Hakuna nchi dunia inayoweza kuingilia vita vya Marekani/Israel, hiyo nchi haipo na haujawahi kutokea since the US became the world's super power. Until a change in military power dynamics occurs I don't see any nation confronting the US labda nchi ikishambuliwa yenyewe ndipo itapigana kwa kuwa kunakuwa hakuna alternatives.Maduro; waliekuwa wanampa matumaini kuwa watamlinda na kumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi alichukuliwa kwa mabavu bila wao kufanya lolote kumlinda.
Khamenei: waliyekuwa wanampa maumaini kuwa watamalinda nakumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi ameuwawa kinyemela bila wao kufanya lolote kumlinda.
Ninapoona kiongozi wa kiafrika akiwategemea jamaa hawa kiulinzi, ninakuwa na wasiwasi sana na uwezo wa kiongozi huyo. Unaweza kuitegemea China kiuchumi, lakini siyo kiulinzi.
Sikiliza hapaHakuna nchi dunia inayoweza kuingilia vita vya Marekani/Israel, hiyo nchi haipo na haujawahi kutokea since the US became the world's super power. Until a change in military power dynamics occurs I don't see any nation confronting the US labda nchi ikishambuliwa yenyewe ndipo itapigana kwa kuwa kunakuwa hakuna alternatives.
Duniani kuna Satellite constellation za positioning system 4 Tu kubwa.Maduro; waliekuwa wanampa matumaini kuwa watamlinda na kumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi alichukuliwa kwa mabavu bila wao kufanya lolote kumlinda.
Khamenei: waliyekuwa wanampa maumaini kuwa watamalinda nakumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi ameuwawa kinyemela bila wao kufanya lolote kumlinda.
Ninapoona kiongozi wa kiafrika akiwategemea jamaa hawa kiulinzi, ninakuwa na wasiwasi sana na uwezo wa kiongozi huyo. Unaweza kuitegemea China kiuchumi, lakini siyo kiulinzi.
Umemjibu kitaalam sana,watu wengi humu wanataka waone Urusi ama china wamepeleka meli na mdege zake hawajui nyuma ya pazia Kuna Nini kinaendelea.vita ni akili sio kukurupuka.Duniani kuna Satellite constellation za positioning system 4 Tu kubwa.
1. GPS ya USA
2. Gallileo ya Ulaya
3. Glonas ya Mrusi
4. Beidou ya Mchina
Mabomu yote yanayoruka, Ndege na modern warfare yoyote ni lazima uwe na access nazo.
Unafkiri Kombora linatokaje Iran Hadi Israel na kupiga exactly nyumba Fulani?
Unaweza pewa msaada wa Silaha zote kubwa Duniani ila kama hujui kuzitumia ama huna access na vitu Muhimu kama nilivyotaja hapo juu ni bure.
Angalia Ukraine nini hawajasaidiwa? Wamepewa kila kitu ila Wana under perform.
Then muangalie Iran Hana Silaha sophiscated, mabomu yake ya mafungu + msaada wa access kama beidou anahangaisha super power kakimbiza Ndege zake na Meli zake, imebaki super power w mchongo anaomba ceasefire.
Ila Sikulaumu, kwa Africa Sisi tuna Njaa Sana, msaada ni chakula, dawa, na material thing mengine, ukimpa MTU ushauri, mchongo, idea etc hakuelewi ila mpe buku 2 akale chips anakuona wa maana, so ngumu kuelewa Nchi kama China msaada wake kwa Iran mpaka uone Mchina kaleta meli ama Kombora, Vitu kama Intelijesia, Weakness za vifaa vyao adui, access za positioning systems, sharing of technology etc sio misaada kwa MuAfrica.
Yeah, practise makes perfect. Advantage ya US na Israel vifaa vyao wanavijua efficiency yake kwenye real combat kwa kuwa wana experience ya mapambano. Umemsikia muhuni anakwambi even a fraction of a second matters na co-ordination ya defence systems za China na Russia pia inawachanganya na kubatuliwa kwa radar unaambiwa difference missiles zinakuwa useless tubes.
Inawezekana hujui kuwa hizo GNSS constellation zinatumia frequencies tofauti, na vile vile zina timing tofauti. Nilishazitest kutumia Ublox na Skytraq GNSS receiver kunasa nikagundua kuwa glonass, beidou, galileo, IRNSS, na QZSS zote ni hovyo kabisa kwani zina error ya zaidi ya mita mia moja.Umemjibu kitaalam sana,watu wengi humu wanataka waone Urusi ama china wamepeleka meli na mdege zake hawajui nyuma ya pazia Kuna Nini kinaendelea.vita ni akili sio kukurupuka.
Nina amini katika haya mafanikio anayopata Iran nyuma Kuna nguvu kubwa sana za Urusi,china na wenzao.
