Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia huyo huyo aliwahi kusema kwa kejeli jukwaani kwamba wapige kura wasipige CCM itashinda tu. Haya tunayaongea tukiwa watu wa nje tunaotazama ndani. Ukikaribia uchaguzi wanakaa pamoja na kuja na suluhisho la shida zao wakitambua ukubwa wa madaraka waliyonayo mbele ya mamilioni ya watanzania.Ni hakika umegonga penyewe, na ndiyo maana vyama vikongwe hushindwa uchaguzi. Ktk mambo ya uongozi wa biashara huwa tunasema biashara huzaliwa na kukua kupitia wateja kupenda product na inafika wakati unahitaji kubadili mbinu ili kuweza kuendana na matakwa ya wateja, Dkt Nchimbi na Dkt Kikwete hawaoni kabisa ila Dkt Magufuli aliona mapema ndiyo maana akawa adui yao. Ila nakuhakikishia kama wakiendelea hivi kuelekea uchaguzi, aisee hali itakuwa ngumu sana tena itakuwa zaidi ya 2010 na 2015, maana wapiga kura wa sasa ni kile kizazi kinachoelewa CCM ni chama cha kulinda mafisadi etc, yaani ukikiambia eti Amani hakijui maana mauaji ya Rwanda na Burundi haviyajui. Dkt Samia namshauri bora aahirishe uchaguzi, katiba mpya ipatikane na asigombee!
Ameshawaweka mfukoni wadau nyeti wanaoweza kuupinga urais wake. Na alianza mchakato huo mapema tu baada ya kurithi kiti cha urais.Hoja ya kuahirisha uchaguzi kisha ashughulikie Katiba nakubali.
1. Hoja ya jinsia ya mwanamke na uanamke wa Samia Suluhu Hassan ina - matter and it's so powerful kuliko unavyowaza ndugu Steven Joel Ntamusano.Hivyo tusiegemee kwenye hoja ya uanamke wa Samia, waliopendekeza jina lake ni binadamu kama mimi na wewe na hawakuona kwa namna yoyote ile kuwa mwisho wa JPM ungekuwa ni March 17 2021.
Na hilo👆👆👆ndilo tatizo na unathibitisha mwenyewe hoja yangu.Huyo huyo mwanamke amekuwa na bahati mbaya ya kuletwa huku bara na kupewa cheo na JK, kwake JK ni sawa na kiongozi anayeendelea kuwa hai miaka na miaka, hawezi kuusahau mchango wa JK katika uongozi wake hata akija kustaafu.
Ndugu Steven Joel Ntamusano tatizo sio JK kuwa hai. Tatizo ni kuwa tuna "Rais mwanamke". Huelewi nini hapo? Wakati wa Hayati John P. Magufuli huyu JK si alikuwepo? Unadhani ni kwanini hakukuwa na ujinga huu unaoendelea sasa? Jibu ni kwa sababu tuna "Rais mwanamke.."Tatizo ni mipango ya Mungu namna inavyofanya kazi, alitaka mpaka muda huu wastaafu wote isipokuwa JK wawe wameshatangulia mbele ya haki, tatizo lipo kwa hiyo JK namna asivyoonekana kujali wala kuguswa na vilio vya watu huku mtaani.
Tafuta takwimu za Samia utazame mambo ambayo ameshayafanya kwa miaka hii mitatu, labda itakusaidia kuondokana na hii kasumba ya mfumo dume iliyokujaa kichwani mwako.1. Hoja ya jinsia ya mwanamke na uanamke wa Samia Suluhu Hassan ina - matter and it's so powerful kuliko unavyowaza ndugu Steven Joel Ntamusano.
2. I agree that, Rais Samia Suluhu Hassan binadamu tu kama ulivyo wewe. Lakini yeye ni MWANAMKE na wengine ni WANAUME. Hiyo ndiyo tofauti kuu.
Na kumbuka ulimwengu huu uko kwenye taabu na mahangaiko kwa sababu mwanamke ndiye aliyedanganywa na shetani (nyoka) na kusababisha watu tuangukie ktk mikono ya adhabu ya Mungu..
Na hilo👆👆👆ndilo tatizo na unathibitisha mwenyewe hoja yangu.
