John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Je, unataka tuuzwe mara ngapi??Magufuli alikuwa mtu wa hovyo lakini alijitahidi kulinda rasilimali. Tusipokuwa makini huyu mtu atatuuza. Huu ulikuwa muda wa kumuunga mkono Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, unataka tuuzwe mara ngapi??Magufuli alikuwa mtu wa hovyo lakini alijitahidi kulinda rasilimali. Tusipokuwa makini huyu mtu atatuuza. Huu ulikuwa muda wa kumuunga mkono Lissu
Ukweli ni upi?Uongo mtupu.
Wewe digba sowey Hiyo mikataba umeisoma? Kumbuka baadhi ya DP World documents zilivuja DG wa tiss akatemwa,Acha mama atupambanie ,kiufupi wewe hujui chochote,unapomwona rais anafanya jambo jua taasisi ya urais imelifanyia tathimini na kulibariki, acha kuumiza kichwa ,hakika mama anaupiga mwingi,tumuunge mkono,hata kama humkubali naamini wewe ni miongoni mwa wale asilimia 0.1 out of 99.9 tunaomtakia heli mama.
Sio tu nasema mitano tena bali mikumi kwa mama😍😍😍
Mwache rais anatia hasira sanaMkuu just be careful…. Huna haja ya matusi na ubaguzi
Usijiamini sana
Mkuu umesema ukweli mtupu, hiki ndo kilio chetu muda woteHayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii kamwe Rais na watu wake hawakutakiwa kuwepo ofisini, walitakiwa warudi makwao wakakae huko.
Ngorongoro, Loliondo, KIA, Bandari, helium ya dodoma, madini ya kimkakati pale songwe, alitaja Kwa kifupi sana hayo.
Hapo nimemnukuu mwanasheria nguli.
...ni kweli tatizo lake alikuwa too Machenical 🥴Magufuli alikuwa mtu wa hovyo lakini alijitahidi kulinda rasilimali. Tusipokuwa makini huyu mtu atatuuza. Huu ulikuwa muda wa kumuunga mkono Lissu
Mkipiga kelele sana italetwa bungeni ikiwa imeshasainiwa. Watapangwa waipigie makofiHii mikataba inayosainiwa nje ya nchi italetwa bungeni kweli wawakilishi wa wananchi waijadili?
aNimesoma habari za yule dada kigagura wa Marekani kama aliyoyaandika ni kweli basi hakuna sababu ya kuwa na usalama wa Taifa.
"Green guard" ni kitu gani!!???Ana green guard, ni mkazi wa kudumu.
Sawa bi kidukude ukweli ni upi?Uongo mtupu.
Labda Kikwete na wenzake wasimuunge mkono, hivyo CCM wamteue mwingine kugombea Urais. Ama sivyo Kizimkazi finest she is here to stay.kwani kuna shida gani? mbona anaachia ngazi mwakani 2025 tena mchana kweupe kwa kura za watanzania.
Askofu Shoo alienda Ikulu na akapewa gari kali sana na Mama.Mkuu umesema ukweli mtupu, hiki ndo kilio chetu muda wote
Watakuja wafia dini, wanasema dini Moja inaiandama dini ya raisi,
Wanaenda mbali zaidi wanaodai mbona wakati wa mtawala wa dini Fulani hatukupiga kelele?
Sasa ni zamu yao wameahidiwa kujengewa nyumba za ibaada kwa gharama ya rasilimali za nchi
Harakati za kudai kulinda na kusimamia rasilimali zinmekuwa ngumu sana kwa baadhi ya watu kuogopa kuonekana kumpinga mtawala ili wasiokane ni wadini
Ccm wametuingiza pabaya sana
Inaonekana kama vile mafisadi wa hizi dini kongwe wanagawana rasilimali za nchi kwa kizingizio Cha wa dini yetu na wadini Ile
Wananchi tumebaki wakiwa hatuna mtetezi. Njia za siasa na demokrasia wamezihodhi, kupitia tume yao
Njia za haki na mahakamani wamehodhi
Bunge wamehodhi
Vyombo vya Habari wamehodhi
Tusubiri tuishi wanavyotaka then tufe tupotee
... and we're Keyboard Warriors!.Too bad unaongea na kizazi ambacho hakitaki kufungua macho, wako busy na simba na yanga, bongo fleva na mambo ya kimbea
kenge sana hawa jamiiMkipiga kelele sana italetwa bungeni ikiwa imeshasainiwa. Watapangwa waipigie makofi
Hata aibu huoni? Kisa sh. elf kumi inayolipwa kwa post midume mizima mnajilegeza kwa waarabu ndo maana mmelegea legea kwa kuvunjiwa mayaiAcha mama atupambanie ,kiufupi wewe hujui chochote,unapomwona rais anafanya jambo jua taasisi ya urais imelifanyia tathimini na kulibariki, acha kuumiza kichwa ,hakika mama anaupiga mwingi,tumuunge mkono,hata kama humkubali naamini wewe ni miongoni mwa wale asilimia 0.1 out of 99.9 tunaomtakia heli mama.
Sio tu nasema mitano tena bali mikumi kwa mama😍😍😍
Je baada ya huyo mwekezaji wa Loliondo ni miaka zaidi ya 15 tangia wapewe, Bandari sasa ni mwaka je wametuletea tija ipi kuliko tulipokuwa mwanzoKuna faida gani kwa familia kuwa na heka kumi za mashamba ilikhali kila mwaka mnalia njaa,huku watu wenye uwezo wakiomba wayaendeleze hayo mashamba ili nawewe upate kujikwamua kiuchumi? Je ni vibaya kuwapa wawekezaji ili tu mali hizo zibaki mikononi mwetu kama sifa?
Loliondo imekuwepo kwa miaka sasa,je uwepo wake umeleta tija kwa watanzania,? Na kama mimi sioni tija,kuna ubaya gani kumpa mwekezaji ili aendekeze huku tukipata gawio letu na watu kupata ajira?
Ok bandari,bandari imekuwepo miaka na miaka,je imeleta tija kama ambavyo taasisi ya urais na rais inataka,kama hakuna tija ,je nidhambi tukiibinafsisha ili kuongeza ufanisi na mapato kwa nchi yetu?
Watanzania hawana jema,ni watu walalamishi,hivyo rais aliyepo anapambana sana ili kuboresha maisha ya kila mtanzania.
Go go go go mama