Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?

Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!

Hii awamu hii
IMG_20200614_153321.jpg
 
Gekule pole sana. Ndio malipo ya usaliti. Kumbe hata huko ccm chama kinakopesha wabunge? Kwa hiyo CCM ni Saccoss au vikoba sio?
Wanawatoza % ngapi mikopo yao?
Lakini kwa vile CCM ni ya WANYONGE labda riba yaweza kuwa 5% tuu.
 
Wako bize kusema Chadema wanajikopesha ruzuku. Leo tunanasa nyaraka kumbe wao ndiyo vinara.
Sasa hii ndio inatakiwa. Tuhuma kwa USHAHIDI WA NYARAKA sio mipasho yakina Msukuma. Tupatie zaidi, jee alifanikiwa? Alipewa zote au sehemu ya maombi?
Kudaddeki ccm walah! Ngebe nyingiiii kumbe wananuka kama shimo LA choo kwa uvundo walio nao.
 
Kuna mmoja aliandika barua binafsi kwa wazungu akatumia nembo ya bunge ikawa nongwa. Afu kumbe wabunge wana madeni hivi?? Daahh. Pia, sio lazima aende yeye tena mjengoni. Mimi wacha nipalilie hoho zangu hapa baadaye nna marejesho mahala ya 10000
 
Back
Top Bottom