Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

Kwenye kampeni za urais 2015 mgombea wa CHADEMA alisema atatumia maliasili tulizo nazo kuombea mikopo ili kuleta maendeleo. Ninamshukuru Mungu kuepusha yule mgombea kuwa Rais. Angeuza nchi ndani ya siku 100 baada ya kuapishwa.
 
Nimesoma habari za yule dada kigagura wa Marekani kama aliyoyaandika ni kweli basi hakuna sababu ya kuwa na usalama wa Taifa.
Kigagula anafanya biashara haramu ya blackmailing. Ameshazoea kuwapiga watu hela ila safari hii watu wameamua kwenda naye jinsi na yeye anavyowafanyia watu. Pia kumbe sio raia wa Marekani.
 
Kigagula anafanya biashara haramu ya blackmailing. Ameshazoea kuwapiga watu hela ila safari hii watu wameamua kwenda naye jinsi na yeye anavyowafanyia watu. Pia kumbe sio raia wa Marekani.
Ana green card, ni mkazi wa kudumu.
 
Kuzilinda kuzilinda kuzilinda, watalaamu na wasomi ndio wanaoharibu nchi yetu hii.

Mara kadha, tumeshuhudia usaliti mkubwa kwa hao wanaotaka au wanaojiita watetezi wa wanyonge.

Taifa limekuwa likiongozwa na viongozi wanafiki wa hali ya juu sana kwa kipindi kirefu.

Tumechoka sasa, acheni amani yetu iendelee kudumu na hilo ndio kubwa.
Tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 40+ tunaimba wimbo wa kuzilinda raslimali tutanufaika nazo lini? Mama kuthubutu angalau kila mtanzania sasa anaona yanayofanywa na tukumbuke yeye sio Mungu kwamba atatatua changamoto zote kwa siku moja.

Mh. Rais endelea kuupiga mwingi ...
Mama Samia Mitano tena.

Tumechoka na unafiki wa viongozi wengi watanzania.
 
Ukisoma alivyoandika ni kuwa FBI wameshaona serikali ina hoja na huenda wakamrudisha asipokomaa kisheria.
Mimi sipendi tabia zake lakini FBI hawawezi kumkabidhi Tanzania labda ingekuwa ni issue ya ugaidi.

FBI wako huru hawafanyi kazi kwa shinikizo la mtu yeyote usiwafananishe na hawa kina Wambura ambao unaweza kuwapa maelekezo.
 
Mtu kama huyu natamani nimpige fimbo/miti matkni ni vile yuko mbali na upeo wangu

Aroo ww!
 
Mimi sipendi tabia zake lakini FBI hawawezi kumkabidhi Tanzania labda ingekuwa ni issue ya ugaidi.

FBI wako huru hawafanyi kazi kwa shinikizo la mtu yeyote usiwafananishe na hawa kina Wambura ambao unaweza kuwapa maelekezo.
Soma tena alichoandika dada wa Marekani ili ujue unachosema hakiwezekani kuwa kinawezekana. Ingekuwa haiwezekani asingekataa wito wa FBI.
 
wewe unategemea nini kama mshauri mkuu ni mwikwaju???,,,,na waosafiri nae nje ni wasanii??
 
Wapumbavu kama wewe hawapaswi kuwepo nchini
 
Halafu Kiongozi huyo huyo akaona ni sahihi kabisa kwake kusafiri nje ya nchi siku ya Wafanyakazi duniani, yaani Mei Mosi!!
Tumekuwa raia wa bahati mbaya kila awamu, tuna bahati mbaya sana lakini kiongozi unapofikia hatua ya kuchezea rasilimali za taifa, hii kwangu ni zaidi ya bahati mbaya.
 
pesa za kampeni zinatafutwa kwa udi na uvumba
 
Magufuli alikuwa mtu wa hovyo lakini alijitahidi kulinda rasilimali. Tusipokuwa makini huyu mtu atatuuza. Huu ulikuwa muda wa kumuunga mkono Lissu
Lisu huyu huyu anayelilia achangiwe gari.
 
Watapinga walamba asali. Na huu ndio ukweli wenyewe kutoka kwa jaji.



KAZI ni kipimo cha UTU
 
Hata kipindi cha mkapa tuliambiwa anauza nchi. Lakini mgao hatukupewa, ngoja tuone kama mama atatukumbuka mgao baada ya kuiuza nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…