Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

Siku zote chama kinatakiwa kuwa na wananchi ili wakiunge mkono. Kwa kuwashawishi wananchi, chama chaweza kubadilisha team yake serikalini kutokana na hoja za wananchi.
Hata hivyo, kwa sababu ya siasa za uchawa wa kutafuta teuzi, chama tawala, watumishi wa serikali na vyombo vya dola huimba mapambio ya kusifu na kuabudu.
Utamaduni huu utabadilika pole pole kama wakiwepo viongozi wanaoona mbali (kwa vyama vyote).
Siasa lazima zijengwe kwa hoja zenye mantiki badala ya uchawa (wawepo watu wafuasi wa viongozi, siyo chawa, ambao wanaweza kujenga hoja).
 

Walimuuaje?
 

Halafu jamaaa hana mvuto halafu yupo kama chizi fulan hivi

Zile nywele zake ni nyingi halaf zina mvi utasema ni nzi wamepandiana

Now hakuna anaefuatilia tena mambo ya uenezi
Ni kama umepoa

Makonda ilikuwa ni lazima uingie insta kusia leo kasema nn
 
Wewe mpuuzi tu, Rais wako ni Samia Suluhu Hassan, kubali au kataa.

Shetani una uhakika gani hayupo hata hapo unapoishi nyumbani kwako?.

Usijihesabie sana haki ukiwa bado unapumua pumzi ya bure anayotupa Mungu.
 
Kwa nini Mh Nchimbi anaonyesha vita ya waziwazi kabisa hivi?! Hii si sawa kiuongozi, inaonyesha udhaifu. Kila wanapopita wanamtupia dongo Makonda. Wakati wao wanatakiwa kukinadi na kukijenga chama!
CCM hii ya sasa inatafakarisha mno! Nchimbi na Makala wako bize kumpiga madongo Makonda huku Kinana na wengineo wako bize wanapambana na Mwendazake utafikiri hao wanaowatupia madongo siyo/hawakuwa wanaCCM wenzao. Muda mzuri wa kunadi sera na mafanikio ya chama kwa wapiga kura unapotezwa kwa kuelezea ugomvi wao na personal grievances - tena kuelekea kwenye chaguzi! Si waitane waonyane huko halafu wakitoka huku nje waonyeshe umoja? Inashangaza sana!🖐
 
Kosa ni la CCM wenyewe kumpa nafasi Magufuli ya kuongoza nchi, hakukubaliana na wanachama wengi wenye kuziamini hulka za Kikwete. Mtifuano upo kati ya school of thoughts mbili zinazopingana ndani ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…