Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
hiyo ni tabia isiyofaa na sio muafaka sana kwa maendeleo ya wanainchi wenyewe,Nazungumzia wananchi kufunga barabara kwa dhumuni la kushinikiza ukarabati wa barabara zao
ni muhimu kufuata utaratibu katika kuwasilisha mapendekezo kwa serikali na mamlaka zake, ni vizuri zaidi wananchi kua wastahimilivu na wenye subra kwenye mambo hayo ambayo mingi tayari yako kwenye mipango ya kitaifa, lakini pia katika mipango ya ngazi za halmashauri, ni suala la muda tu mipango hiyo kutekekezwa.
Hakuna haja ya fujo hata kidogo 🐒