Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

Ambacho hukisemi hapa moja kwa moja, lakini kama kawaida yenu watu wa huku ni kwamba hutamki wazi kwamba Samia anayumbishwa tu kama bendera. Mara useme Kikwete hivi; na huku unazunguka na ya Nchimbi na Makonda; na bado husemi lolote juu ya 'mastermind' mkuu Kinana!

Samia hana uwezo wowote wa uongozi, ndiyo maana hata huwezi kuchambua anakosimamia katika jambo lolote katika maelezo yako marefu.
 
2025 Rais hatakuwa mama Wala hao wapigaji, ila atatokea mtu asiyemaarufu kabisa atachukua inchi
Ni lazima niwe na matumaini juu ya hili unaloliweka hapa, kama kweli Tanzania itanusurika kuwa jalala.

Samia kuendelea kuwa kiongozi wa nchi hii baada ya 2025, hiyo itakuwa ni laana juu ya nchi yetu.
 
Sijasikia habari za Sabaya kusogezwa.
Kapewa wadhifa gani?
 
Leo hii ukimuweka hapa Nchimbi na Makonda ktk sanduku la kura na uwaache wapige kampeni, Makonda atashinda mchana kweupe. Ninyi na akina Nchimbi msichokielewa ni kuwa Tanzania ya sasa siyo ile ya miaka ya tisoni! Na kumbuka, Dkt Magufuli alitembea kila sehemu ya hii nchi wakiwa na Dkt Samia.

Dkt Magufuli alikuwa sikio la kila mtanzania kila pahala alipotembelea na Dkt Samia alipendwa sana na watanzania baada ya msiba ila yeye ndiye aliyeharibu kwa kujionesha kiasi kwamba leo hii ukienda vijijini wanajua yeye ndiye aliyehusika na kifo na hilo mtu pekee aliyeanza kufuta hayo mawazo alikuwa Makonda.

Kibaya ya manchojidanganya nikudhani kura zinapigwa na watu wa mjini, hahaha hapana. Sisi wa mwenye mitandao siyo wapiga kura na mtu kama Mange na kundi lake siyo wapiga kura kabisa. Na ukitaka kujua Makonda anapendwa tizama alivyokuwa anajaza watu na wanamlilia.

Dkt Nchimbi na kundi lake ni kama sikio la kufa, maana wangeusoma mchezo walipaswa kuona namna nzuri ya kuendelea kumtumia Makonda CCM Kujisafisha na kuondokana na dhana potofu inayoendelea mtaani ya CCM kumuua Dkt Magufuli ili ufisadi uendelee.
 
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa k
Ustaarabu wa Nchimbi uko wapi, tatizo lako ni uchawa. Hivi. Unajua kwanini Nchimbi alitupiwa ubalozini,, badala ya kudili na mtu angedili na matatizo yaliyopo.

Sasa hivi yupo busy kupanga Safi na kufikiriabinu chafu za ushindi. Nchimbi historia yake ya siasa imejaa makandokando mengi hivyo Hana usafi wowote wa kuanza ksifia.
 
Ligacy ndo nini? Sheikh hampendi shule kabisa ninyi. Why?
 
Makonda kuwa waziri mkuu 2025
 
aise!
nimebaki kushangaa tu. ili huenda wao wanajua zaidi kuliko sisi.
 
Mimi nimeona picha ya tofauti na hii yako...Usijeshangaa utakachokiona aise!

Sijui nikae upande upi lakini hao unaowasema hawawezi nimeona Kwa macho ya ndani wameshavuka mstari na tayari wameshaingia kwenye kumi na nane kosa lolote ni penalty inapigwa...Mungu wa Mbinguni Mimi Nasikiliza kwako na mapenzi yako ya timizwe, AMINA
 
R I P Amina Chifupa na Ipyana
 
Kikwete ni moja ya watu waliompiganis samia akawa rais nafasi ambayo tayari ilikua imeshatekwa na wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…