Kumbe vyama vyote vinakopeshana kama sacosi, duh.Takukuru wako wapi? Hapa huenda hata rushwa ya ngono Nayo ikanukia duh...
Gekule pole sana. Ndio malipo ya usaliti. Kumbe hata huko ccm chama kinakopesha wabunge? Kwa hiyo CCM ni Saccoss au vikoba sio?
Wanawatoza % ngapi mikopo yao?
Lakini kwa vile CCM ni ya WANYONGE labda riba yaweza kuwa 5% tuu.
Sasa hii ndio inatakiwa. Tuhuma kwa USHAHIDI WA NYARAKA sio mipasho yakina Msukuma. Tupatie zaidi, jee alifanikiwa? Alipewa zote au sehemu ya maombi?
Kudaddeki ccm walah! Ngebe nyingiiii kumbe wananuka kama shimo LA choo kwa uvundo walio nao.
Wengi wa wanasiasa Hawana plan wao ni watu wa matumizi tu, ndomana wakiachia nafasi zao wanapiga haswa wengine tukikutana wanatupiga mzinga wa bapa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Duh...!.Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?
Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!
Hii awamu hii
View attachment 1478408
Duh!!Siri zimeanza kuvuja kuelekea uchaguzi mkuu na kuvuja huku ni dalili ya msuguano ndani ya chama kama sio makundi.
Sasa siju katibu mkuu au mwenyekiti huwa anakopa kiasi gani na sijiu nani uwa anakagua mahesabu.
Sisi ndiyo wanyonge mkuu maana hiyo 10000- nikubwa sanaKuna mmoja aliandika barua binafsi kwa wazungu akatumia nembo ya bunge ikawa nongwa. Afu kumbe wabunge wana madeni hivi?? Daahh. Pia, sio lazima aende yeye tena mjengoni. Mimi wacha nipalilie hoho zangu hapa baadaye nna marejesho mahala ya 10000
Kuna documents zingine zipo Twitter tayari MH kigogo 2014 amevujisha za hawa machangudoa wanaohama vyama vyao na kwenda ccm
Kama Gekule alivyo vaa kwa Bashiru kwa 70m za Chama? Hii chama pinduzi wallah mabata ushungu sana! Alisikika mwarabu mmoja![emoji23] [emoji23] [emoji23] Utapanik sana! Hadi oktoba utavaa pichu kichwani
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Ngoja nijijibu mwenyewe! Kulingana na nyaraka zilizoibuliwa na kuchapishwa eneo Fulani na mtu mmoja maarufu in kuwa;Sasa hii ndio inatakiwa. Tuhuma kwa USHAHIDI WA NYARAKA sio mipasho yakina Msukuma. Tupatie zaidi, jee alifanikiwa? Alipewa zote au sehemu ya maombi?
Kudaddeki ccm walah! Ngebe nyingiiii kumbe wananuka kama shimo LA choo kwa uvundo walio nao.
Saiv naona mabalaza mengi ya madiwani yameanza kuvunjwa inamaaana na viinua bongo vyao wameshapewa au wanasubiri bunge limalizike naomba kujua hilo kwa mwenye uelewa..Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?
Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!
Hii awamu hii
View attachment 1478408
Aje kwangu nimt..... Nimpe hiyo hela wanaboa SanaLaana ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha 4
Kwahiyo Katibu katoa rushwa ya ngono?vp Yesu nae huwa anajikopesha? [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] Utapanik sana! Hadi oktoba utavaa pichu kichwani
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app