Bwashee Machui
Member
- Jan 2, 2019
- 69
- 79
Arusha hii ishu imepamba moto kweli kweliWamejisahau na wamelewa madaraka
Gentleman,Kiukweli tumekubwikwa na viongozi wa aina moja nkiwa na maana ya kwamba hutambua majukumu yao mpaka Wananchi wakionyesha kuriakti... Mfano wimbi la ufungaji barabara linaenda kasi sana na linafanikiwa kwa viongozi kujitokeza na kuzikarabati ...Swali ni kwamba wamejisahau au tatizo ni nini..???
#BwasheeMachuimrProfesaa
Kwamba Tanzania siyo salama kwa watawala wana uadui na wananchi? kwanini wakiwa Marekani na kwingineko barabara hazifungwi?Gentleman,
kwa kuzingatia taratibu za kiusalama kwa raia na viongozi wa kitaifa barabara mahususi nchini zinaweza kufungwa kwa muda kwasabab ya kupisha misafara ya viongozi wa kitaifa na kimataifa,
Lakini pia,
barabara zinaweza kufungwa kwa muda kwa sababu za kiusalama kwa wananchi wenye magari na watembea kwa miguu,
Lakini pia barabara mahususi nchini, zinaweza kufungwa kwa muda kupisha ujenzi, marekebisho au upanuzi ili hatimae kuboresha na kuimarisha miundombinu hiyo ili hatimae iweze kupitika kirahisi na kwa usalama zaidi.
Ni muhimu sana wananchi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mambo haya yakifanyika kwa maslahi mapana ya waTanzania wote π
Wanatusumbua sn kila siku lazima barabara zifungwe mara anapita Makonda sijui Biteko, hovyo kabisaArusha hii ishu imepamba moto kweli kweli
Mkuu siongeleii hali hiyo mkuu ...Nipo katika nyanja ya matatizo na keroWanatusumbua sn kila siku lazima barabara zifungwe mara anapita Makonda sijui Biteko, hovyo kabisa
Nazungumzia wananchi kufunga barabara kwa dhumuni la kushinikiza ukarabati wa barabara zaoGentleman,
kwa kuzingatia taratibu za kiusalama kwa raia na viongozi wa kitaifa barabara mahususi nchini zinaweza kufungwa kwa muda kwasabab ya kupisha misafara ya viongozi wa kitaifa na kimataifa,
Lakini pia,
barabara zinaweza kufungwa kwa muda kwa sababu za kiusalama kwa wananchi wenye magari na watembea kwa miguu,
Lakini pia barabara mahususi nchini, zinaweza kufungwa kwa muda kupisha ujenzi, marekebisho au upanuzi ili hatimae kuboresha na kuimarisha miundombinu hiyo ili hatimae iweze kupitika kirahisi na kwa usalama zaidi.
Ni muhimu sana wananchi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mambo haya yakifanyika kwa maslahi mapana ya waTanzania wote π
Hao wote waliokujibu hapo juu wamekurupuka tu.Mkuu siongeleii hali hiyo mkuu ...Nipo katika nyanja ya matatizo na kero
Wanafunga Barabara Kila uchwaoArusha hii ishu imepamba moto kweli kweli
Hawakuchaguliwa na wananchi.Kiukweli tumekubwikwa na viongozi wa aina moja nkiwa na maana ya kwamba hutambua majukumu yao mpaka Wananchi wakionyesha kuriakti... Mfano wimbi la ufungaji barabara linaenda kasi sana na linafanikiwa kwa viongozi kujitokeza na kuzikarabati ...Swali ni kwamba wamejisahau au tatizo ni nini..???
#BwasheeMachuimrProfesaa
Na huko hawana hata mpiga kura mmoja!Kwamba Tanzania siyo salama kwa watawala wana uadui na wananchi? kwanini wakiwa Marekani na kwingineko barabara hazifungwi?
Upo nje ya mada.....muwe mnasoma kwa utulivu....!Gentleman,
kwa kuzingatia taratibu za kiusalama kwa raia na viongozi wa kitaifa barabara mahususi nchini zinaweza kufungwa kwa muda kwasabab ya kupisha misafara ya viongozi wa kitaifa na kimataifa,
Lakini pia,
barabara zinaweza kufungwa kwa muda kwa sababu za kiusalama kwa wananchi wenye magari na watembea kwa miguu,
Lakini pia barabara mahususi nchini, zinaweza kufungwa kwa muda kupisha ujenzi, marekebisho au upanuzi ili hatimae kuboresha na kuimarisha miundombinu hiyo ili hatimae iweze kupitika kirahisi na kwa usalama zaidi.
Ni muhimu sana wananchi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mambo haya yakifanyika kwa maslahi mapana ya waTanzania wote π
Shida zile zile mkuuMkuu siongeleii hali hiyo mkuu ...Nipo katika nyanja ya matatizo na kero
Kule wanakuwa na amani kuliko wakiwa kwenye nchi zao, hovyo kabisaNa huko hawana hata mpiga kura mmoja!
zingatia maelekezo hayo muhimu sana kwa kulingana na upana wake gentleman πKwamba Tanzania siyo salama kwa watawala wana uadui na wananchi? kwanini wakiwa Marekani na kwingineko barabara hazifungwi?
Jibu hoja acha ujinga, watu wakuchague then wageuke kuwa maadui, kwanini wakati wa kampeni hawawi maadui? ukienda nje unajiachia lakini kwenye nchi yako una hofu na usalama wako why?zingatia maelekezo hayo muhimu sana kwa kulingana na upana wake gentleman π