Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

wazee wa uongo na uzushi hamkomi tu? nyie ndio huwa mnatusumbua mitandaoni na fake news.chadema bhana
 
Avumilie bunge livunjwe alipwe kiinua mgongo chake.
Habari za ndani kabisa, wabunge mwaka huu hawatalipwa kiinua mgongo. Kiinua mgongo kitalipwa mwezi Julai 2021. Lengo ni kuvunja nguvu ya fedha kwenye uchaguzi na kuwafanya watakaoangushwa kwa mizengwe ndani ya CCM waendelee kunyenyekea kwa Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?

Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!

Hii awamu hii
View attachment 1478408
Hakuna jipya hapo mi nilidhani umekuja na ushahidi wa zile bill 8 kuwa hakula mbowe Ila Alie zitafuna ni Pauline gekul!!!!
 
Tukisema tuchunguze yanayoendelea huko kwenye vyama Ni hatari, ngono, rushwa na mauchafu mengine kibao. Hivi vyama basi tu, hakuna uafadhali
Unaambiwa Mrs. Halima Mdee ndio mshauri mkuu wa kwanza wa MZEE WA KONYAGI KUBWA kwa sasa.
 
Sasa hii ndio inatakiwa. Tuhuma kwa USHAHIDI WA NYARAKA sio mipasho yakina Msukuma. Tupatie zaidi, jee alifanikiwa? Alipewa zote au sehemu ya maombi?
Kudaddeki ccm walah! Ngebe nyingiiii kumbe wananuka kama shimo LA choo kwa uvundo walio nao.
Hakupewa hivi hivi tu , muulize Bashiru Ally alichokifanya
 
Gekule pole sana. Ndio malipo ya usaliti. Kumbe hata huko ccm chama kinakopesha wabunge? Kwa hiyo CCM ni Saccoss au vikoba sio?
Wanawatoza % ngapi mikopo yao?
Lakini kwa vile CCM ni ya WANYONGE labda riba yaweza kuwa 5% tuu.
Kuna Imani moja kuwa Kanda ya kaskazini usaliti ni mdogo na hawauzi utu Kama Kati na kwingine,hapa nimechoka
 
Back
Top Bottom