Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Kwahyo Samia ambaye alikua makamu, ni msafi kabisa. Ila tu Rais?

Yeye kama makamu wa Rais anakuaje msafi kwa yote hayo? Hivi ni chuki tu kwa Magu au kuna cha zaidi?
Msitake kumsafisha Mtu wenu kwa hizi propaganda nyepesi! Nani hajui kwamba alikua Mungu wenu na yesu wa Lugola? Nani hajui kwamba alikua hapangiwi? Kama unaona hapa tuna chuki sana, nenda jamuhuri ya malaika, ukaendeleze upendo, huko!
 
Humphrey Polepole mtu anayetajwa kama Gwiji la hesabu za Fedha miongoni mwa wanaccm waliosalia kwa sasa anaombwa kujitokeza tena kama alivyofanya huko nyuma alivyopangua hoja za CAG wa zamani Profesa Assad ili kusawazisha upepo mbaya unaovuma

View attachment 1747421
Nyie wapinzani mkishirikiana na samia mnamchafua shujaa wa afrika mzee magufuliz ila poa tu
 
Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?

Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Inaonekana hujui hata mipaka ya makamu wa rais kiutawala na kiutendaji
 
Silly !!!
This is what we call "Thinking and uttering words at the expense of your DORSAL SPOT".
You guys it's all over !!!
She's there to stay.
What you're currently doing is just fooling and pleasing yourselves as days go by.
You've been completelly and unexpectedly cought in supprisse by the current situation.
The only remedy is to accept the facts and learn to live with them.
Comment as an unbiased great thinker.
 
Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?

Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Tunaweza kumsamehe manake yule bwana aliekuwa naye alikuwa haambiliki, mama amevumilia mengi.
 
Kwani nyinyi mnashindwaje kumsafisha Mkuu? Mbona enzi zake akiwa hai mlisimama kidete kuhakikisha sote tunaimba korasi Moja, mkampa mpaka hadhi ya uungu(Astaghfilulah)? Mnakwama wapi Mataga?
Tutaenda kumlilia magufuli kwenye kaburi lake kwa haya mnayoyafanya.
 
Back
Top Bottom