Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Maduro; waliekuwa wanampa matumaini kuwa watamlinda na kumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi alichukuliwa kwa mabavu bila wao kufanya lolote kumlinda.
Khamenei: waliyekuwa wanampa maumaini kuwa watamalinda nakumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi ameuwawa kinyemela bila wao kufanya lolote kumlinda.
Ninapoona kiongozi wa kiafrika akiwategemea jamaa hawa kiulinzi, ninakuwa na wasiwasi sana na uwezo wa kiongozi huyo. Unaweza kuitegemea China kiuchumi, lakini siyo kiulinzi.