Yanayoendelea sasa CHADEMA ni mpango toka nje kuingiza nchi matatizoni. Serikali ina kazi ngumu huko mbele

Mpuuzi kweli wewe ila siasa za DHULUMA NA MAUAJI ndiyo suluhisho siyo? Lini ulikemea mauaji ya kutisha nchini! Au hukuwahi kuyasikia?

Suluhushi pekee la kuondokana na siasa za dhuluma na mauaji ni kuketi chini pamoja na ni Chadema ndo wanapaswa ku-lobby kupata kuketi na serikali.

Wasikate tamaa waendeleze lobbying.

Kuingia barabarani na kufanya vurugu si suluhisho kwani hakuleti tija kwa waadhirika na waathiriwa.
 
Wanapima kina cha Maji ,pasipo kijuwa Nguvu ya Bahari, i think wanaenda kupotea kbs
 
Upokeaji fedha na matumizi yasokusudiwa.

Hizo fedha Chadema ingezitumia uzuri kwa kuwa na ofisi na kuajiri wanamkakati wazuri ambao wameiva katika masuala ya siasa za kimkakati.

Lakini si waletewa fedha kutoka nje halafiu wazitumia bila maelezo.
 
Mwehu wa kiwango cha SGR.Katiba ndio mpango mzima.
 
Reactions: BAK
Nimekuuliza ni lini ulikemea mauaji ya na maovu mengine yaliyofanywa na dhalimu mwendazake na washirika wake? Utakaaje chini na mtu ambaye umemuomba hadharani mkutane na hataki kukutana na umemuomba kuwe na maridhiano lakini hajibu chochote anakudharau tu? Tutajie na hizo nchi za nje zinazoleta chokochoko Tanzania.

Dah! nimetekwa na propaganda sio?

Mwenzio hapa Dodoma nipo makini.

Tena sio propaganda tu, bali zile propaganda za nchi za kijamaa so outdated. Ukisikia mtu anasema eti watu wanatumika na mataifa ya nje unajua fika ni propaganda mfu. Gas hiyo hapo wamashapewa watu wa nje. Miradi yote mikubwa inafanywa na wageni kuanzia reli, bwawa, majengo ya serikali, na miundombinu kibao. Migodi yote mikubwa inachimbwa na hao hao watu wa nje. Silaha, vyombo vyote vya usafiri, madawa vyote tunanunua huko kwao. Ni kipi nje ya hivyo hao watu wa nje wanataka zaidi ya sasa?

Kwa bahati mbaya watu wenye mawazo mgando kama ww ndio wako kwenye system ya nchi hii, na wengi wenu hamna tija yoyote ya kiutendaji zaidi ya kuendekeza nidhamu za woga na unafiki, ushirikina, fitina na Majungu. Hii inapelekea mifumo yetu kutokubadilika na kuleta mitazamo mipya, kwani nyie wenye mawazo ya kizamani mnalinda nafasi zenu kwa ushirikina, fitina na Majungu.
 
Upokeaji fedha na matumizi yasokusudiwa.

Hizo fedha Chadema ingezitumia uzuri kwa kuwa na ofisi na kuajiri wanamkakati wazuri ambao wameiva katika masuala ya siasa za kimkakati.

Lakini si waletewa fedha kutoka nje halafiu wazitumia bila maelezo.
Taja nchi zinazoipa CHADEMA fedha. Je hizo fedha Ni salama kiasi gani? Je zinafuata taratibu za kimataifa za kiusalama zisidondokee kwa magaidi?
 
Reactions: BAK
Mwehu wa kiwango cha SGR.Katiba ndio mpango mzima.
Tatizo lenu ninyi ni kwenye mawasiliano.

Mjitahidi kurekebisha hii idara.

Hata ukipata maoni tofauti wewe pitia chambua na uendelee.

Mjaribu kuiondoa lugha za kejeli, matusi na dharau.

Mtafika mbali.
 
Wakileta za kuleta watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Najua wakubwa wa chama hawatojishughulisha kuvunja sheria kwa sababu ya kuogopa kibano, ila misukule yao itayotumiwa itakutana na mkono wa chuma popote pale walipo.
 
Tatizo lenu ninyi ni kwenye mawasiliano.

Mjitahidi kurekebisha hii idara.

Hata ukipata maoni tofauti wewe pitia chambua na uendelee.

Mjaribu kuiondoa lugha za kejeli, matusi na dharau.

Mtafika mbali.

Nilishafika mbali.
 
Taja nchi zinazoipa CHADEMA fedha. Je hizo fedha Ni salama kiasi gani? Je zinafuata taratibu za kimataifa za kiusalama zisidondokee kwa magaidi?
Siwezi kuzijata hapa kuna kanuni kadhaa zinanizuia.
 
Wala si mpango kutoka nje bali kuna watu wenye maslahi binafsi wanaokitumia chama hicho kama platform ya harakati zao. Sihitaji kutaja majina. Pita mtandaoni utawaelewa
 
Wala si mpango kutoka nje bali kuna watu wenye maslahi binafsi wanaokitumia chama hicho kama platform ya harakati zao. Sihitaji kutaja majina. Pita mtandaoni utawaelewa
Tatizo kubwa ni wafuasi wengi wa Chadema kujiona wana akili sana kuliko wengine.

Ila wanashindwa kuelewa itikadi ya chama chao na malengo yake.

Wanafanya mambo ambayo wakati mwingine yanaonyesha wazi ni utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…