Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,946
- 4,592
Bashiru amemchakata ndiyo amkapa huo mkopo.Kumbe vyama vyote vinakopeshana kama sacosi, duh.Takukuru wako wapi? Hapa huenda hata rushwa ya ngono Nayo ikanukia duh...
Hahahha... Hujui siasa, ndio maana mnazungushwa na kina Mbowe kama mazuzuBashiru anatumia pesa za chama kuchakata haya masalia yaliyokatwa mkia [emoji1787]
Sasa Dr.Bashiru anakopesha ruzuku ya chama tena baada ya kumchakata huyo dada.Ndo maana nasemaga Mara zote Tanzania vyama vungi vya siasa Ni magenge ya ulaji.sio ccm wala upinzani.Huenda ruzuku zinaliwa sana, usione wale wabunge Viti maalumu note, Huenda rushwa za ngono zipo pia.Msajiri angekuwa na meno angechunguza hili
🤣🤣🤣 wewe unajua siasa ndiyo maana umepanic tumebamba barua ya katibu mkuu wako wa chama akikopesha ruzuku ya chama tena baada ya kumchakata dada wa watuHahahha... Hujui siasa, ndio maana mnazungushwa na kina Mbowe kama mazuzu
Hapana chezea Dr. Bashiru kwa kweliInasemekana katibu kaigegeda tayar na ameipa M 7 badala ya 5 zilizoombwa
Kumbe katbu wetu hayuko nyuma kwny uchakataji,katekwa na toto la kimbulu aseme nn?Hapana chezea Dr. Bashiru kwa kweli
Dr Bashiru noma sana anawachakata mno hapa LumumbaKumbe katbu wetu hayuko nyuma kwny uchakataji,katekwa na toto la kimbulu aseme nn?
Hiyo barua iko wapi inayoonesha KM akikopesha hela?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe unajua siasa ndiyo maana umepanic tumebamba barua ya katibu mkuu wako wa chama akikopesha ruzuku ya chama tena baada ya kumchakata dada wa watu
Hahahah.. Mkuu hii haiondoi kashifa za Mbowe.Dr Bashiru noma sana anawachakata mno hapa Lumumba
Mbowe mmemshindwa kitambo mnooo.Hahahah.. Mkuu hii haiondoi kashifa za Mbowe.
Zileteni hapa bhanaKuna documents zingine zipo Twitter tayari MH kigogo 2014 amevujisha za hawa machangudoa wanaohama vyama vyao na kwenda ccm
Acha kumdharau mwenyekiti hao walilipa Vijana maana wakimvaa mbowe hao angewapiga mpaka angewachumuLijuakali na Msukuma usiku wa juzi walivaa mask na mwenzao mmoja wakamshabulia mbowe kisha wakaenda Bungeni kupotosha ili wasijulikane ni wao
Bashiru nae kumbe nomaKaka kigogo anasema ,Gekul amevuliwa bra na lichupi na Bashiru Ally ndo akapewa 70m
Hahaha hii inaitwa ukimwaga mboga namwaga ugali! Pumbavu kabisaSasa hii ndio inatakiwa. Tuhuma kwa USHAHIDI WA NYARAKA sio mipasho yakina Msukuma. Tupatie zaidi, jee alifanikiwa? Alipewa zote au sehemu ya maombi?
Kudaddeki ccm walah! Ngebe nyingiiii kumbe wananuka kama shimo LA choo kwa uvundo walio nao.