We ngoja wakubinye pumbu kwa ujjnga wakoSamia unarudia tena pumba zako
Wapi limeongelewa suala la bikra 72 huoni unavyodhihirisha weupe wako kichwani
We ngoja wakubinye pumbu kwa ujjnga wakoSamia unarudia tena pumba zako
Wapi limeongelewa suala la bikra 72 huoni unavyodhihirisha weupe wako kichwani
UnafeliWe ngoja wakubinye pumbu kwa ujjnga wako
Hujatumia logic kujibu Mkuu, badala yake unaambatanisha neno logic na hisia 🚮Simple logic ni kua mshirika wako ana matatizo then wewe hutoi msaada wowote unatazama TU
Yaan, anacho Fanya Russia na China..wapo too much motivation but zero support..Hujatumia logic kujibu Mkuu, badala yake unaambatanisha neno logic na hisia 🚮
Afadhali kiongozi umenisaidia kumjibu..China inadai iliwapa Iran msaada wa kiintelijensia na waliwastua Iran three hrs kabla Ayatollah hajauawa kuwa maisha yake yako hatarini lakini bado tu akauawa sasa kama walifanya uzembe wenyewe kwa kujiamini kupitia kiasi au regardless security measures zote walizofanya bado hazikuweza kumlinda nobody knows.
Silaha huwa wanauziwa na Russia pamoja na China, kama tatizo ni uwezo wao wa kuzitumia au ubora wa silaha zenyewe it's a billion dollar question.
Ndiyo maana ukiangalia wengi hawako objective.Afadhali kiongozi umenisaidia kumjibu..
Jamaa yupo too emotional ujue hii vita wengi wapo biased kutokana na Imani zao.
Mfano wakristo wapo upande wa Israeli vs waislamu ,wafilistiii, Palestine, Iranian regime ndio ivyo yaani
Sahihi...Maduro; waliekuwa wanampa matumaini kuwa watamlinda na kumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi alichukuliwa kwa mabavu bila wao kufanya lolote kumlinda.
Khamenei: waliyekuwa wanampa maumaini kuwa watamalinda nakumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi ameuwawa kinyemela bila wao kufanya lolote kumlinda.
Ninapoona kiongozi wa kiafrika akiwategemea jamaa hawa kiulinzi, ninakuwa na wasiwasi sana na uwezo wa kiongozi huyo. Unaweza kuitegemea China kiuchumi, lakini siyo kiulinzi.
Kabisa, labda hizo nchi ziwe zinamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu yanayoweza kubeba vichwa vya nyuklia mpaka kwenye ardhi ya Marekani.Hakuna nchi dunia inayoweza kuingilia vita vya Marekani/Israel, hiyo nchi haipo na haujawahi kutokea since the US became the world's super power. Until a change in military power dynamics occurs I don't see any nation confronting the US labda nchi ikishambuliwa yenyewe ndipo itapigana kwa kuwa kunakuwa hakuna alternatives.
Maduro; waliekuwa wanampa matumaini kuwa watamlinda na kumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi alichukuliwa kwa mabavu bila wao kufanya lolote kumlinda.
Khamenei: waliyekuwa wanampa maumaini kuwa watamalinda nakumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi ameuwawa kinyemela bila wao kufanya lolote kumlinda.
Ninapoona kiongozi wa kiafrika akiwategemea jamaa hawa kiulinzi, ninakuwa na wasiwasi sana na uwezo wa kiongozi huyo. Unaweza kuitegemea China kiuchumi, lakini siyo kiulinzi.
Marekani kuna nchi wanajua vita vya kupigana nao ni vikwazo na si zaidi ya hapo lakini nchi kama Iran hiyo wanaishambulia tu, hapa Iranian regime ikifanikiwa kusimama bila ya kudondoshwa na kufanyika regime change ndiyo itakuwa ushindi wao hata kama watakuwa wamebomolewa all military bases, viongozi wakubwa wote kuuawa na infrastructure kuharibiwa kwa kiwango kikubwa. Yaani wao wanachopambania no ku-survive na huo ndiyo utakuwa ushindi wao kwani kushinda mapambano kwenye battlefield hilo hata wao wanajua kuwa haiwezekani. They're fighting for survival.Kabisa, labda hizo nchi ziwe zinamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu yanayoweza kubeba vichwa vya nyuklia mpaka kwenye ardhi ya Marekani.
Siyo kuleta vita, bali wanatakiwa wazuie vitaUnataka walete vita ya tatu ya dunia?
MAMBO MAKUBWA HAYATAKI MIHEMKO KAMA UNAVYOFIKIRI
Unaweza ukaangalia faida na hasara ukaona bora hiyo Vita iishie Iran badala ya kuieneza na kuua watu wengi zaidi.
HAO WAISRAEL WALIO MUUA YESU, NAONA DAMU YA YESU INAWAANDAMA.....WANAENDELEA KUUA!!!
We nani anataka uhayatollah mbele ya kipondo cha US na myahudi na Trump anakuambia kipondo cha sasa wala yaani kama bando ni KB sasa kuna miterabyte itachaaliwa na ndiyo Iran atajua why si mchina, mrusi, mkorea kiduku anayeweza ingilia huo mtanange kumuokoaTulia hivyohivyo mu iran wa mbumbuseseni...au tukuteue uwe yahayatullah??
Regime change ni lazima, itokee hamna namnaMarekani kuna nchi wanajua vita vya kupigana nao ni vikwazo na si zaidi ya hapo lakini nchi kama Iran hiyo wanaishambulia tu, hapa Iranian regime ikifanikiwa kusimama bila ya kudondoshwa na kufanyika regime change ndiyo itakuwa ushindi wao hata kama watakuwa wamebomolewa all military bases, viongozi wakubwa wote kuuawa na infrastructure kuharibiwa kwa kiwango kikubwa. Yaani wao wanachopambania no ku-survive na huo ndiyo utakuwa ushindi wao kwani kushinda mapambano kwenye battlefield hilo hata wao wanajua kuwa haiwezekani. They're fighting for survival.
Israel kuwaua mahasimu wake itaendelea kuwaua sana tu maana kwenye high tech wapo mbele ya muda hao. Ni ukweli uliothibitika na utakaoendelea thibitika kwa miaka mingi ijayo kuwa wayahudi kwenye ubunifu, vumbuzi mbalimbali wapo vizuri. Uwezo kama wa Albert Einstein au jews brains behind high tech companies za sillicon valley zinaonyesha uwezo wa hao watu pasipo na chembe ya shaka. Jews wanajua wanavyochukiwa mnoo na dunia hivyo kila siku wanajiuliza how watasurvive na hii inawafanya kuwa mbele ya muda kwenye kujilinda na ndiyo maana ni kataifa kadogo but balaa lake dunia nzima linajulikana mpaka wabongo utasikia wanasema izrael mtoa roho🤣😂China inadai iliwapa Iran msaada wa kiintelijensia na waliwastua Iran three hrs kabla Ayatollah hajauawa kuwa maisha yake yako hatarini lakini bado tu akauawa sasa kama walifanya uzembe wenyewe kwa kujiamini kupitia kiasi au regardless security measures zote walizofanya bado hazikuweza kumlinda nobody knows.
Silaha huwa wanauziwa na Russia pamoja na China, kama tatizo ni uwezo wao wa kuzitumia au ubora wa silaha zenyewe it's a billion dollar question.