Mwanamke hajawahi kuwa na hataweza kuwa independent hata siku moja. Siku zote atamtegemea mwanaume tu maana yaye ndiye kichwa chake.!!
Ndugu Steven Joel Ntamusano tatizo sio JK kuwa hai. Tatizo ni kuwa tuna "Rais mwanamke". Huelewi nini hapo? Wakati wa Hayati John P. Magufuli huyu JK si alikuwepo? Unadhani ni kwanini hakukuwa na ujinga huu unaoendelea sasa? Jibu ni kwa sababu tuna "Rais mwanamke.."
Na nikuhakikishie hili kuwa, hata kama huyu JK akiondoka leo, atakuwepo mwanaume mwingine ku - take control juu ya huyu "Rais mwanamke". Hii ni asili (nature). Ndivyo ilivyoumbwa na ndivyo ilivyo..
By the way, unadhani ni JK tu yupo nyuma ya huyu mwanamke? Wako kibao tena wengine wateule wake na wote wanampiga kamba kila siku na ndio maana hii nchi inajiendea tu. Lakini kwa sababu ya uvumilivu na neema ya Mungu, tupo tunaishi..
Ishu hapa sio takwimu. Unaweza kufanya hili au lile lakini overall haikufanywi wewe uwe mwanamme. Elewa kuwa Samia Suluhu Hassan ni mwanamke...Tafuta takwimu za Samia utazame mambo ambayo ameshayafanya kwa miaka hii mitatu, labda itakusaidia kuondokana na hii kasumba ya mfumo dume iliyokujaa kichwani mwako.
Afanye hili au lile, hiyo haindoi ukweli kuwa yeye ni mwanamke. Jinsia yake tu ya "kike" inam - disqualify kuwa kiongozi wa juu (Rais) wa nchi hii. This is nature. Huo ndio uumbaji. Ndivyo tulivyoumbwa..Anafanya mengi sana tena makubwa hata huyo JPM watu walimlaani kwa maamuzi yake baadhi yaliyojaa ukatili usiosemeka hadharani.
Huelewi nini mpaka hapo ndugu Steven Joel Ntamusano? Ni kwa sababu huyu ni mwanamke. Hatutaki nafasi hiyo kushikiliwa na mwanamke. Period..!!Kwa kuwa alikuwa mtoto wa kiume watu waliyasamehe yote mabaya aliyolaumiwa kuyafanya akiwa Ikulu. Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar alipigwa stop ya kwenda USA, tafuta katika historia ni RC gani aliyewahi kuzuiwa kuingia ndani ya nchi nyingine, hakuna!.
Nisome hapo juu 👆👆👆Huyo Makonda alizuiwa akiwa na bosi wake mwanaume pale Ikulu!, unyama mwingi tu kaufanya lakini anapigiwa makofi kwa sababu ya jinsia aliyokuwa nayo. Tubadilike.
Yes, CCM inalaumiwa big time. Hata wao bila shaka hawakuwahi kujua kuwa hatimaye taifa hili lingeweza kufiwa na Rais wake mwanaume na eti mwanamke awe Rais badala yake..Laumu CCM kwa kumpitisha akiwa mgombea mwenza, usimlaumu yeye kama yeye unapoteza muda tu.
Pole sana mkuu, waliompa huo umakamu na baadae urais ni wanaume kama wewe, hapo ndio kichekesho kinapoanza. Huwezi kusema hutaki awe rais hutaki kuongozwa na mwanamke wakati ndio yupo ikulu akiongoza nch!.Ishu hapa sio takwimu. Unaweza kufanya hili au lile lakini overall haikufanywi wewe uwe mwanamme. Elewa kuwa Samia Suluhu Hassan ni mwanamke...
Afanye hili au lile, hiyo haindoi ukweli kuwa yeye ni mwanamke. Jinsia yake tu ya "kike" inam - disqualify kuwa kiongozi wa juu (Rais) wa nchi hii. This is nature. Huo ndio uumbaji. Ndivyo tulivyoumbwa..
Huelewi nini mpaka hapo ndugu Steven Joel Ntamusano? Ni kwa sababu huyu ni mwanamke. Hatutaki nafasi hiyo kushikiliwa na mwanamke. Period..!!
