Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

Watanzania ni wezi, wavivu na watu wa kuendekeza starehe.

Nyerere alianzisha mashirika 400 lakini yote yalkuwa dhoofu hali by 1995.

Wacha tubinafsishe kila kitu
 
Mama kagawa bandari kwa waarabu wenzake magaidi wapandisha majini ameona haitoshi anaendaa Korea kuwaita macho ya paka waje kuchukua rasilimali zilizobaki. Nchi ya kiqumer sana hii.
Wewe mwenyewe ni qumer pia
 
Toka CCM unaumbwa rasilimali zimekua zikichezeleka na raia wakijua.
Ila shida kuwalinda hao walio madarakani inatumika nguvu kubwa ambayo kama itahitajika kuwang'oa basi VITA ITABIDI ITOKEE.
Laa sivyo hakuna kitachobadilika.
 
Halafu shida sio Rais ila ni taasisi nzima, kama kungekuwa na mfumo bora na mzuri hata likikaa jiwe(kokoto) pale juu hii Nchi ingeendelea tena vizuri tu.
 
Ni Rais wa Tanzania umeona mkataba wowote unaoguza rasimali za visiwani, kama bandari na gesi,
 
MSOGA IN MAKING
 
Haya matatizo yoote yanayoendelea hatua ya kwanza kuchuku ni kuwa na KATIBA mpya.
Chadema wanazunguka nchi nzima kuwaelekeza wananchi ila ni kama wananchi bado hawajajua umuhimu wa katiba hiyo.
Kwa katiba ya sasa tutalalamika sana ila hakuna hatua yoyote unayoweza kumfanyia Rais.
 
Inategemea huo umasikini unautazama toka angle gani,ukisema umasikini walokuwa nao watanzania wa miaka ya 60 ni sawa na umasikini wa
Umaskini haufichiki. H
Hayo unayoona ni maendeleo kwako hayaendani na rasilimali za nchi zinazovunwa.
 
kwani kuna shida gani? mbona anaachia ngazi mwakani 2025 tena mchana kweupe kwa kura za watanzania.
 
Wanakula pamoja,ni mwendo wakujipakulia minyama tuu unakaa pemben unatafuna kimya kimyaaa
Huo ndio ukweli mchungu sana Ndugu yangu, inatisha mnoooo. Huwa najiuliza Yaani CCM nzima hakuna MTU mwenye uchungu hata kidogo??
 
Quuuuuuumassss
 
Uongo mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…