Yanayoendelea sasa CHADEMA ni mpango toka nje kuingiza nchi matatizoni. Serikali ina kazi ngumu huko mbele

Tafadhali, hakuna mahala katika mada yangu nimetanabaisha neno wazungu.

Nimesema kutoka nje.

Huko nje yaweza kuwa ni popote pale.
Rilaxx, alwayz najua "nje" huwa inamaanisha nchi za magharibi zenye wazungu, sasa kama wewe ulimaanisha Iraq never mind.
 
Sisi tunajimwambafwai tu ila angalau katika ukanda wote wa maziwa makuu tunaheshimika.

Tishio nnalolizungumzia si silaha wala mabomu ni mbinu za kawaida kabisa.

Wanatuheshimu kihistoria lakini sio kiuhalisia wa sasa. Sasa hivi jeshi letu liko kwenye political mode. Wanachoweza kwa uhakika ni kupiga wapinzani wasio na silaha ili watawala wa ccm wawaangalie kwa chochote. Siku ile Magu kapokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha, ndio nilijua hamna kitu.
 
Wala si mpango kutoka nje bali kuna watu wenye maslahi binafsi wanaokitumia chama hicho kama platform ya harakati zao. Sihitaji kutaja majina. Pita mtandaoni utawaelewa

Kweli nimeamini hata wanafiki huzeeka. Rudi tu nyumbani mzee kama ndio umechoka hivi.
 
Mbona mbogamboga wanawanunua na kuwapa vyeo na kuwaacha makanjanja wenu wakipigwa vumbi tu kama hawana strategists?
 
Mimi si mwanachama wa CCM au mfuasi wake.

Naangalia siasa za nchi yetu kutokea upande ulio huru.

Wala huhitaji kusema ww ni nani, inawezekana huna kadi ya ccm kwakuwa haina maana kubwa kwenye majukumu yako ya siku kwa siku. Lakini uko wazi peupe kiitikadi.
 
Mbona mbogamboga wanawanunua na kuwapa vyeo na kuwaacha makanjanja wenu wakipigwa vumbi tu kama hawana strategists?
CCM wanaangalia kitu chaitwa potential kutoka kwa haohao mbogamboga.

CCM ina hazina ya strategists ni wengi mno.

Chadema ina safari ndefu na ngumu sana huko mbele.

Ila vurugu na maandamano si suluhisho na matatizo hayo.
 
Hawapo na ndio maana mliwanunua akina Joshua Nasari na kuwabandika vyeo fasta.
 
Wala huhitaji kusema ww ni nani, inawezekana huna kadi ya ccm kwakuwa haina maana kubwa kwenye majukumu yako ya siku kwa siku. Lakini uko wazi peupe kiitikadi.
Mimi ni mpenda mabadiliko na ni mwanaharakati.

Nilikuwa pamoja na akina BAK hapa enzi zetu.

Ningekuwa na uwezo wa kuanzisha chama ningefanya hivyo.

Ila siasa za Tanzania zilipofikia kwa sasa ni hatari sana.
 
Siwezi kuzijata hapa kuna kanuni kadhaa zinanizuia.
Kama ni kupewa hela na wazungu, kuanzia serikali, taasisi mbalimbali hadi watu binafsi wanapewa wala sio siri. Huo ukumbi wa ccm hapo Dodoma ccm wamejengewa na wachina, ndio maana tender karibia zote wanawapa, huku viongozi wakilamba 10% zao kila mradi. Labda utafute wasiojua lolote ndio uwaambie hiyo propaganda mfu.
 
Hawapo na ndio maana mliwanunua akina Joshua Nasari na kuwabandika vyeo fasta.
KIjana Joshua nasari ana akili sana na ana potential.

NIlimsoma uzuri pale London nilipokutana nae akiwa masomoni na kumsaili.
 
Mimi ni mpenda mabadiliko na ni mwanaharakati.

Nilikuwa pamoja na akina BAK hapa enzi zetu.

Ningekuwa na uwezo wa kuanzisha chama ningefanya hivyo.

Ila siasa za Tanzania zilipofikia kwa sasa ni hatari sana.
Aliyezifikisha hapa siasa za Tanzania ni ccm baada ya kupoteza mvuto kwa wananchi.

Wameamua kubaki madarakani kwa hoja za kuokoteza na kutumia dola kubaki madarakani.

Uchaguzi wa 2020 ulikuwa kielelezo cha kifo cha ccm
 
CCM wanaangalia kitu chaitwa potential kutoka kwa haohao mbogamboga.

CCM ina hazina ya strategists ni wengi mno.

Chadema ina safari ndefu na ngumu sana huko mbele.

Ila vurugu na maandamano si suluhisho na matatizo hayo.
Wachumia tumbo sio strategists wa lolote. Sifa za bandia na nguvu zote za ccm ziko kwenye nguvu ya rais kwa kutumia state machinery. Ccm mwenyekiti wake akipoteza cheo cha urais, TLP Itakuwa afadhali kuliko ccm.
 
KIjana Joshua nasari ana akili sana na ana potential.

NIlimsoma uzuri pale London nilipokutana nae akiwa masomoni na kumsaili.

Leo hii hata Mdude akija huko ccm utakuja na mashairi haya haya unayompamba nayo Nassari. Uzuri nyie bendera fuata upepo hamtusumbui.
 
10% si suala geni hata huko nje wanafanya hizi deals na hata waligunduliwa huzimwa kimyakimya.

Ndo maana hata pale UK waziri wa afya akawapa hizo tenders rafiki zake kusambaza vifaa vya PPE na kadhalika.

Ila Chama cha Boris ni chama kama vingine tu hufanya mambo kama CCM zabuni kutolewa kwa kujuana na kadhalika.

Cha msingi kama wanavyosisitiza ni kuona maendeleo yanafanyika kama huduma za afya, mashule na huduma za jamii.

Ila wenzetu pia wao wameendelea zaidi kwa kuwa kila mwananchi analipa kodi kuanzia ule ya maendeleo ya unapoishi Council au Municipal Tax hadi kodi ya mapato.

Sisi Tanzania bado hatujafikia huko si wananchi wote wanalipa kodi.

Wafanya biashara wengi wamekataa kulipa kodi sasa maendeleo yatapatikana vipi?
 
Leo hii hata Mdude akija huko ccm utakuja na mashairi haya haya unayompamba nayo Nassari. Uzuri nyie bendera fuata upepo hamtusumbui.
Mdude Nyagali na Joshua Nassari ni watu wawili tofauti.
 
Mpumbavu kweli wewe!!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…