Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

Sasa hii ndio inatakiwa. Tuhuma kwa USHAHIDI WA NYARAKA sio mipasho yakina Msukuma. Tupatie zaidi, jee alifanikiwa? Alipewa zote au sehemu ya maombi?
Kudaddeki ccm walah! Ngebe nyingiiii kumbe wananuka kama shimo LA choo kwa uvundo walio nao.
Alipewa million sabini
 
Ndo maana nasemaga Mara zote Tanzania vyama vungi vya siasa Ni magenge ya ulaji.sio ccm wala upinzani.Huenda ruzuku zinaliwa sana, usione wale wabunge Viti maalumu note, Huenda rushwa za ngono zipo pia.Msajiri angekuwa na meno angechunguza hili
Kausha utakula pale unapofanya kazi
 
Alipewa million sabini
Polepole,
Njoo umpelekee Bash Boy mzigo wake.
IMG-20200614-WA0014.jpg
 
Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?

Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!

Hii awamu hii
View attachment 1478408
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?

Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!

Hii awamu hii
View attachment 1478408
Hii imetulia. Safi sana. Ni dalili kwamba huko ccm kunawaka moto, kati ya "wakuja" na "wazawa". Ngoma nzito sana. Kina Silinde wasifikiri kwamba kumtukana Mbowe na kumsifia Magu ndio wamemaliza mchezo. Tutaona na kusikia mengi kadiri muda unasogea uchaguzi mkuu 2020
 
kitaalamu kama chadema wanaiita saccos basi ccm ni kikoba [emoji23][emoji23][emoji23]

malipo ni hapa hapa duniani.,karma is real what goes around comes around [emoji14][emoji14]
Kweli kabsaa mkuu
Vikoba
 
Back
Top Bottom