Yanayoendelea bungeni kati ya Mwigulu na Tulia ni Vita ya Urais wa 2030

Ingawa naichukia ccm na watu wake lkn kwa hili Mwigulu naona anakulipa ili kumpigania na kumtafutia sympathy kwa wananchi.
 

MBONA HAO WOTE WA WILI SIYO PRESIDENTIAL CANDIDATES ?
 
Nimecheka kwa nguvu eti chawa wa Mwigulu unasema Mwigulu ni muadilifu!
 
Wala wasihangaike na kutumia nguvu nyingi kiasi hicho. Mwigulu Nchemba na Januari Makamba HAWAWEZI kuwa ma Rais wa nchi hii hadi umauti uwakute.

Kutaka uRais siyo kupata uRais. Wengi walitaka wakafariki bila kuwa maRais kama Horace Kolimba, Seif Sharrif Hamad, Edward Lowassa, Bernard Membe.

The more unasemwa kuwa Rais nchi hii ndiyo the more unatoka kwenye kapu. Muulize Salim Ahmed Salim, John Malecela au Mohamed Gharib Bilali.

Wanao kaa kimya ndiyo hupata uRais kama vile AH Mwinyi, Ben Mkapa, Magufuli na huyu wa sasa Rais Samia.

Mark my post, tutarudi hapa 2030
 
ili ccm ishinde uchaguzi 2030 ,waweke kati ya hawa:

1.JOSAPHAT GWAJIMA
2.PAUL CHRISTIAN MAKONDA
3.HUMFREY POLE POLE
4.MH MAJALIWA
5.MH LUKUVI

WENGINE WAJAGE 2040.

1.JANUARY MAKAMBA
2.RIDHIWANI KIKWETE
3.MWIGULU CHEMBA
4.
KWANI WTAKUWA WAMEZEEKA?

SJIDA NI MKATA MWITONGO NDO UNAVURUGA TAASISI YA URAIS KUTZUIA TUCHAGUE WAZALENDO WA NCHI HII
 
Kama anakwepa hivyo basi jamaa ni mpigaji smart sana
Yaani yuko ahead kwa yatakayotokea baadae
 
Ni kama wanaoponda Samia hawana hoja ila uzushi,chuki na upumbavu wao kisa ni Mzanzibari lakini hakuna Rais aliye deliver so far kumzidi Samia.

Na Waziri wake wa Fedha ni Mwigulu na ameleta Mageuzi mengi sana kiasi kwamba Hadi dakika hii amewezesha TRA kukusanya pesa kutoka wastani wa 1.5T mwaka 2020/21 Hadi 2.3T mwaka 202/2024 yaani ongezeko la Bilioni 800 kwa miaka 3 tuu.
 
Mpumbavu Sana wewe unasema 2030 .. 2025 mchakato unaanza
 
Hii mada yako hii, huwezi kutuletea hapo 2027 hivi, maanake kwa sasa unatafuta tu kututoa kwenye muda muhimu sana katika taifa letu hili. Mkazo sasa ni kuitazama 2025, tukikosea tu hapa, hiyo 2030 haina maana sana.

Naona kama unatafuta kutupotezea lengo muhimu, kwa mada yako hii.
 
Tulia ni mpuuzi ila mwigulu ni mpuuzi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…