Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

Duh!!Siri zimeanza kuvuja kuelekea uchaguzi mkuu na kuvuja huku ni dalili ya msuguano ndani ya chama kama sio makundi.

Sasa siju katibu mkuu au mwenyekiti huwa anakopa kiasi gani na sijiu nani uwa anakagua maesabu.
Ndo maana nasemaga Mara zote Tanzania vyama vungi vya siasa Ni magenge ya ulaji.sio ccm wala upinzani.Huenda ruzuku zinaliwa sana, usione wale wabunge Viti maalumu note, Huenda rushwa za ngono zipo pia.Msajiri angekuwa na meno angechunguza hili
 
Duh!!Siri zimeanza kuvuja kuelekea uchaguzi mkuu na kuvuja huku ni dalili ya msuguano ndani ya chama kama sio makundi.

Sasa siju katibu mkuu au mwenyekiti huwa anakopa kiasi gani na sijiu nani uwa anakagua maesabu.
Kwa mfano kwa akili yako hiyo harua ina madhara katika ushindi wa ccm?
Kwanini huyo kigogo msimwambie awape siri za ushindi wa ccm.?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Lijuakali na Msukuma usiku wa juzi walivaa mask na mwenzao mmoja wakamshabulia mbowe kisha wakaenda Bungeni kupotosha ili wasijulikane ni wao
Daaah hatar sanaaa kumbe ni hao wahun???

Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii
Hakina ya nan Sasa wajiandae wao
 
Back
Top Bottom