Haahaa, hivi vyama basi tu sasa mpaka bashiru anawapiga wabunge Wa kuchaguliwa jamani.Wale wenye wake zao wabunge watakuwa na amani?? Tulidhani Ni upinzani tu kumbe kote.Unaambiwa Mrs. Halima Mdee ndio mshauri mkuu wa kwanza wa MZEE WA KONYAGI KUBWA kwa sasa.
Hyo mchezo ndo unaolalamikiwa chadema pia.wakitaka kukopa waende benki
Mambo yanafunguka sana tuu, na hivi mzee wa kazi za uchunguzi amerudi field!Duh!!Siri zimeanza kuvuja kuelekea uchaguzi mkuu na kuvuja huku ni dalili ya msuguano ndani ya chama kama sio makundi.
Sasa siju katibu mkuu au mwenyekiti huwa anakopa kiasi gani na sijiu nani uwa anakagua maesabu.
Dogo umeambiwa gekur katafunwa na katibu mkuu kwa rushwa ya ths. 70 mil.
Sasa kama bana kuba makula mama yeyo za ambasada na kamishna za district, veve taka dogo yake kula nini bana? Takula bunge tuu!Haahaa, hivi vyama basi tu sasa mpaka bashiru anawapiga wabunge Wa kuchaguliwa jamani.Wale wenye wake zao wabunge watakuwa na amani?? Tulidhani Ni upinzani tu kumbe kote.
Rushwa nyingine hizi hapaWanatapatapa tu
Hahaha we Chakaza ukapimwe mkojoSasa kama bana kuba makula mama yeyo za ambasada na kamishna za district, veve taka dogo yake kula nini bana? Takula bunge tuu!
Dogo maombwa kopo 50, yeye natoa bure 70! Aaah, chama pinduzi tamu sana bana!
Ubunge hawatapata, angalau watasaidiwa Ukuu wa Wilaya hadi JPM akiondoka 2025, angalau watakuwa wanalamba posho za U-DCHii imetulia. Safi sana. Ni dalili kwamba huko ccm kunawaka moto, kati ya "wakuja" na "wazawa". Ngoma nzito sana. Kina Silinde wasifikiri kwamba kumtukana Mbowe na kumsifia Magu ndio wamemaliza mchezo. Tutaona na kusikia mengi kadiri muda unasogea uchaguzi mkuu 2020
Na kuwavunja wengine miguu.Lingekuwa genge la wahuni mngehangaika kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwanunua wabunge madiwani wake?
Hiyo sio rushwa Ni vitendea kazi vya chamaRushwa nyingine hizi hapa View attachment 1478630
Ha haha! Yaani hawa tunao tuu hadi Octoba 25. Ngoja tujipe likizo kuanzia August kwenye vibanda vyetu vya kuuza mapera ili tujitolee kutoa msaada kwenye kampeni.Hahaha we Chakaza ukapimwe mkojo
Hivi hamtaki kuamini kuwa JPM hachomozi 2020? Jee kwa vile mmeaminishwa ni Yesu? Na kama atatumia mabavu mnadhani maisha yatakuwa the same again?Ubunge hawatapata, angalau watasaidiwa Ukuu wa Wilaya hadi JPM akiondoka 2025, angalau watakuwa wanalamba posho za U-DC
Vv
Hii Kali sana bra na pichuKaka kigogo anasema ,Gekul amevuliwa bra na lichupi na Bashiru Ally ndo akapewa 70m
Simba karura fasta amebaki analialia yeye juyoooooooKaliwa fasta
Sio vyama tu, popote pale kwenye wanawake na wanaume ngono haepukiki.Tukisema tuchunguze yanayoendelea huko kwenye vyama Ni hatari, ngono, rushwa na mauchafu mengine kibao. Hivi vyama basi tu, hakuna uafadhali
Kwa mfano kwa akili yako hiyo harua ina madhara katika ushindi wa ccm?
Kwanini huyo kigogo msimwambie awape siri za ushindi wa ccm.?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
PoleLaana ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha 4