CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mimi natamani wauane kabisaKuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa kutofurahishwa na kauli pamoja na tabia za Paul Makonda.
Tumbo Huwa halistaafu kula ndugu!!HIvi wastaafu kwanini uwa hawataki kabisa kustaafu
2025 Rais hatakuwa mama Wala hao wapigaji, ila atatokea mtu asiyemaarufu kabisa atachukua inchiSamia hahitaji Kambi 2025 Kwa sababu hakuna mgombea mwingine wa kushindana nae 2025 sana sana ni hizo Kambi kumsumbua Ili awaweke Serikalini watu wao Waendelee kujipanga.
Minyukano itakuwa mikubwa baada ya 2025 Kwa sababu Kila Kambi itajitutumua na ndio hapo vyombo Huwa vinaamua wa kumuweka na Rais anasimamia Hilo.
Atakuja na suluhisho lenye manufaa kwa hatima nzima ya Tanzania ijayo.2025 Rais hatakuwa mama Wala hao wapigaji, ila atatokea mtu asiyemaarufu kabisa atachukua inchi
I second you2025 Rais hatakuwa mama Wala hao wapigaji, ila atatokea mtu asiyemaarufu kabisa atachukua inchi
Upuuzi na ushetani wa binadamu kudhani kuwa ataishi milele.Ndiyo maana hawaishi kulambishana sumu
Mtakuja kutuambia. Hii Secretariat ya Nchimbi ni mbovu kuwahi kutokea. Ni zaidi ya ile ya Wilson Mkama. Picha linaanza wanafanya kazi na kutoa hotuba kama vile ni watumishi wa umma(civil servants). Wamegeuka wasemaji wa maafisa masuhuli na Mawaziri katika maeneo tofauti tofauti. Nadhani hili limechangiwa pia name ukweli kwamba wengi wao wamezoea kuwa watendaji katika maeneo kadha waliopita.Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa kutofurahishwa na kauli pamoja na tabia za Paul Makonda.
What goes around comes around. !CCM ni Kusanyiko la Mahasimu, wao kwa wao wanafanyiana Uovu mbaya sana.
Mkuu andiko lako kimsingi linamuhusu JK, tunakuomba uthibitishe jinsi JK anavyoingilia maamuzi ya Raisi aliyepo sasa hivi. Punguza chuki mkuu.Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa kutofurahishwa na kauli pamoja na tabia za Paul Makonda.
.
Good observation!Mtakuja kutuambia. Hii Secretariat ya Nchimbi ni mbovu kuwahi kutokea. Ni zaidi ya ile ya Wilson Mkama. Picha linaanza wanafanya kazi na kutoa hotuba kama vile ni watumishi wa umma(civil servants). Wamegeuka wasemaji wa maafisa masuhuli na Mawaziri katika maeneo tofauti tofauti. Nadhani hili limechangiwa pia name ukweli kwamba wengi wao wamezoea kuwa watendaji katika maeneo kadha waliopita.
Makonda ndiye anajua na alijua kutafsiri maana halisi ya chama cha siasa, chama tawala na maana ya chama kuunda serikali.
Chama tawala hakipaswi kujiunga katika mlolongo wa Government Bureaucratic system but it should commands the system. Nchimbi and Co. ndio kwanza wameanza ziara ya kwanza lkn kwa jicho la tatu, wanafanya kazi kama bureaucrats wa serikali.
Wanashindwa kutafsiri majukumu yao kwa niaba ya chama. Wanashindwa kutafsiri supremacy ya chama over the govt system. Wanashindwa kukaa upande wa Wananchi ama kuvaa viatu vya wananchi. Wasipobadilika, itakuja kuwa Secretariat Mbovu kuwahi kutokea ndani ya chama cha mapinduzi.
🤔Simuoni JK akiwa amepunguza mahaba yake kwa kina Makamba zaidi zaidi namuona akiwa huru ndani ya Chama.
Wastaafu waliomtangulia wameshaaga dunia hivyo yeye ndiye mkongwe wa CCM tofauti na siku za nyuma walipokuwepo kina RIP Mkapa, Mwinyi wakongwe waliomtangulia na kuwa na uwezo wa kumkosoa hadharani muda wowote.
Samia anapowavuta hao kina Sabaya, Biteko na Makonda anatengeneza kambi yake mwenyewe kwa ajili ya 2025, hivyo unapoona Nchimbi anamkosoa hadharani Makonda anakuwa akifikisha ujumbe kwa Samia kwamba mambo sio rahisi kihivyo kama anavyodhania.
Lakini Mungu anaipenda sana Tanzania, hii ni nchi iliyowekwa chini ya usimamizi wa nguvu za Mungu siku ya tarehe 8 Desemba 1961 kina Makamba na wengine wenye sifa za upigaji wasahau kabisa kuja kuwa warithi wa Samia atakapostaafu.
Mkuu tuambie wameshikilia wadhifa gani sasa hivi serikalini au chamani. Acha upotoshaji, uchonganishi na chuki mkuu!HIvi wastaafu kwanini uwa hawataki kabisa kustaafu
As if hatuoni kwa macho yanayoendelea, hebu jiheshimu basi hata kwa kauli.Mkuu tuambie wameshikilia wadhifa gani sasa hivi serikalini au chamani. Acha upotoshaji, uchonganishi na chuki mkuu!
Urais huwezi ukajipangia angalia marehemu Membe na Marehemu Lowasa,akina Malecela,Salim Ahmed na wengine ilishindikana. Mipango ya Mungu ni migumu na complex.Simuoni JK akiwa amepunguza mahaba yake kwa kina Makamba zaidi zaidi namuona akiwa huru ndani ya Chama.
Wastaafu waliomtangulia wameshaaga dunia hivyo yeye ndiye mkongwe wa CCM tofauti na siku za nyuma walipokuwepo kina RIP Mkapa, Mwinyi wakongwe waliomtangulia na kuwa na uwezo wa kumkosoa hadharani muda wowote.
Samia anapowavuta hao kina Sabaya, Biteko na Makonda anatengeneza kambi yake mwenyewe kwa ajili ya 2025, hivyo unapoona Nchimbi anamkosoa hadharani Makonda anakuwa akifikisha ujumbe kwa Samia kwamba mambo sio rahisi kihivyo kama anavyodhania.
Lakini Mungu anaipenda sana Tanzania, hii ni nchi iliyowekwa chini ya usimamizi wa nguvu za Mungu siku ya tarehe 8 Desemba 1961 kina Makamba na wengine wenye sifa za upigaji wasahau kabisa kuja kuwa warithi wa Samia atakapostaafu.
Dai katiba mpya acha kulia lia kijana
Hakuna tatizo la Kikwete au Makonda.Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi
Hakuna tatizo la Kikwete au Makonda.Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa .