hiyo ni tabia isiyofaa na sio muafaka sana kwa maendeleo ya wanainchi wenyewe,Nazungumzia wananchi kufunga barabara kwa dhumuni la kushinikiza ukarabati wa barabara zao
hoja ndio hiyo gentleman,Jibu hoja acha ujinga, watu wakuchague then wageuke kuwa maadui, kwanini wakati wa kampeni hawawi maadui? ukienda nje unajiachia lakini kwenye nchi yako una hofu na usalama wako why?
Umeona ulivyo shetani, hoja zimekushinda, wakati wa kampeni mbona hamfungi barabara?hoja ndio hiyo gentleman,
fujo na makelele haiwezi kujenga barabara gentleman,
ni mipango mikakati mizuri na kabambe ya ujenzi ndio itakayofanikisha kujengwa barabara nzuri, imara na za kudumu zaidi kwa maendeleo ya wananchi.
Mihemko, makasiriko na ghadhabu ni useless na completely nonsense kwenye mambo ya maendeleo.
Ni Lazima pawepo ustaarabu, ustahimilivu na subra kwenye mambo haya.
hapa town unajiachiaje mbele ya kibaka mvivu, mvuta shisha mwenye njaa na hasira kama wewe?π
Chukua hizo point muhimu sana, zitakusaidia sana kuongeza ufahamu na uelewa mpana zaidi juu ya mambo haya muhimu madogo madogo ndani ya jamii gentleman πUpo nje ya mada.....muwe mnasoma kwa utulivu....!
zingatia maelekezo mahususi sana ya awali juu haswaa ya kwanini baadhi ya barabara hufungwa kwa muda na mamlaka za serikali.Umeona ulivyo shetani, hoja zimekushinda, wakati wa kampeni mbona hamfungi barabara?
Hopeless kabisazingatia maelekezo mahususi sana ya awali juu haswaa ya kwanini baadhi ya barabara hufungwa kwa muda na mamlaka za serikali.
hiyo ya wananchi kufunga barabara kwa sababu mbalimbali ni sawa lakini si muhimu hata kidogo kwasabb ni ukiukaji wa sheria na usalama wa wasio husika.
So,
acheni hiyo tabia mbaya gentleman π
zingatieni hayo maelekezo bila ubishi tafadhali gentleman πHopeless kabisa
Hatutaki ujingazingatieni hayo maelekezo bila ubishi tafadhali gentleman π
kaa na upumbavu wako sasa kama utasaidika gentleman πHatutaki ujinga
Mkuu usiendekeze ushamba.Gentleman,
kwa kuzingatia taratibu za kiusalama kwa raia na viongozi wa kitaifa barabara mahususi nchini zinaweza kufungwa kwa muda kwasabab ya kupisha misafara ya viongozi wa kitaifa na kimataifa,
Lakini pia,
barabara zinaweza kufungwa kwa muda kwa sababu za kiusalama kwa wananchi wenye magari na watembea kwa miguu,
Lakini pia barabara mahususi nchini, zinaweza kufungwa kwa muda kupisha ujenzi, marekebisho au upanuzi ili hatimae kuboresha na kuimarisha miundombinu hiyo ili hatimae iweze kupitika kirahisi na kwa usalama zaidi.
Ni muhimu sana wananchi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mambo haya yakifanyika kwa maslahi mapana ya waTanzania wote π
sasa wewe mbegu,Mkuu usiendekeze ushamba.
Mwalimu alikuwa mtu simple sana, hana misafara na wananchi walimpenda.
Sasa hivi barabara zinafungwa kwa kasi na ktudharau sisi walipa kodi ambao fedha zetu ndio zinajenga hizo barabara.
Mimi nawaunga mkono kutokana na kufanya hivyo kumeleta matunda ......Nakumbuka hata Mkuu wetu wa Mkoa Arusha alituunga mkono pia baada ya kumtembeza Diwani katika madimbwi kisha kesho yake tuu barabara zikifanyiwa kazi.... Viongozi wetu wengi wanapaswa kukumbushwa wajibu wao kwa namna hiyohiyo ni tabia isiyofaa na sio muafaka sana kwa maendeleo ya wanainchi wenyewe,
ni muhimu kufuata utaratibu katika kuwasilisha mapendekezo kwa serikali na mamlaka zake, ni vizuri zaidi wananchi kua wastahimilivu na wenye subra kwenye mambo hayo ambayo mingi tayari yako kwenye mipango ya kitaifa, lakini pia katika mipango ya ngazi za halmashauri, ni suala la muda tu mipango hiyo kutekekezwa.
Hakuna haja ya fujo hata kidogo π