Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

Wewe digba sowey Hiyo mikataba umeisoma? Kumbuka baadhi ya DP World documents zilivuja DG wa tiss akatemwa,

Kama mnafanya haki Kwa nn hiyo 👆 mikataba isitolowe Kwa ajili ya kufanya reviews na kupata maoni kutoka Kwa wanazuoni.
Kwanini mnaficha hiyo 👆 mikataba, kwani ni Mali ya Rais?
 
Hii mikataba inayosainiwa nje ya nchi italetwa bungeni kweli wawakilishi wa wananchi waijadili?
 
Mkuu umesema ukweli mtupu, hiki ndo kilio chetu muda wote

Watakuja wafia dini, wanasema dini Moja inaiandama dini ya raisi,

Wanaenda mbali zaidi wanaodai mbona wakati wa mtawala wa dini Fulani hatukupiga kelele?

Sasa ni zamu yao wameahidiwa kujengewa nyumba za ibaada kwa gharama ya rasilimali za nchi

Harakati za kudai kulinda na kusimamia rasilimali zinmekuwa ngumu sana kwa baadhi ya watu kuogopa kuonekana kumpinga mtawala ili wasiokane ni wadini

Ccm wametuingiza pabaya sana
Inaonekana kama vile mafisadi wa hizi dini kongwe wanagawana rasilimali za nchi kwa kizingizio Cha wa dini yetu na wadini Ile

Wananchi tumebaki wakiwa hatuna mtetezi. Njia za siasa na demokrasia wamezihodhi, kupitia tume yao

Njia za haki na mahakamani wamehodhi

Bunge wamehodhi

Vyombo vya Habari wamehodhi

Tusubiri tuishi wanavyotaka then tufe tupotee
 
Kwa hiyo, kabla ya kusoma habari za huyo dada kigagura wa Marekani, kwa akili yako ya kawaida tu ulikuwa hujui kuwa hakuna sababu ya kuwa na usalama wa Taifa!!!!???
Nimesoma habari za yule dada kigagura wa Marekani kama aliyoyaandika ni kweli basi hakuna sababu ya kuwa na usalama wa Taifa.
a
 
Ibara ya 46 na 47 zikifutwa zikawa kinyume cha ilivyo sasa, hawa watu watakuwa na adabu
 
kwani kuna shida gani? mbona anaachia ngazi mwakani 2025 tena mchana kweupe kwa kura za watanzania.
Labda Kikwete na wenzake wasimuunge mkono, hivyo CCM wamteue mwingine kugombea Urais. Ama sivyo Kizimkazi finest she is here to stay.
 
Askofu Shoo alienda Ikulu na akapewa gari kali sana na Mama.
 
Hii nchi ilipofikia nadhani ni pabaya sana tunaowategemea wafanye mambo mazuri na waone uchungu wa maliasili na rasilimali zetu wamelala usingizi wa pono. Kwa kweli mimi naona usalama wa taifa naufanyi kazi yake sawasawa sidhani kama haya maovu yanayofanyika hawayaoni. Sasa kama wanayaona sijui wamesuburi mpaka kipi kifanyike ndiyo watajua wanachopaswa kufanya. Huu umekuwa ni usalama wa ccm na viongozi wake na wala haupaswi hata kuitwa usalama wa taifa.
 
Hata aibu huoni? Kisa sh. elf kumi inayolipwa kwa post midume mizima mnajilegeza kwa waarabu ndo maana mmelegea legea kwa kuvunjiwa mayai
 
Je baada ya huyo mwekezaji wa Loliondo ni miaka zaidi ya 15 tangia wapewe, Bandari sasa ni mwaka je wametuletea tija ipi kuliko tulipokuwa mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…