Familia yenye mwanaume, mwanamke literally hawezi kuwa kichwa cha familia bila kujali mwanaume huyo ana udhaifu au mapungufu gani. Hiyo ni principle ya nature inavyotaka..!
Nisome hapo juu 👆👆👆
Yes, CCM inalaumiwa big time. Hata wao bila shaka hawakuwahi kujua kuwa hatimaye taifa hili lingeweza kufiwa na Rais wake mwanaume na eti mwanamke awe Rais badala yake..
It's a lesson. Wote tumejifunza. Sasa tunajua na tumeona wote jinsi jambo hili lisivyofaa.!
Vizuri na hii minyukano ni kwa afya ya Taifa.Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa kutofurahishwa na kauli pamoja na tabia za Paul Makonda.
Wakati Makonda akifanya kazi nzuri mkoa wa Dar Mheshimiwa Nchimbi alikuwa nje ya nchi akifanya shughuli za ubalozi, Samia alikuwa msaidizi wa moja kwa moja hayati JPM hivyo anamfahamu vyema Makonda.
Naamini Samia anawavuta vijana wa hayati JPM karibu yake wakiwa na uwezo wa kujilipua na hawana aibu kabisa wakiwa kazini. Ni utamaduni mpya wa hayati ambao kwa serikali ya Samia ni wa kawaida kabisa.
Hata kutolewa kwake nafasi ya uenezi ni kwa shinikisho la wakubwa ndani ya CCM wakongwe hawaonekani kufurahishwa na hulka za vijana wa kisasa kina Makonda na wenzake wote wa rika lake na Nchimbi anawakilisha siasa za umri fulani wenye kuheshimu busara na hekima kabla ya kutoa hotuba na baada ya hapo.
Kitendo cha Rais Samia kufurahia namna Makonda alivyokipeleka mchakamchaka chama katika kipindi cha muda mfupi ni ushahidi wa uwepo wa sintofahamu ya chini kwa chini katika uongozi wa juu wa serikali na CCM.
Nchimbi akiwa katibu mkuu wa CCM anapopingana katika hotuba na bosi wake Samia juu ya hulka za kikazi za Makonda sio suala lenye afya nzuri ya kisiasa kwa maana ya muelekeo mzima wa serikali. Nchimbi hana la kufanya vinginevyo Makonda angeondolewa kabisa kutoka kwenye serikali na kurudi mtaani.
Na mpaka muda huu Mzee Kikwete bado ana nguvu ndani ya serikali na anaonekana ni mtu mwenye kupenda sana kuwa karibu na kila kinachoendelea, kule kuombwa kushauri na kutumwa kwenye mikutano mikubwa huko ughaibuni ni ushahidi wa kuhitajika kama mshauri wa masuala nyeti na yenye kuhitaji uzoefu.
Anatumia huko kuhitajika kwake kama tiketi ya kuingiza ushauri wake katika shughuli za kila siku, ni hapa tunapoona namna ambavyo Rais aliyepo madarakani anavyokwazwa na mstaafu anayekuwa nje ya ofisi. Sioni namna yoyote ambayo Nchimbi anakuwa na uhuru wa kufanya kazi pasipo maamuzi yake kutokuwa na chembechembe za hisia za Jakaya Kikwete.
Maamuzi ni yake kumhusu Makonda, Sabaya na Biteko ambao ni masalia halisi ya Bosi wake wa zamani hayati JPM, aendelee kuwa karibu nao kikazi akiwa anaujua uwezo wao au aachane nao kwani Mstaafu Kikwete na kund lake kubwa hawapendi hulka zao za kikazi.
Kinachofikirisha ni ukweli kwamba Kikwete akiwa Rais hakuingiliwa kwa namna yoyote ile na Hayati Mkapa, haonekani kuondoka kabisa kwenye duru za kisiasa akihitajika kwa uzoefu wa ushauri wake na wakati huo huo akiwa na hulka ya kupenda kuhusika kwenye mengi zaidi ya ustaafu wake.
Kwa akili yako siasa hai athiri uchumi??Makonda ni WA kutumika ni chawa kama chawa wengine,anaweza ahidiwa Uongozi ila baada ya 2025 habari yake inaweza Isiwe na umuhimu japo itategemeana na Nguvu za Kambi na upepe wa Kisiasa.