Tulia hivyohivyo mu iran wa mbumbuseseni...au tukuteue uwe yahayatullah??Duniani kuna Satellite constellation za positioning system 4 Tu kubwa.
1. GPS ya USA
2. Gallileo ya Ulaya
3. Glonas ya Mrusi
4. Beidou ya Mchina
Mabomu yote yanayoruka, Ndege na modern warfare yoyote ni lazima uwe na access nazo.
Unafkiri Kombora linatokaje Iran Hadi Israel na kupiga exactly nyumba Fulani?
Unaweza pewa msaada wa Silaha zote kubwa Duniani ila kama hujui kuzitumia ama huna access na vitu Muhimu kama nilivyotaja hapo juu ni bure.
Angalia Ukraine nini hawajasaidiwa? Wamepewa kila kitu ila Wana under perform.
Then muangalie Iran Hana Silaha sophiscated, mabomu yake ya mafungu + msaada wa access kama beidou anahangaisha super power kakimbiza Ndege zake na Meli zake, imebaki super power w mchongo anaomba ceasefire.
Ila Sikulaumu, kwa Africa Sisi tuna Njaa Sana, msaada ni chakula, dawa, na material thing mengine, ukimpa MTU ushauri, mchongo, idea etc hakuelewi ila mpe buku 2 akale chips anakuona wa maana, so ngumu kuelewa Nchi kama China msaada wake kwa Iran mpaka uone Mchina kaleta meli ama Kombora, Vitu kama Intelijesia, Weakness za vifaa vyao adui, access za positioning systems, sharing of technology etc sio misaada kwa MuAfrica.
hao sio washirika wa kweli! Tanzania yenyewe inajifanya Ina urafiki na ChinaMaduro; waliekuwa wanampa matumaini kuwa watamlinda na kumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi alichukuliwa kwa mabavu bila wao kufanya lolote kumlinda.
Khamenei: waliyekuwa wanampa maumaini kuwa watamalinda nakumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi ameuwawa kinyemela bila wao kufanya lolote kumlinda.
Ninapoona kiongozi wa kiafrika akiwategemea jamaa hawa kiulinzi, ninakuwa na wasiwasi sana na uwezo wa kiongozi huyo. Unaweza kuitegemea China kiuchumi, lakini siyo kiulinzi.
Jibu hoja au ndo mweupe kichwani kama mimi? π π πTulia hivyohivyo mu iran wa mbumbuseseni...au tukuteue uwe yahayatullah??
Tuna laani tuna laani lakini msaada hakuna πMaduro; waliekuwa wanampa matumaini kuwa watamlinda na kumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi alichukuliwa kwa mabavu bila wao kufanya lolote kumlinda.
Khamenei: waliyekuwa wanampa maumaini kuwa watamalinda nakumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi ameuwawa kinyemela bila wao kufanya lolote kumlinda.
Ninapoona kiongozi wa kiafrika akiwategemea jamaa hawa kiulinzi, ninakuwa na wasiwasi sana na uwezo wa kiongozi huyo. Unaweza kuitegemea China kiuchumi, lakini siyo kiulinzi.
Je, wameombwa msaada wakakataa kusaidia?Tuna laani tuna laani lakini msaada hakuna π
China inadai iliwapa Iran msaada wa kiintelijensia na waliwastua Iran three hrs kabla Ayatollah hajauawa kuwa maisha yake yako hatarini lakini bado tu akauawa sasa kama walifanya uzembe wenyewe kwa kujiamini kupitia kiasi au regardless security measures zote walizofanya bado hazikuweza kumlinda nobody knows.Je, wameombwa msaada wakakataa kusaidia?
Β² je Iran inamkataba wa ulinzi wa pamoja na China ama Russia? Mkataba wa uhusiano wao ukoje
Hakuna hoja hapo zaidi ya umbea na ushabiki wa kiiran...Hoja ajibu ayatullah uko peponi na bikra zake 72...nawew kama unaona kuna hoja wew ni mweupe kama ulivyokiriJibu hoja au ndo mweupe kichwani kama mimi? π π π
Je, wameombwa msaada wakakataa kusaidia?
Β² je Iran inamkataba wa ulinzi wa pamoja na China ama Russia? Mkataba wa uhusiano wao ukoje
Iran mwenyewe halalamiki, yeye ndio anajuwa anasaidiwa vipi.Umemjibu kitaalam sana,watu wengi humu wanataka waone Urusi ama china wamepeleka meli na mdege zake hawajui nyuma ya pazia Kuna Nini kinaendelea.vita ni akili sio kukurupuka.
Nina amini katika haya mafanikio anayopata Iran nyuma Kuna nguvu kubwa sana za Urusi,china na wenzao.
Samia unarudia tena pumba zakoHakuna hoja hapo zaidi ya umbea na ushabiki wa kiiran...Hoja ajibu ayatullah uko peponi na bikra zake 72...nawew kama unaona kuna hoja wew ni mweupe kama ulivyokiri