Yanayoendelea katika uwanja wa uhuru katika kuaga mwili wa Rais Magufuli

Acha propaganda za kijinga.
Piga simu hotel yeyote Dodoma na Chato ziko full booked kwa kesho na Chato pia kana kuna hotel iko wazi please weka jina la hotel ilipo na namba zao za simu watu wana watu dodoma na Chato waliobahatika kupata hoteli watakuja ku book na kulipia chapchap
 
Hotel ipi Chato unayoijua ipo full booked?
 
Mie nimeshindwa muaga pia, nimefanya juhudi hapa dar imeshindikana. Sababu ya lile nyomi, nimefika saa tatu uwanjani mpaka saa nane hamna dalili watu ni wengi foleni haziendi, hivyo MUNGU AMLAZE JEMEDARI WETU MAHALI PEMA KABISA PEPONI...
Ungejitahidi ukae upande wa wanajeshi, mi ndo nilichokifanya nilijimix nao tukasukumana mpaka nikamuona...I real thank God kwa kunipa hiyo nafasi[emoji120]
 
Ungejitahidi ukae upande wa wanajeshi, mi ndo nilichokifanya nilijimix nao tukasukumana mpaka mpaka nikamuona...I real thank God kwa kunipa hiyo nafasi[emoji120]
wanajeshi wengi hawakua friendly kabisa. Hasa kwa vijana wa kiume, Niliona wanapiga watu na kuwakalisha chini nikasema isiwe tabu. Hapo nilikua nimefikiria hadi kuruka yale machuma ila nilikua na shemeji yenu hivyo sikutaka kumrusha maana ilikua unaweza ruka unatua upande wa pili unaanza kimbizana na askari...
 
Mkuu ndo nishaiacha Dakawa, vijiji vya kuisaka Gairo hapa! Nimeipotezea Zanzibar due to geographical reason. Nimetupia wese la kutosha kwenye farasi wangu! Dodoma nitafanikiwa tu! Chato is last point!
 
Kaza roho kijana.Maana usije ukakumbuka na misiba ya zamani ukaanza kulia hadi uso ukajaa machozi ukashindwa kuona mbele ajali ikatokea wakasema wakinzani walilegeza nati za tairi la gari "ulilokwea"![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante sana kwa ushauri! Kufa tutakufa wote, hatujui tutakufa lini!
 

Mwamba njoo Dar, kesho nenda Unguja kamsubirie huko.
 
Mmmh labda kwa nyie wa kiume, mi nilikuwa na wajeda wengi wao walikuwa wa kiume na ndo walikuwa wanasaidia kunipush mbele ili nisibaki nyuma, yaan kiufupi wao ndo walinifikisha hadi kwa hayati...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…