Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,946
- 4,592
Hakuna mbunge au diwani atakayeamua kujivua ubunge au udiwani aende upande mwingine bila interest za masilahi. Njia ya kumbana adui ni kuangalia katika umoja wao nani dhaifu, na udhaifu unaweza kuwa huo wa kuwa na madeni ambayo yanakarbia kumshinda kulipa anapewa maneno mazuri ya ahuheni wa deni akihamia upende mwingine, wengine wameahidiwa ubunge wao msimu ujao, wengine naibu waziri n.k. Kwa kutekeleza hilo litakipunguza chama nguvu na pia kitawakatisha tamaa wanachama wake. Lakini great thinker wanajua na hawakati tamaa