Mwisho Huwa sipendi kujadili mambo ya Kisiasa ila masuala ya Uchumi so endeleeni na mijadala yenu.
Haizuii wewe kupata huo uchumiKwa akili yako siasa hai athiri uchumi??
Umechanganya, Makonda, Nchimbi, Magufuli, Kikwete, Samia na "vijana wengine", mpaka nimeshindwa ku6elewa ujumbe uliotaka juufikisha.Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa kutofurahishwa na kauli pamoja na tabia za Paul Makonda.
Wakati Makonda akifanya kazi nzuri mkoa wa Dar Mheshimiwa Nchimbi alikuwa nje ya nchi akifanya shughuli za ubalozi, Samia alikuwa msaidizi wa moja kwa moja hayati JPM hivyo anamfahamu vyema Makonda.
Naamini Samia anawavuta vijana wa hayati JPM karibu yake wakiwa na uwezo wa kujilipua na hawana aibu kabisa wakiwa kazini. Ni utamaduni mpya wa hayati ambao kwa serikali ya Samia ni wa kawaida kabisa.
Hata kutolewa kwake nafasi ya uenezi ni kwa shinikisho la wakubwa ndani ya CCM wakongwe hawaonekani kufurahishwa na hulka za vijana wa kisasa kina Makonda na wenzake wote wa rika lake na Nchimbi anawakilisha siasa za umri fulani wenye kuheshimu busara na hekima kabla ya kutoa hotuba na baada ya hapo.
Kitendo cha Rais Samia kufurahia namna Makonda alivyokipeleka mchakamchaka chama katika kipindi cha muda mfupi ni ushahidi wa uwepo wa sintofahamu ya chini kwa chini katika uongozi wa juu wa serikali na CCM.
Nchimbi akiwa katibu mkuu wa CCM anapopingana katika hotuba na bosi wake Samia juu ya hulka za kikazi za Makonda sio suala lenye afya nzuri ya kisiasa kwa maana ya muelekeo mzima wa serikali. Nchimbi hana la kufanya vinginevyo Makonda angeondolewa kabisa kutoka kwenye serikali na kurudi mtaani.
Na mpaka muda huu Mzee Kikwete bado ana nguvu ndani ya serikali na anaonekana ni mtu mwenye kupenda sana kuwa karibu na kila kinachoendelea, kule kuombwa kushauri na kutumwa kwenye mikutano mikubwa huko ughaibuni ni ushahidi wa kuhitajika kama mshauri wa masuala nyeti na yenye kuhitaji uzoefu.
Anatumia huko kuhitajika kwake kama tiketi ya kuingiza ushauri wake katika shughuli za kila siku, ni hapa tunapoona namna ambavyo Rais aliyepo madarakani anavyokwazwa na mstaafu anayekuwa nje ya ofisi. Sioni namna yoyote ambayo Nchimbi anakuwa na uhuru wa kufanya kazi pasipo maamuzi yake kutokuwa na chembechembe za hisia za Jakaya Kikwete.
Maamuzi ni yake kumhusu Makonda, Sabaya na Biteko ambao ni masalia halisi ya Bosi wake wa zamani hayati JPM, aendelee kuwa karibu nao kikazi akiwa anaujua uwezo wao au aachane nao kwani Mstaafu Kikwete na kund lake kubwa hawapendi hulka zao za kikazi.
Kinachofikirisha ni ukweli kwamba Kikwete akiwa Rais hakuingiliwa kwa namna yoyote ile na Hayati Mkapa, haonekani kuondoka kabisa kwenye duru za kisiasa akihitajika kwa uzoefu wa ushauri wake na wakati huo huo akiwa na hulka ya kupenda kuhusika kwenye mengi zaidi ya ustaafu wake.
Ndugu Steven Joel Ntamusano, mwanaume akiwa kwenye nafasi yake sahihi (in his right position) akikosea, kamwe hiyo haiwezi kuwa ishu ya kujadili, huwa inaeleweka na huwa tunasonga mbele.Pole sana mkuu, waliompa huo umakamu na baadae urais ni wanaume kama wewe, hapo ndio kichekesho kinapoanza. Huwezi kusema hutaki awe rais hutaki kuongozwa na mwanamke wakati ndio yupo ikulu akiongoza nch!.
