MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Msitake kumsafisha Mtu wenu kwa hizi propaganda nyepesi! Nani hajui kwamba alikua Mungu wenu na yesu wa Lugola? Nani hajui kwamba alikua hapangiwi? Kama unaona hapa tuna chuki sana, nenda jamuhuri ya malaika, ukaendeleze upendo, huko!Kwahyo Samia ambaye alikua makamu, ni msafi kabisa. Ila tu Rais?
Yeye kama makamu wa Rais anakuaje msafi kwa yote hayo? Hivi ni chuki tu kwa Magu au kuna cha zaidi?
Nyie wapinzani mkishirikiana na samia mnamchafua shujaa wa afrika mzee magufuliz ila poa tuHumphrey Polepole mtu anayetajwa kama Gwiji la hesabu za Fedha miongoni mwa wanaccm waliosalia kwa sasa anaombwa kujitokeza tena kama alivyofanya huko nyuma alivyopangua hoja za CAG wa zamani Profesa Assad ili kusawazisha upepo mbaya unaovuma
View attachment 1747421
Inaonekana hujui hata mipaka ya makamu wa rais kiutawala na kiutendajiKwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?
Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Iweke hapa tusome na wengineInaonekana hujui hata mipaka ya makamu wa rais kiutawala na kiutendaji
Shetani jiwe amgemtundu lissu au kum Alphonse mawazo we bwegeKwahiyo kujiuzulu alishindwa kama alikuwa hakubaliani na maovu?
Yeye si ndio alikua mkuu na mara kadhaa yeye mwenyewe amesema haushauriki so ache zigo lake alibebe hukohuko alikoendaWakulaumiwa ni wale wote waliohusika na ufisadi huu na sio hayati Magufuli tu ndo atupiwe lawama zote
Comment as an unbiased great thinker.Silly !!!
This is what we call "Thinking and uttering words at the expense of your DORSAL SPOT".
You guys it's all over !!!
She's there to stay.
What you're currently doing is just fooling and pleasing yourselves as days go by.
You've been completelly and unexpectedly cought in supprisse by the current situation.
The only remedy is to accept the facts and learn to live with them.
Report ya Shujaa umeisoma?Nyie wapinzani mkishirikiana na samia mnamchafua shujaa wa afrika mzee magufuliz ila poa tu
Tatizo unahemka,hufikiriNi nani aliyewahi kuthubutu kumnyooshea kidole yule mzee wa chato?mtekaji na muuaji?
Tunaweza kumsamehe manake yule bwana aliekuwa naye alikuwa haambiliki, mama amevumilia mengi.Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?
Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Kwani nyinyi mnashindwaje kumsafisha Mkuu? Mbona enzi zake akiwa hai mlisimama kidete kuhakikisha sote tunaimba korasi Moja, mkampa mpaka hadhi ya uungu(Astaghfilulah)? Mnakwama wapi Mataga?Nyie wapinzani mkishirikiana na samia mnamchafua shujaa wa afrika mzee magufuliz ila poa tu
Imejaa kashfa na usaliti kwa magufuliReport ya Shujaa umeisoma?
Tutaenda kumlilia magufuli kwenye kaburi lake kwa haya mnayoyafanya.Kwani nyinyi mnashindwaje kumsafisha Mkuu? Mbona enzi zake akiwa hai mlisimama kidete kuhakikisha sote tunaimba korasi Moja, mkampa mpaka hadhi ya uungu(Astaghfilulah)? Mnakwama wapi Mataga?