Yanayoendelea Iran ni Ushahidi kuwa Urusi na China siyo wa kuaminika kama marafiki

Afadhali kiongozi umenisaidia kumjibu..

Jamaa yupo too emotional ujue hii vita wengi wapo biased kutokana na Imani zao.

Mfano wakristo wapo upande wa Israeli vs waislamu ,wafilistiii, Palestine, Iranian regime ndio ivyo yaani
 
Afadhali kiongozi umenisaidia kumjibu..

Jamaa yupo too emotional ujue hii vita wengi wapo biased kutokana na Imani zao.

Mfano wakristo wapo upande wa Israeli vs waislamu ,wafilistiii, Palestine, Iranian regime ndio ivyo yaani
Ndiyo maana ukiangalia wengi hawako objective.
 
Sahihi...
 
Kabisa, labda hizo nchi ziwe zinamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu yanayoweza kubeba vichwa vya nyuklia mpaka kwenye ardhi ya Marekani.
 

Unataka walete vita ya tatu ya dunia?
MAMBO MAKUBWA HAYATAKI MIHEMKO KAMA UNAVYOFIKIRI
Unaweza ukaangalia faida na hasara ukaona bora hiyo Vita iishie Iran badala ya kuieneza na kuua watu wengi zaidi.
HAO WAISRAEL WALIO MUUA YESU, NAONA DAMU YA YESU INAWAANDAMA.....WANAENDELEA KUUA!!!
 
Kabisa, labda hizo nchi ziwe zinamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu yanayoweza kubeba vichwa vya nyuklia mpaka kwenye ardhi ya Marekani.
Marekani kuna nchi wanajua vita vya kupigana nao ni vikwazo na si zaidi ya hapo lakini nchi kama Iran hiyo wanaishambulia tu, hapa Iranian regime ikifanikiwa kusimama bila ya kudondoshwa na kufanyika regime change ndiyo itakuwa ushindi wao hata kama watakuwa wamebomolewa all military bases, viongozi wakubwa wote kuuawa na infrastructure kuharibiwa kwa kiwango kikubwa. Yaani wao wanachopambania no ku-survive na huo ndiyo utakuwa ushindi wao kwani kushinda mapambano kwenye battlefield hilo hata wao wanajua kuwa haiwezekani. They're fighting for survival.
 
Siyo kuleta vita, bali wanatakiwa wazuie vita
 
Tulia hivyohivyo mu iran wa mbumbuseseni...au tukuteue uwe yahayatullah??
We nani anataka uhayatollah mbele ya kipondo cha US na myahudi na Trump anakuambia kipondo cha sasa wala yaani kama bando ni KB sasa kuna miterabyte itachaaliwa na ndiyo Iran atajua why si mchina, mrusi, mkorea kiduku anayeweza ingilia huo mtanange kumuokoa
 
Regime change ni lazima, itokee hamna namna
 
Israel kuwaua mahasimu wake itaendelea kuwaua sana tu maana kwenye high tech wapo mbele ya muda hao. Ni ukweli uliothibitika na utakaoendelea thibitika kwa miaka mingi ijayo kuwa wayahudi kwenye ubunifu, vumbuzi mbalimbali wapo vizuri. Uwezo kama wa Albert Einstein au jews brains behind high tech companies za sillicon valley zinaonyesha uwezo wa hao watu pasipo na chembe ya shaka. Jews wanajua wanavyochukiwa mnoo na dunia hivyo kila siku wanajiuliza how watasurvive na hii inawafanya kuwa mbele ya muda kwenye kujilinda na ndiyo maana ni kataifa kadogo but balaa lake dunia nzima linajulikana mpaka wabongo utasikia wanasema izrael mtoa roho🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…