antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hakuna..Huo ndio ukweli mchungu sana Ndugu yangu, inatisha mnoooo. Huwa najiuliza Yaani CCM nzima hakuna MTU mwenye uchungu hata kidogo??
Ccm imejigeuza kuwa kama dini na mwenyekiti ndiyo mungu wake. Ni nani awezaye kumpinga mungu?