kwa taarifa yenu wote wananchi tumewagundua mapema sana.
Sikuhitaji kusoma ulichokiandika hadi mwisho bali nimesoma aya ya kwanza tu nikaona wewe ni amnazo kabisa. Kama umehongwa na Mwigulu kuandika huo upuuzi mrudishie pesa yake huyo mshenzi aliyehonga watu kuandika jina lake kwenye mawe nchi nzima, Mwigulu ana akili finyu sana ambazo zinamnyima sifa hata ya kuwa Waziri sembuse Urais?Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake.
Imefahamika kuwa Spika Tulia na baadhi ya wanasiasa wanaopiga hesabu ya urais wa 2030 wameunda genge haramu ambalo wamekuwa wakilituma bungeni kumshambulia Mwigulu Nchemba ili kumchafua, kumbomoa na kumkosesha imani kwa wananchi mapema kabla ya 2030, imefahamika pia mikakati yao hiyo inapangwa nje ya bunge na kuja kutekelezwa ndani ya bunge chini ya usimamizi wa Spika Tulia Akson ambae anashiriki vikao hivyo vya gizani, na huwa anaingia Bungeni akiwa anayajua mabomu yote waliyoyaanda kwa siku husika na namna gani atakavyogeuka kuwa jaji wa kurahisha michezo yao.
Mtandao huo mkubwa umeundwa kwa lengo kuu la kumweka Mwigulu kwenye Kona kali kila anapoongea bungeni, lakini cha kustaajabisha hivi karibuni baadhi ya wanamtandao huo wametambua yote yanayopikwa kwajili ya kumhusisha Mwigulu wala hauhusika nayo bali huwa anatetea serikali kwa ujumla wake, na kuna siku Mwigulu alitetea reli ya mwendokasi wakadhani yeye ndie amesaini mkataba na pengine amepata ten percent but baadae wakatambua mikataba hiyo imesainiwa na watu wa Wizara ya Uchukuzi wakaishia kukunja nyuso kwa hasira kali, next time wakakomaa nae tena kwenye na EPC+F wakidhani Mwigulu ndio amesaini Fedha hizo kumbe iliyokuwepo ni EPC pekee iliyosainiwa na Wizara ya Ujenzi wakaishia kufyonza na kung’ata meno kwa uchungu.
Sote tunatambua Bungeni kila Wizara huwa zinafanya masemina na maonesho kwa wabunge wote, na Wizara zote zimefanya lakini cha kustajaabisha Spika na genge lake wamezuia Semina ya Mwigulu kwasababu wanahisi Mwigulu akifanya atapata umaarufu na kuungwa Mkono na wabunge wote na hiyo itakuwa hatari kwenye harakati za Spika Tulia za kuutaka Urais 2030.
Mimi binafsi nikiri nilishaanza kumchukia Mwigulu, lakini nimegundua ulikuwa ni mchezo mchafu wa kumkwamisha, lakini kumbe huyu ni mtu makini anayefanya kazi ya umma kwa uzalendo mkubwa, weledi na uadilifu wa hali ya juu sana. Sasahivi nimeelewa kwanini hata kajambo kadogo tu ka Mwigulu lazima Spika Tulia atakashikia sana bango na anajigeuza kuwa Jaji alafu kina Halima, Mpina na wengine wanakuwa waendesha Mashtaka, shame on them all na kwa taarifa yenu wote wananchi tumewagundua mapema sana.
Mkuu hali ya uchumi ikoje mtaani??? Wananchi wanaongozwa na Tulia kuhusu hii???!Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake.
Imefahamika kuwa Spika Tulia na baadhi ya wanasiasa wanaopiga hesabu ya urais wa 2030 wameunda genge haramu ambalo wamekuwa wakilituma bungeni kumshambulia Mwigulu Nchemba ili kumchafua, kumbomoa na kumkosesha imani kwa wananchi mapema kabla ya 2030, imefahamika pia mikakati yao hiyo inapangwa nje ya bunge na kuja kutekelezwa ndani ya bunge chini ya usimamizi wa Spika Tulia Akson ambae anashiriki vikao hivyo vya gizani, na huwa anaingia Bungeni akiwa anayajua mabomu yote waliyoyaanda kwa siku husika na namna gani atakavyogeuka kuwa jaji wa kurahisha michezo yao.
