Yanayoendelea sasa CHADEMA ni mpango toka nje kuingiza nchi matatizoni. Serikali ina kazi ngumu huko mbele

Nchi ikiwa matatizoni hao nje watanufaikaje sasa
 
Acha kuonyesha ujuha wako hadharan. Lugha za kejeli za Chadema unaziona sana lakini za kutaka kukaa chini kutafuta muafaka na maridhiano huzioni!!! Wakati huo huo mauaji na maovu mengine ya kutisha ya maccm huyaoni!!!!


Tatizo lenu ninyi ni kwenye mawasiliano.

Mjitahidi kurekebisha hii idara.

Hata ukipata maoni tofauti wewe pitia chambua na uendelee.

Mjaribu kuiondoa lugha za kejeli, matusi na dharau.

Mtafika mbali.
 
Jamii forum nayo imekuwa sehemu ya propaganda yaani unaruhusu upuuzi kama huu kukaa hapa?
 
Nchi ikiwa matatizoni hao nje watanufaikaje sasa
Tanzania inatamaniwa sana na siku zote maadui wapo kazini kuhakikisha tunaondoka kwenye mstari.

Kilichowashangaza nai kwamba mambo yanaendelea kama kawaida.

Kama nchi inaingia kwenye vurugu kunakuwapo hakuna shughuli za kuchumi zinazoendelea kustawi maana watu watakaa ndani, jamii itadumazwa na hakuna shule wala shuguli za huru za kijamii.

Mitaani kutatokea uporaji na mauaji ya wale wanoandamana.

Nchi ikiwa na vurugu inageuka kuwa tegemezi.
 
Acha kuonyesha ujuha wako hadharan. Lugha za kejeli za Chadema unaziona sana lakini za kutaka kukaa chini kutafuta muafaka na maridhiano huzioni!!! Wakati huo huo mauaji na maovu mengine ya kutisha ya maccm huyaoni!!!!

Hii ni nafasi pekee kwa Chadema kufungua ukarasa mpya kabisa na kuanza upya siasa za kushindana kwa hoja na CCM.

Tusahau yalopita na huenda yameenda yote.

Baada ya mama Samia kujibu kuwa apewe muda Chadema inapaswa kutafakari namna ya kujibu hiyo hoja.

Raisi Samia ana hoja, je hoja ya Chadema ni kuingia barabarani au kukaa na kujipanga upya?
 
Mataga wanarudisha msamiati wa Mabeberu
 
Wala si mpango kutoka nje bali kuna watu wenye maslahi binafsi wanaokitumia chama hicho kama platform ya harakati zao. Sihitaji kutaja majina. Pita mtandaoni utawaelewa
Hao watu kama kweli wapo, basi mtakuwa mnawatengeneza wenyewe kwa kuwanyima haki zao za kikatiba, mna akili za kichovu sana.
 
Mbona wanizeesha sasa?
Sorry, kumbe wewe ni kijana halafu una mawazo ya sampuli hii!!

Hivi seriously kabisa unaamini wazungu wanaitumia Chadema kuingia nchini badala ya zile 10% zinazotafunwa na viongozi wa CCM toka enzi za Mkapa?
 
Bado umekazana kuandika ujinga wako na uzushi. December 2019 Mbowe alisema hivi hadharani lakini akadharauliwa na muuaji magufuli.


Wamemuomba samia kukutana naye huu mwezi wa nne sasa hata kuwajibu hajawajibu na mpuuzi wewe bado unakuja hapa kuandika ujinga na uzushi wako kuhusu Chadema.

 
Sorry, kumbe wewe ni kijana halafu una mawazo ya sampuli hii!!

Hivi seriously kabisa unaamini wazungu wanaitumia Chadema kuingia nchini badala ya zile 10% zinazotafunwa na viongozi wa CCM toka enzi za Mkapa?
Tafadhali, hakuna mahala katika mada yangu nimetanabaisha neno wazungu.

Nimesema kutoka nje.

Huko nje yaweza kuwa ni popote pale.
 
Punguza wivu mtoto wa kiume
 
Reactions: BAK
Tusijihau kuna uwezekano tunaandika tukiwa kwenye kiti cha privilege, bila kufikiria anayekusoma ameishi hayo matatizo tunayohubiri kuyakwepa akiwa ndani ya nchi hii hii. Empathy is a virtue
 
Viongozi wa chadema wako hoi kiuchumi maana wengi hawana ajira wanaishi maisha ya kubangaiza tu wanapata vijisenti vya kuda dona tu hawawezi kusapoti chama chama hakina hela kabisa
 
Nakumbuka Mbowe aliitwa mzembe, kalegea, hana ujanja tena, ooh Chadema imekwisha, majina yote waliropoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…