Naunga mkono hoja na uzuri 'Yesu'yeye ni msafiiiiiiiiiiii hahahHahahah.. Mkuu hii haiondoi kashifa za Mbowe.
Njaa ilihamia kichwani kutoka tumboni. Hovi hawa wabunge pesa wanapelekaga wapi?Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?
Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!
Hii awamu hii
View attachment 1478408
Wananjaa sana kichizi yaani. Mbunge mshahara unapata chini ya 1M kwa sababubya madeni na bado anakopa hana uhakika atalipaje! Eti atalipa hali ikiwa nzuri😀😀Duh!!Siri zimeanza kuvuja kuelekea uchaguzi mkuu na kuvuja huku ni dalili ya msuguano ndani ya chama kama sio makundi.
Sasa siju katibu mkuu au mwenyekiti huwa anakopa kiasi gani na sijiu nani uwa anakagua mahesabu.
Madeni mengi hata mlo wa siku tu ni wa kubahatishaAiseee ni hatari sana kumbe aliunga mkono JUHUDI kumbe madeni yalifika shingoni.
Bashiru akakamata hicho kipengele akajiongeza na akala mzigo.Wananjaa sana kichizi yaani. Mbunge mshahara unapata chini ya 1M kwa sababubya madeni na bado anakopa hana uhakika atalipaje! Eti atalipa hali ikiwa nzuri😀😀
Hahahaa wanakulana tuBashiru akakamata hicho kipengele akajiongeza na akala mzigo.
Kwenye simu yake kamsevu "Baby Pauline"
Unaaminije kama si za kweli. Tuletee za kweli wewe. Sisi tunajua hizi ndio za kweli za jikoni kabisa.Mnaaminije hizi dokuments kama ni za kweli??
Haijawahi kumuacha mtu salama.Nini PapuchiBashiru nae kumbe noma
Kwa kuwa hujakua hutoweza kuyajua madhara ya hizo barua katika kusaka ushindi! Copy moja tu ikidondoshwa kwenye kambi ya mgombea ambaye ni mtuhumiwa inapunguza kura 1000! Hilo hutolijua kwa kuwa ungali mchanga kichwani!Kwa mfano kwa akili yako hiyo harua ina madhara katika ushindi wa ccm?
Kwanini huyo kigogo msimwambie awape siri za ushindi wa ccm.?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
La'natullahiPauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?
Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!
Hii awamu hii
View attachment 1478408
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inafaa kuitwa (UPATU) vile vikundi vya mpeano.kitaalamu kama chadema wanaiita saccos basi ccm ni kikoba [emoji23][emoji23][emoji23]
malipo ni hapa hapa duniani.,karma is real what goes around comes around [emoji14][emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka mwendawazimu kichaaa, jaman jf raha san khaaaaSasa kama bana kuba makula mama yeyo za ambasada na kamishna za district, veve taka dogo yake kula nini bana? Takula bunge tuu!
Dogo maombwa kopo 50, yeye natoa bure 70! Aaah, chama pinduzi tamu sana bana!