Yanayoendelea hivi sasa ni huzuni sana kwa viongozi wetu..

Joined
Jan 2, 2019
Posts
69
Reaction score
79
Kiukweli tumekubwikwa na viongozi wa aina moja nkiwa na maana ya kwamba hutambua majukumu yao mpaka Wananchi wakionyesha kuriakti... Mfano wimbi la ufungaji barabara linaenda kasi sana na linafanikiwa kwa viongozi kujitokeza na kuzikarabati ...Swali ni kwamba wamejisahau au tatizo ni nini..???

#BwasheeMachuimrProfesaa
 
Gentleman,
kwa kuzingatia taratibu za kiusalama kwa raia na viongozi wa kitaifa barabara mahususi nchini zinaweza kufungwa kwa muda kwasabab ya kupisha misafara ya viongozi wa kitaifa na kimataifa,

Lakini pia,
barabara zinaweza kufungwa kwa muda kwa sababu za kiusalama kwa wananchi wenye magari na watembea kwa miguu,

Lakini pia barabara mahususi nchini, zinaweza kufungwa kwa muda kupisha ujenzi, marekebisho au upanuzi ili hatimae kuboresha na kuimarisha miundombinu hiyo ili hatimae iweze kupitika kirahisi na kwa usalama zaidi.

Ni muhimu sana wananchi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mambo haya yakifanyika kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
 
Kwamba Tanzania siyo salama kwa watawala wana uadui na wananchi? kwanini wakiwa Marekani na kwingineko barabara hazifungwi?
 
Gentleman,
kwa kuzingatia taratibu za kiusalama kwa raia na viongozi wa kitaifa barabara mahususi nchini zinaweza kufungwa kwa muda kwasabab ya kupisha misafara ya viongozi wa kitaifa na kimataifa,

Lakini pia,
barabara zinaweza kufungwa kwa muda kwa sababu za kiusalama kwa wananchi wenye magari na watembea kwa miguu,

Lakini pia barabara mahususi nchini, zinaweza kufungwa kwa muda kupisha ujenzi, marekebisho au upanuzi ili hatimae kuboresha na kuimarisha miundombinu hiyo ili hatimae iweze kupitika kirahisi na kwa usalama zaidi.

Ni muhimu sana wananchi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mambo haya yakifanyika kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
Nazungumzia wananchi kufunga barabara kwa dhumuni la kushinikiza ukarabati wa barabara zao
 
Kiukweli tumekubwikwa na viongozi wa aina moja nkiwa na maana ya kwamba hutambua majukumu yao mpaka Wananchi wakionyesha kuriakti... Mfano wimbi la ufungaji barabara linaenda kasi sana na linafanikiwa kwa viongozi kujitokeza na kuzikarabati ...Swali ni kwamba wamejisahau au tatizo ni nini..???

#BwasheeMachuimrProfesaa
Hawakuchaguliwa na wananchi.
 
Gentleman,
kwa kuzingatia taratibu za kiusalama kwa raia na viongozi wa kitaifa barabara mahususi nchini zinaweza kufungwa kwa muda kwasabab ya kupisha misafara ya viongozi wa kitaifa na kimataifa,

Lakini pia,
barabara zinaweza kufungwa kwa muda kwa sababu za kiusalama kwa wananchi wenye magari na watembea kwa miguu,

Lakini pia barabara mahususi nchini, zinaweza kufungwa kwa muda kupisha ujenzi, marekebisho au upanuzi ili hatimae kuboresha na kuimarisha miundombinu hiyo ili hatimae iweze kupitika kirahisi na kwa usalama zaidi.

Ni muhimu sana wananchi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mambo haya yakifanyika kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
Upo nje ya mada.....muwe mnasoma kwa utulivu....!
 
zingatia maelekezo hayo muhimu sana kwa kulingana na upana wake gentleman 🐒
Jibu hoja acha ujinga, watu wakuchague then wageuke kuwa maadui, kwanini wakati wa kampeni hawawi maadui? ukienda nje unajiachia lakini kwenye nchi yako una hofu na usalama wako why?
 
Back
Top Bottom