Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Wee unahisi kile kiumbe kilikuwa ni cha kupokea ushauri!! Tena ushauri wa mwanamke?!!
By the way kazi ya kuisimami serikali ni ya bunge. So kale kajama kafupi na chombo anachokisimamia ndio kanatakiwa kawajibike.
 
Ajiuzuru kwa lipi? Hakuna sehemu inayonyesha yeye kahusika na huo ufisadi . Muacheni mama apige kazi, tutam judge kuanzia sasa.

Hayo ya nyuma hayamhusu .
 
Nakwambia hivi..alielea haya madude kashaenda.
Hesabu kuanzia siku aliyoapishwa Samia ukiona madudu shinikiza ajiuzulu.
Urais ni taasisi ndugu yangu kwani makosa aliyosema CAG ni makosa ya kitaasisi hivyo Samia Na watendaji wote wanatakiwa kujiuzuru
 
Kwani wewe hatari gani unayozungumzia? Hata kama CCM itatoka madarakani hiyo ndio hatari?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Urais ni taasisi ndugu yangu kwani makosa aliyosema CAG ni makosa ya kitaasisi hivyo Samia Na watendaji wote wanatakiwa kujiuzuru
Basi endelea kupiga kelele mkuu
Labda atakusikia na kujiuzulu
 
We ng'ombe wa kinesi muache mama aongoze nchi meko alikua anataka kusikiliza ushauri ? Nyie mataga si ndio mlikua washauri wake shindwa katika jina la Yesu na ulegee kama meko katutesa vile na tumemvumilia Hata mama mumvumilie hivohivo muishinae kama tulivo ishi na mwenda zake au mmeyakosa maslahi yenu binafsi ndio mwaanza kumshambulia mama wa watu kisa ni mwanamke ninasema haikubaliki mama tuongoze mama asiependa afe amfate mungu ake aliekua akimuabudu
 
Sasa wasiwasi wako nini?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
hivi wewe ni kiazi au? CAG ASSAD alipo uliza trillion 1.5 hazijulikan ziko wap nae alikuwa anamchafua hayati au watu wengine mnakera sana yani mnashangaa billions za KICHELE mme sahau trillions za assad
 
Nyie endelezeni yale mapambio yenu apewe uongozi wa malaika milele huko alikoenda,mama ameamua kutuonesha madudu ya mwendazake
 
Haya madudu aliyoyataja CAG ...ni zao la kuzuia uhuru wa habari....kwa kufungia Magazeti ya kiuchunguzi.....Ndio kipindi kilipozuka sheria za Ukweli kuuita uchochezi....haya sasa hapa Mchochezi ni nani?

Umeshajiuliza nini litakuwa zao la kuendelea kukalia mchakato wa katiba mpya? Kabla ya kupayuka kutamka uhuru wa habaru.

Hamna akili nyie na mikakati yenu ya hovyo ambayo yatokanayo yake yanaenda kumpa wakati mgumu sana Mh SSH kuongoza Taifa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…