Aseee umemlilia mungu sana hadi nimeigopaHuyo mwanamke angekuwa mpaka leo hii ni makamu iwapo Magufuli angekuwa anaishi mpaka dakika hii, tukumbuke ni mpango wa Mungu. Kwa matakwa yetu ya kibinadamu Magufuli angeachia madaraka mwaka 2025.
Hivyo tusiegemee kwenye hoja ya uanamke wa Samia, waliopendekeza jina lake ni binadamu kama mimi na wewe na hawakuona kwa namna yoyote ile kuwa mwisho wa JPM ungekuwa ni March 17 2021.
Huyo huyo mwanamke amekuwa na bahati mbaya ya kuletwa huku bara na kupewa cheo na JK, kwake JK ni sawa na kiongozi anayeendelea kuwa hai miaka na miaka, hawezi kuusahau mchango wa JK katika uongozi wake hata akija kustaafu.
Tatizo ni mipango ya Mungu namna inavyofanya kazi, alitaka mpaka muda huu wastaafu wote isipokuwa JK wawe wameshatangulia mbele ya haki, tatizo lipo kwa hiyo JK namna asivyoonekana kujali wala kuguswa na vilio vya watu huku mtaani.
Ana unafiki kwa kumuangalia tu akiwa anaongea majukwaani. Hajali na haonyeshi kabisa kujali n mtu yupo kwa ajili ya tabaka fulani la juu.
Umeandika pumbu tupu mkuu The Palm Beach.Ndugu Steven Joel Ntamusano, mwanaume akiwa kwenye nafasi yake sahihi (in his right position) akikosea, kamwe hiyo haiwezi kuwa ishu ya kujadili, huwa inaeleweka na huwa tunasonga mbele.
Ni makosa makubwa kuruhusu mwanamke kuwa kwenye nafasi isiyo yake.
Halafu anaharibu then watu wanaanza ku - justify uharibifu wake ya kuwa "naye ni binadamu..."
Yes, ni binadamu. Lakini ni binadamu wa jinsia ya ya kike. Hii jinsia ya kike naturally ina position yake inayostahili kuwepo ktk jamii.
Unajua ni nini kilitokea pale bustanini Eden hata kosa kufanyika na kumwingiza mwanadamu ktk taabu na mahangaiko?
Nitakusaidia kujibu.
Kilichotokea ni mwanamke (Eva au Hawa( kuwa kwenye nafasi (position) ambayo hakupaswa kuwa, nafasi ya mwanaume ambayo ni nafasi ya maamuzi na utawala.
Kilichotokea ni mwanamke huyu kufanya maamuzi yasiyo sahihi na kuuleta ulimwengu wote ktk hukumu ya dhambi.!
Tanzania Tunataka haya?.........NO WAY....!!
Turudi kwenye hoja yako kule juu👆👆👆
Kwamba, aliwekwa na wanaume? Nakubali kwa kusema, Yes.
Lakini wanaume hawa walikosea. Wanapaswa kurekebisha kosa hili once and for all.
This is going to be done!
This time ni wao kwa wao !Haswaaa. Ndio silaha yao nzito sana ambayo wanapenda zaidi kuitumia katika kuangamizana wao kwa wao na hata kwa wapinzani wao wanaopingana nao.
Pesa za kula huwa sio issue kwao maana wanazo nyingi sana hata zingine hawajui pa kuziweka !!Tumbo Huwa halistaafu kula ndugu!!
Kwa ufahamu na akili yako ni pumba. Lakini unaweza kupingana na nature?Umeandika pumbu tupu mkuu The Palm Beach.
Unafikiri shetani naye hafanyi miujiza? Unadhani shetani hatendi na kuleta matokeo? Je, kwa kuwa analeta matokeo unadhani anaweza kuchukua nafasi ya Mungu?Ujerumani imeongozwa na mwanamke kwa miaka 15 {2006 - 2021}, Tanzania inapewa misaada na Ujerumani kila kukicha.
Kwa hivyo unataka kumpangia Mh.Samia watu wa kufanya nao kazi?Kwani Rais angewaweka pembeni hao Vijana wa Mwendazake Kuna shida gani?