Mtandao huo mkubwa umeundwa kwa lengo kuu la kumweka Mwigulu kwenye Kona kali kila anapoongea bungeni, lakini cha kustaajabisha hivi karibuni baadhi ya wanamtandao huo wametambua yote yanayopikwa kwajili ya kumhusisha Mwigulu wala hauhusika nayo bali huwa anatetea serikali kwa ujumla wake, na kuna siku Mwigulu alitetea reli ya mwendokasi wakadhani yeye ndie amesaini mkataba na pengine amepata ten percent but baadae wakatambua mikataba hiyo imesainiwa na watu wa Wizara ya Uchukuzi wakaishia kukunja nyuso kwa hasira kali, next time wakakomaa nae tena kwenye na EPC+F wakidhani Mwigulu ndio amesaini Fedha hizo kumbe iliyokuwepo ni EPC pekee iliyosainiwa na Wizara ya Ujenzi wakaishia kufyonza na kung’ata meno kwa uchungu.
Sote tunatambua Bungeni kila Wizara huwa zinafanya masemina na maonesho kwa wabunge wote, na Wizara zote zimefanya lakini cha kustajaabisha Spika na genge lake wamezuia Semina ya Mwigulu kwasababu wanahisi Mwigulu akifanya atapata umaarufu na kuungwa Mkono na wabunge wote na hiyo itakuwa hatari kwenye harakati za Spika Tulia za kuutaka Urais 2030.
Mimi binafsi nikiri nilishaanza kumchukia Mwigulu, lakini nimegundua ulikuwa ni mchezo mchafu wa kumkwamisha, lakini kumbe huyu ni mtu makini anayefanya kazi ya umma kwa uzalendo mkubwa, weledi na uadilifu wa hali ya juu sana. Sasahivi nimeelewa kwanini hata kajambo kadogo tu ka Mwigulu lazima Spika Tulia atakashikia sana bango na anajigeuza kuwa Jaji alafu kina Halima, Mpina na wengine wanakuwa waendesha Mashtaka, shame on them all na kwa taarifa yenu wote wananchi tumewagundua mapema sana.
Sawa anasimama kuisemea Wizara nyingine lakini yeye ndo anakuwa haeleweki kabisa maana hana uwezo wa kumuelewesha asiyejua ili ajue ndo kwanza huwa anayakoroga.EPC plus F na SGR mwigulu aliomba kusimama ili aweze kuchangia kuokoa jahazi baada ya kuona wizara ya ujenzi kupitia Mh waziri ni kama wanajichanganya mno!
Na ndipo hapo wabunge wakasema labda tusubirie bajeti kuu itasemaje!?
Lakini sio mwigulu alikuwa anashambuliwa! Na haikuwa wizara anayoisimamia, ni vile aliona kuna haja ya yeye kusimama na kujaribu kuelezea alinayoyafahamu
Kama gharama za ujenzi wa SGR kuwa kiasi cha matilion ya ujenzi hayawezi kuwekwa katika bajeti, ujenzi wake ni wa awamu kwa awamu na unazidi kipindi cha bajeti husika, tume anza ujenzi kabla rais magufuli hajatuacha na yupo rais Samia hivyo bajeti yake haiwezi ikawa ile ya kipindi kile ktk ujenzi wa reli yote
Alikuwa anajaribu kutolea ufafanuzi pia EPC plus F tulishawahi tumia ktk shughuli za ujenzi nk
So sikuona kama kuna jambo la kusababisha taflani kiasi hicho
Na alishasimama ktk wizara zingine kusaidia sababu yeye pia ni sehemu ya serikali na wanawajibu wa kuisemea serikali
🤣 🤣 🤣Broo/Sista kama Kuna matusi unayajua au umewahi kuyasikia au kuyasoma basi tambua kwamba nimekutukana yote Mkuu!!
🙄🙄😷huo mwaka Mungu ameniambia hao wote uliowataja watakuwa hawapo ...labda Mungu aniambie vinginevyo siku za karibuni
Akawe rais wa Singida United! Alisema tuhamie Burundi, Sasa yeye atahamia Somalia!!!Labda awe Raisi wa Singida!