Kuna faida gani kwa familia kuwa na heka kumi za mashamba ilikhali kila mwaka mnalia njaa,huku watu wenye uwezo wakiomba wayaendeleze hayo mashamba ili nawewe upate kujikwamua kiuchumi? Je ni vibaya kuwapa wawekezaji ili tu mali hizo zibaki mikononi mwetu kama sifa?
Loliondo imekuwepo kwa miaka sasa,je uwepo wake umeleta tija kwa watanzania,? Na kama mimi sioni tija,kuna ubaya gani kumpa mwekezaji ili aendekeze huku tukipata gawio letu na watu kupata ajira?
Ok bandari,bandari imekuwepo miaka na miaka,je imeleta tija kama ambavyo taasisi ya urais na rais inataka,kama hakuna tija ,je nidhambi tukiibinafsisha ili kuongeza ufanisi na mapato kwa nchi yetu?
Watanzania hawana jema,ni watu walalamishi,hivyo rais aliyepo anapambana sana ili kuboresha maisha ya kila mtanzania.
Go go go go mama